Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

inferiority complex yako ya pombe usitake kuaminisha wengi hivyo hauwezi ukakutana na mtu just bcoz u dont drink basi na yeye unataka asinywe be realistic basi usitake kufanya jf ndio suluhisho la matatizo yako yaani kila tatizo unalileta jf watch out and be careful.

hahaha,,issue si wewe kuwa mkali hapo,issue ni wewe uache mara moja tabia yako ya ufataki,,lol!

i see unrealistic things here..............
 
Anajua asemalo,yawezekana kuna wasichana wamemwambia kuwa wametongozwa na fulani na fulani kwa kuwa kuna wakati inachosha,mi najua wapo watu wa namna hiyo....
Hatuhitaji kwenda chemba kusema hayo,napoteze muda kujibu watu ,hapa hapa,ACHENI MNABOA!!!!Mtu ameoa kabisa na anasema,sasa kwangu wataka nini???
Ujumbe uwafikie,dedication: I DO NOT NEED A MAN-PUSSYCAT DOLLS.:lying:

Mpendwa kumbe na wewe ushatongozwa
Ila kwako nadhani ni muda muafaka wakati wanakutongoza wewe unawamwagia neno la mungu lenye upako
Amen
 
inferiority complex yako ya pombe usitake kuaminisha wengi hivyo hauwezi ukakutana na mtu just bcoz u dont drink basi na yeye unataka asinywe be realistic basi usitake kufanya jf ndio suluhisho la matatizo yako yaani kila tatizo unalileta jf watch out and be careful.

Huyo mpotezee tuuuu
 
Jamani wanaume wa JF ni walewale wakiwa wapa (JF) na wakiwa mtaani, hivyo hisia zao kwa madada bado ni zilezile.
Akikutongoza usiseme mwanamme wa JF kanitongoza,

Halafu ni vizuri yahuko mkayaacha hukohuko, kama ulimpa za uso haina shida.
Mnanifanya niogope kuwatafuta madada wa JF, au tuulizane umri kwanza kabla ya kukutana face2face?
 
Tangu nikufahamu leo umeongea point kubwa mno tena huyu anaweza hata kuleta mambo ya jandoni/unyagoni mbele za watu. Hivi wote wanaomtongoza huwa anakuja kushitaki hapa. Halafu hebu na hekima kidogo mwanaume akiwa JF asitongoze?? Si mwanaume kama mwanaume wengine??? Wewe kama hutaki kataaa kwani kakushikia bastola?? au kisu?? Acha hizo bwana kutongozwa mwanamke kawaida tu.
Kuna vitu vingine kumshauri mtu unapoteza energy ya vidole vyako kwenye keyboard kwa kitu ambacho ni rahisi yeye kutambua
 
Jamani wanaume wa JF ni walewale wakiwa wapa (JF) na wakiwa mtaani, hivyo hisia zao kwa madada bado ni zilezile.
Akikutongoza usiseme mwanamme wa JF kanitongoza,

Halafu ni vizuri yahuko mkayaacha hukohuko, kama ulimpa za uso haina shida.
Mnanifanya niogope kuwatafuta madada wa JF, au tuulizane umri kwanza kabla ya kukutana face2face?

Well said. Wakati wanaalikana mbona hakuja kutuambia yamemfika ndo analalamika
 
Niliwahi kuuliza humu ndani,hivi kutongoza ni kosa?Wadau asilimia kubwa wakanijibu kuwa kutongoza sio kosa,sasa kama sio kosa haya yote yanatoka wapi?Mtu si amekutongoza tu.
 
hahaha,,issue si wewe kuwa mkali hapo,issue ni wewe uache mara moja tabia yako ya ufataki,,lol!

I see unrealistic things here..............
nashukuru nilipoku approach ukanipiga kibuti haukunianzishia thread,halafu natumaini kimey hajui hakikisha haoni hii asije akatoka usalule na mapanga
 
ha ha ha!at last!habari yangu fast learner ni nzuri hofu kwako mnoko wangu since i mcd u
Kuna mtu Mi nikimwita anasema mgonjwa taabani...lakini dakika yuko majukwaani anachonga na akina Ze Finest...Au ndo meseji sent kiaina nini...ndo mambo ya dada Trust Me haya!..huh!............Nimeelewa bana!
 
Mpendwa kumbe na wewe ushatongozwa
Ila kwako nadhani ni muda muafaka wakati wanakutongoza wewe unawamwagia neno la mungu lenye upako
Amen

Unajua sijui wanaangalia nini,coz kabisa anasema nimeoa but but but but.....................
Bora utongozwe na watu wasio na ndoa but mtu ameoa,do we look or sound like home-breaker's?????
Hell No!GOD FORBID!!
 
Nikiangalia kutoka upande mwingine naona hapa kuna kitu kingine kati ya huyu bidada na mtuhumiwa.
Kutongozwa sio kasa (naamini hata mleta maada anakubali), sasa kosa liko wapi?
Awe muwazi, kama walikuwa wawili wanagombea mwenzake kaopoa halafu yeye hasira zake analeta hapa aseme pia, kwani tupo wengine pia.
 
tatizo lenu mambo ya bar na yenyewe mnataka kuleta JF acheni kukompliketi mambo kama mwenzako anakunywa wewe haunywi isikupe shida simama then chapa lapa, ukitongozwa una haki ya kukubali au kukataa wewe ni mtu mzima ndio hizi thread nilizokuwa nasema awali ohoo sijui fulani analewa sana mara fulani kanitongoza so what? Tufanyeje nyie ni watu wazima na akili zenu so think tafakari kisha chukua hatua.

Haya mapoint yote ni yako haiwezekani. Mmmhh leo naona huna HO
 
Back
Top Bottom