Hatuongei siku ya tatu leo

Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.
Unaenda kupata lunch Sista! Mbona ulisema kuwa utakuwa bize kwenye kicharazio (key board) na ku-comment thread zote za JF? Alafu, kwanini huyu shemeg yetu anakufanyia hivi?; tumeambiwa tukae na wake zetu kwa akili na busara.

watu wapo makini kwa kusubor feedback
 
Last edited by a moderator:
Huyo ana matatizo anahitaji masaada, ukifanya hivyo ndio unamuumiza zaidi, huyo ana frustration. Nakushauri fanya yafuatayo.

1. Mwambie aseme tatizo lake ni nini ili muliongelee na msaidiane kulitatua. mwabie kuwa wewe uko hapo ili kusaidiana naye sio kununiana. kukaa kwake kimya hakutasaidia lolote. Type ya watu hawa huwa uamuzi wao ni kujitundika au kujiua kwa namna yeyote, ndio maana nimekwambia anahitaji msaada na wala usimuongezeee kumuumiza.

2.Mwabie kuwa anavyoendelea kukuficha maana yake ana alot of business outside ambazo hakuhusishi ndio maana anashindwa kukuambia. pengine amezulumiwa pesa nyingi sana katika mipango yake ya siri sasa anashindwa kufunguka. Sasa tumia muda huu kumuweka katika hali ambayo atafunguka na hapo ndio utakuwa ushindi kwako. Na akufunguka hata kama ni mambo ya kuudhi usikasirike jizuie, na hivyo atazidi kuona kumbe wewe ndio kimbilio lake anapokuwa na matatizo. uki react atasema ndio maana nilikuwa sitaki kukuambia. hivyo be calm, cool and help your husband/fiance/boyfriend na atakudhamini zaidi.

3. Kama wewe ni mtu wa dini jaribu kumuombea ili mungu amsaidie na pia aumbue siri zake ambazo huwa anazifanya bila kukushirikiwa kinyume na inavyotakiwa.

4. Kama wewe na dini au maombi ni mbali mbali basi jaribu kumchunia kiasi ili aone machungu ya ujinga anaokufanyia. hii huwa ina balance situation. Lakini usiruhusu mahusiano ya karibu na watu ambao wanaweza kuitumia nafasi hii kama njia ya kukupata wewe au kukushauri uende nje kidogo. Ni rahisi sana katika hali kama hiyo mtu kushawishika kwenda kutembea nje, maana wakati yeye anakuringia kuna atu wanakutaka kwa gharama yeyote ile. NAKUSHAURI USIRUHUSI HILO LITOKEE. Huwezi jua pengine kaenda kupima ukimwi kaambia anao na anashindwa kukuambia hivyo anatafakari madhara ambayo ameyaleta kwenye familia huku akiumia na kukosa hamu ya kufanya mapenzi.

5.Kujaribu kulainisha ili aseme tatitzo tumia njia hii.Jaribu kumtania juu ya sababu ambazo zinazomfanya asiseme ikiwa ni pamoja na zile ambazo ni imposible, mafano
a) WEWE inaonekana umepigwa kibuti na demu wako wa nje, hata kama unajua hana.
b) Umepima umekutwa una ngoma unashindwa kusema
c) Umezulumiwa deal zako za siri
d) Umepewa libwata huko nje ndio maana mawazo yako hayapo kwangu
e) Umefukuzwa kazi, halafu unaogopa kuniambia
f) na mengine mengi
kati ya hizo ipo moja itakuwa sahihi au itakaribiana na ukweli hivyo anaweza kufunguka, pia anaweza kukuona kuwa umekosea sana na unamuwazia vibaya hivyo ni hatari kama akiendelea kukaa kimya hivyo atafunguka.

He is a problem already + wewe ukiongezea problem = more problems

hivyo hakikisha kila utakacho fanya hakiongezei problem bali ni kusolve problem
Unaweza toka nje leo na baadae mambo yakawa poa na mkaendelea vizuri tu lkn adhari zake zitakuja onekana after 5 or 10 years. be careful dada. Halafu matatizo ya ndoa usiweke hadharani sana.

Jaribu hayo niliyo kushauri yakigonga mwamba njoo tena nitakushauri mpaka utapata suluhu tena kwa amani.

6. Jiamini kuwa you are more cleaver na utalisove hilo tatizo na litaisha ili usikaribishe matatizo mengine.

atleast umejaribu kuonesha njia,,,
 
ndoa ya mda gani hiyo
mbona enzio wananuniwa miezi na wako poa tu...

watu huwa wanaboreka na maongezi yale yale sometimes
kama ana stress anataka space
sio wewe uanze kujifanya unataka attention kama mtoto mchanga
hao wanaonuniwa miezi na wapo poa, wana mpango wa kando hao.
 
Jana na juzi mume wangu karudi na kisirani. simwelewi nimemuudhi mimi au kaudhiwa huko alikotoka. kanuna tuuu. nikimsemesha anajibu kiaina kama analazimishwa. chakula mezani anaonjaonja kidogo anaacha. haki yangu yangu ya unyumba kanipa jana kwa kubip kama anatwanga mahindi kwenye kinu wala sijafika popote...mmxxiu...&%# masikini kiu yangu iko palepale. alfajili ya leo nimemshika kiuno kumgeuzia kwangu anigegede kagoma ajifanya kazidiwa na usingizi. nimfanyeje. hiv wanaume wengine wakoje?

Sasa atanikoma, simuulizi wala nini mbona ananiletea mambo ya kitoto? Basi na mie leo nitakuwa bize kama hayupo vile... ijumaa, jumamosi na leo jumapili mh this is too much!!! na mie naweka pose nitacomment thread zote na kuchat JF leo siku nzima nijiweke bize. hadi PM nitajiachia kama sina akili nzuri vile. Thax Mods for MMU najua mates hawataniacha
Smile Nyani Ngabu Heaven on Earth Washawasha sister Mzizi mkavu nipe ushauri wa kitabibu if possible Broken soul mimi49 Mrembo by Nature watu8 mwekundu miss chagga tinna cute Simplicity Eiyer etc

We mwanamke ni mjinga sana ndio maana unadhani suluhu ni wewe kususa na kushinda pm.

MUMEO SI CHIZI MPAKA AFANYE HAYO BILA SABABU,JITAZAME UPYA. TATIZO LA WATU MNAOLETA STORY HAPA MNALETA ZA UPANDE UMOJA. YANI UME ACT KAMA MALAIKA KWENYE STORY YAKO.

NAKUHAKISHIA UTOWEZA KUSHINDANA NA MUMEO.
 
Last edited by a moderator:
we umeongea kila kitu... raha ya kununa uwe na sababu, sasa huyu jamaa hajatoa sababu anampa mwenzake mtihani wa kuanza kuhisi sababu kibao. sista unatakiwa umbake tu huyo

Hakuna raha kama kubakwa.....last time nilijifanya nimesusa ..akataka kunibaka kumbe nilikuwa on fire!!!!.. nilimgonga mpaka akafikia ile point ya kurusha maji ... squirt point.... teh ladies u know this better!
 
je huwa mnalala na ngo zenu au naked?
ni ngumu sana kumtamanisha mwenzio wakati amekununia kama mnalala mkiwa mmevaa nguo zenu. maana kama mnalala naked, hauhitaji hata kumgusa mkono na kiuno ili umvutie kwako.

panda kitandani na kanga yako ya mchina ndani vaa Gstring. we jigeuze geuze mpaka makalio yaguse dushelele lake huku ukijifanya umepitiwa na usingizi saa hizo kanga ishakutoka mwilini. pataeleweka tu kama ni kweli hajapata vizuri kwa siku tatu. hawa watu ni dhaifu, akiguswa na viungo vilaini (kalio, nyonyo), mbona anashutuka tu
 
Hakuna raha kama kubakwa.....last time nilijifanya nimesusa ..akataka kunibaka kumbe nilikuwa on fire!!!!.. nilimgonga mpaka akafikia ile point ya kurusha maji ... squirt point.... teh ladies u know this better!
duh! I can imagine... ni rahisi sana kwa mwanamke kubaka mwanaume kuliko mwanaume kubaka mwanamke
 
DEMBA huezi amini mimi nameinjoi ndoa for all 3 years. ni hiz siku chache nadhani mume wangu anakitu au kaonja nje. lkn namwamini. ndoa ni tamu hasa chemistry zikichaji kotekote

mh! Sista embu nipe kitchen party namiye nijekuenjoy ndoa,unaposema chemistry zikichaji kotekote unamanisha nini? Siondoki hadi unambie...
 
Last edited by a moderator:
Jana na juzi mume wangu karudi na kisirani. simwelewi nimemuudhi mimi au kaudhiwa huko alikotoka. kanuna tuuu. nikimsemesha anajibu kiaina kama analazimishwa. chakula mezani anaonjaonja kidogo anaacha. haki yangu yangu ya unyumba kanipa jana kwa kubip kama anatwanga mahindi kwenye kinu wala sijafika popote...mmxxiu...&%# masikini kiu yangu iko palepale. alfajili ya leo nimemshika kiuno kumgeuzia kwangu anigegede kagoma ajifanya kazidiwa na usingizi. nimfanyeje. hiv wanaume wengine wakoje?

Sasa atanikoma, simuulizi wala nini mbona ananiletea mambo ya kitoto? Basi na mie leo nitakuwa bize kama hayupo vile... ijumaa, jumamosi na leo jumapili mh this is too much!!! na mie naweka pose nitacomment thread zote na kuchat JF leo siku nzima nijiweke bize. hadi PM nitajiachia kama sina akili nzuri vile. Thax Mods for MMU najua mates hawataniacha

Smile Nyani Ngabu Heaven on Earth Washawasha sister Mzizi mkavu nipe ushauri wa kitabibu if possible Broken soul mimi49 Mrembo by Nature watu8 mwekundu miss chagga tinna cute Simplicity Eiyer etc

Pole sana Shemeji! Hebu jaribu kuangalia kama kunakitu uliwahi kumdanganya siku zilizopita na wewe umesahau huenda ameshagundua ulimdanganya sasa amebaki ameduwaa na moyo wake ememshuka! mara nyingi sisi wanaume tunakuwa na aibu ya kuwashushua wake zetu pale tunapogundua walitudanganya kitu fulani na tunabakia kuumia rohoni! Pia jiulize ni kwanini akununie wewe tu??? Mbembeleze wewe jishushe tu hii itakusaidia tena jiweke katika nafasi ya mkosaji na uwe mnyenyekevu nakuhakikishia haita chukua muda utaujua ukweli na utapata suluhisho ila ukianza na mipango ya ubabe imekula kwako. Bembeleza shemeji ndivyo MUNGU alivyotuumba tukibembelezwa na kuambiwa ukweli mbona wanawake mtafurahia mapenzi! Haya Kazi kwako.
 
pipii wewe ni ke / me? Yani nimekupenda ghafla naomba uje hapa nikupe kapepsi loh!! Sista usipofuata ushauri wa pipii basi tena!!
 
Last edited by a moderator:
niache niinjoi lunch yangu. siwezi kumbaka my love atakuja mwenyewe chemistry ikiruhusu. sio wewe unayetumia mate na jelly kulazimisha

Ha ha haaa we umepinda kabisa mpaka jelly unaijua!!!!!!!

Hufai lol

Huu upotevu wako hapa mmmmmmmhhhhhhhh...!!!!!!!!!
Pampu itakuwa imeisha upepo sasa full throttle
 
Mfuate hapo chukua remote kwa upole huku unamkalia ukielekea upande wake na.kukata kiuno tartiiiibu huku unamwambia kwa sikioni kuwa una ny.eg.e balaaaaa na leo unakumbuka ile siku mlichapa game honeymoon,ila ujilegeze mpaka sauti sio sauti kavu kama city wanatahadharisha wapanga bidhaa chini!!!!!!

Akiendelea na mgomo huyo ni pm fasta!!!!

ha ha ha ha.....we jamaa Ni shida aisee.
 
Jana na juzi mume wangu karudi na kisirani. simwelewi nimemuudhi mimi au kaudhiwa huko alikotoka. kanuna tuuu. nikimsemesha anajibu kiaina kama analazimishwa. chakula mezani anaonjaonja kidogo anaacha. haki yangu yangu ya unyumba kanipa jana kwa kubip kama anatwanga mahindi kwenye kinu wala sijafika popote...mmxxiu...&%# masikini kiu yangu iko palepale. alfajili ya leo nimemshika kiuno kumgeuzia kwangu anigegede kagoma ajifanya kazidiwa na usingizi. nimfanyeje. hiv wanaume wengine wakoje?

Sasa atanikoma, simuulizi wala nini mbona ananiletea mambo ya kitoto? Basi na mie leo nitakuwa bize kama hayupo vile... ijumaa, jumamosi na leo jumapili mh this is too much!!! na mie naweka pose nitacomment thread zote na kuchat JF leo siku nzima nijiweke bize. hadi PM nitajiachia kama sina akili nzuri vile. Thax Mods for MMU najua mates hawataniacha

Smile Nyani Ngabu Heaven on Earth Washawasha sister Mzizi mkavu nipe ushauri wa kitabibu if possible Broken soul mimi49 Mrembo by Nature watu8 mwekundu miss chagga tinna cute Simplicity Eiyer etc
Sababu ndiyo hii: nyumba ndogo inataka ka-Vitz la sivyo waachane.
 
Dawa yake ndogo, njoo leo kwenye disco la Air Pambamoto kuanzia saa 1 joni, wadondoshee PMs mimi49 na Heaven on Earth wakupe route.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom