Hatuongei siku ya tatu leo

Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.
Last edited by a moderator:
kwa hiyo umefurahi sio? ukikuwa utaelewa alivyosema maji ya bomba alimaanisha nini
cc mimi49
Hadi ufundi wa pampu nimekupa just in case kuna failure ya pulling waaaapi!!!!!!
Itafaa kwenda bombani??!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nakucheka sababu mjanja maneno kibao ila umeshindwa kumgegedesha huyo mtu hapo!!!!!?????
Waeza kuta ye mwenyewe anasema "akimaliza kupika leo ntamkamua mpaka ajue kuwa mimi ni mumewe" ukimaliza kula ingia na maji chumbani najua utapotea tu mida flani

hahaha OLESAIDIMU umenichekesha hadi nimepiga ukunga!!! mimi hapa maneno mengi ndio yananifariji na kunitoa upweke tu.
 
Last edited by a moderator:
Hadi ufundi wa pampu nimekupa just in case kuna failure ya pulling waaaapi!!!!!!
Itafaa kwenda bombani??!!!!

bomba lisipotoa maji fasta unatoa upepo kwanza ikigoma tena ndio unatafuta fundi proffesional
 
ndio maana hueleweki ijumaa umeshinda hapa jumamosi na leo pia. unamkumbika mungu gani wewe kiumbe??
hebu piga magoti uombewe wewe OLESAIDIMU



Ha ha haaaa hii kitu ipo hewani 18hrs a day mamii hata kama nipo mishe yenyewe inabaki hewani tu,Ibada muhimu kwa sana tu mbona ndio maana sinuniwi ati!!!!

Usiniambie unawaza kufanya maombi ili jamaa alegeze msimamo apige irigesheni kidogo upunguze ukame aseeee!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada na masaibu ya ndoa uvumilivu ni muhimu kuna kauli nilisoma mahali kuwa mwanaume atasema tu yanayomsibu kama ana uhakika wa kuwa hutapingana nae hata kama ni mikasa ya kazini . Usilipize kisasi kamwe maana mkipanda wote juu itakuwa haipendezi. Inabidi kuwa mvumilivu
 
Pole sana dada na masaibu ya ndoa uvumilivu ni muhimu kuna kauli nilisoma mahali kuwa mwanaume atasema tu yanayomsibu kama ana uhakika wa kuwa hutapingana nae hata kama ni mikasa ya kazini . Usilipize kisasi kamwe maana mkipanda wote juu itakuwa haipendezi. Inabidi kuwa mvumilivu

najitahidi kuvumilia Siande ndio maana niko huku MMU. asante kuwa nami kipindi hiki kigumu
 
Last edited by a moderator:
Jana na juzi mume wangu karudi na kisirani. simwelewi nimemuudhi mimi au kaudhiwa huko alikotoka. kanuna tuuu. nikimsemesha anajibu kiaina kama analazimishwa. chakula mezani anaonjaonja kidogo anaacha. haki yangu yangu ya unyumba kanipa jana kwa kubip kama anatwanga mahindi kwenye kinu wala sijafika popote...mmxxiu...&%# masikini kiu yangu iko palepale. alfajili ya leo nimemshika kiuno kumgeuzia kwangu anigegede kagoma ajifanya kazidiwa na usingizi. nimfanyeje. hiv wanaume wengine wakoje?

Sasa atanikoma, simuulizi wala nini mbona ananiletea mambo ya kitoto? Basi na mie leo nitakuwa bize kama hayupo vile... ijumaa, jumamosi na leo jumapili mh this is too much!!! na mie naweka pose nitacomment thread zote na kuchat JF leo siku nzima nijiweke bize. hadi PM nitajiachia kama sina akili nzuri vile. Thax Mods for MMU najua mates hawataniacha
Smile Nyani Ngabu Heaven on Earth Washawasha sister Mzizi mkavu nipe ushauri wa kitabibu if possible Broken soul mimi49 Mrembo by Nature watu8 mwekundu miss chagga tinna cute Simplicity Eiyer etc

Pole sana njoo nkutulize nikupooze na kiu kali mtoto mzuri..
 
Last edited by a moderator:
bomba lisipotoa maji fasta unatoa upepo kwanza ikigoma tena ndio unatafuta fundi proffesional

Hewaaaaa legeza banjo bolt piga resi you never know labda pump imeingiza upepo!!!!
Haya fasta kabla hujaaagwa kwa kikao cha harusi ya mshikaji wa ofisini
 
mi naenda kula lunch bana nyi endeleeni

Kama nakuona ukishiba unavyombaka mtuhumiwa wako kwenye zulia mbele ya kadamnasi ya friji,meza,mapazia,vyombo mlivyolia na bila ya kufunga mlango!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom