Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Sista enjoy your lunch mamito...kila kitu kitakuwa sawa inshallah....mi naenda kula lunch bana nyi endeleeni
Last edited by a moderator:
Sista enjoy your lunch mamito...kila kitu kitakuwa sawa inshallah....mi naenda kula lunch bana nyi endeleeni
Mkoroshokigoli kama hujaingia kwenye ndoa bora umpate wa humu MMU maana amepikika anajua challenges zote
haa haa haa yaani topic za mmu zinaweza kukufanya usitamani kuingia ndoani
kutiana sio dili kihivo, basi tu watu wanaovaret tu/Dah!!! wanaume wengine bana!!!! Wanasusia mpaka papuchi!!!! Halafu wakimgegedea sijui atamlaumu nani!!!
kutiana sio dili kihivo, basi tu watu wanaovaret tu/
Jana na juzi mume wangu karudi na kisirani. simwelewi nimemuudhi mimi au kaudhiwa huko alikotoka. kanuna tuuu. nikimsemesha anajibu kiaina kama analazimishwa. chakula mezani anaonjaonja kidogo anaacha. haki yangu yangu ya unyumba kanipa jana kwa kubip kama anatwanga mahindi kwenye kinu wala sijafika popote...mmxxiu...&%# masikini kiu yangu iko palepale. alfajili ya leo nimemshika kiuno kumgeuzia kwangu anigegede kagoma ajifanya kazidiwa na usingizi. nimfanyeje. hiv wanaume wengine wakoje?
Sasa atanikoma, simuulizi wala nini mbona ananiletea mambo ya kitoto? Basi na mie leo nitakuwa bize kama hayupo vile... ijumaa, jumamosi na leo jumapili mh this is too much!!! na mie naweka pose nitacomment thread zote na kuchat JF leo siku nzima nijiweke bize. hadi PM nitajiachia kama sina akili nzuri vile. Thax Mods for MMU najua mates hawataniacha
Smile Nyani Ngabu Heaven on Earth Washawasha sister Mzizi mkavu nipe ushauri wa kitabibu if possible Broken soul mimi49 Mrembo by Nature watu8 mwekundu miss chagga tinna cute Simplicity Eiyer etc
DEMBA huezi amini mimi nameinjoi ndoa for all 3 years. ni hiz siku chache nadhani mume wangu anakitu au kaonja nje. lkn namwamini. ndoa ni tamu hasa chemistry zikichaji kotekote
Unaenda kupata lunch Sista! Mbona ulisema kuwa utakuwa bize kwenye kicharazio (key board) na ku-comment thread zote za JF? Alafu, kwanini huyu shemeg yetu anakufanyia hivi?; tumeambiwa tukae na wake zetu kwa akili na busara.
napumzika vidole vinauma. na ova time mods hawatoi
best akiingia king nitamkamua nitoe hasira zoteee ha ha ha miss chagga