OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
ha ha ha ha.....we jamaa Ni shida aisee.
Nini tena ze jackal si tunamfundisha yale yanayotufanya tujikute tayari hata kama hukukusudia!!!!!
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha.....we jamaa Ni shida aisee.
We mwanamke ni mjinga sana ndio maana unadhani suluhu ni wewe kususa na kushinda pm.
MUMEO SI CHIZI MPAKA AFANYE HAYO BILA SABABU,JITAZAME UPYA. TATIZO LA WATU MNAOLETA STORY HAPA MNALETA ZA UPANDE UMOJA. YANI UME ACT KAMA MALAIKA KWENYE STORY YAKO.
NAKUHAKISHIA UTOWEZA KUSHINDANA NA MUMEO.
mh! Sista embu nipe kitchen party namiye nijekuenjoy ndoa,unaposema chemistry zikichaji kotekote unamanisha nini? Siondoki hadi unambie...
shosti Munkari kuna wengine wanapendana hawa hata wakidoo wanasikia raha. kuna wale wanatongoza demu anamkubali ili mradi tu kapata boy/girl friend (may b kuna ndoa yafuata, maisha mazuri, pesa, cheo etc) hapa rafiki yangu NO chemistry itabidi zoezi mate na jelly linahusu!!!
mengine nitafute PM
mie na mume wangu tukooo shwaali
je huwa mnalala na ngo zenu au naked?
ni ngumu sana kumtamanisha mwenzio wakati amekununia kama mnalala mkiwa mmevaa nguo zenu. maana kama mnalala naked, hauhitaji hata kumgusa mkono na kiuno ili umvutie kwako.
panda kitandani na kanga yako ya mchina ndani vaa Gstring. we jigeuze geuze mpaka makalio yaguse dushelele lake huku ukijifanya umepitiwa na usingizi saa hizo kanga ishakutoka mwilini. pataeleweka tu kama ni kweli hajapata vizuri kwa siku tatu. hawa watu ni dhaifu, akiguswa na viungo vilaini (kalio, nyonyo), mbona anashutuka tu
Soma ubao
huwezi nini sasa umempikia,umemlisha mitego yote wana jf walioimwaga hapa bado tu jamaa ataki kukupa dudu?
Hapo nenda taratibu sista ukikurupuka tu utajutia may be anataka kuona msimamo wako uko vip
Wana MMU kweli nimeamini tunapendana kwa shida na raha. NAWASHUKURU nyote mlokuwa nami bega kwa bega kunifariji siku yaleo. Asante pia Moderator kwa kunipa ukumbi na kujaza watu telee wote wakilia na kucheka nami. Msidharau jamvi hili ni muhimu sana nimepewa maujuzi nimeyatumia na sasa ninamaliza wikiend niko freshhh. umoja ni nguvu utengano ni dhaifu
Jamiiforum Oyeeeee
Smile Nyani Ngabu Heaven on
Earth Washawasha sister MziziMkavu Munkari Broken soul mimi49
Mrembo by Nature watu8
mwekundu miss chagga tinna
cute Simplicity Eiyer OLESAIDIMU chakii deepsea Mkoroshokigoli Iselamagazi pipii The Boss venine Tuko Zamazamani DEMBA Dublin mgeni10 Siande Kimbweka Jawilat cha' BAK Ennie Bulldog Likata mwahaja mwaka73 na woteeeee
Kwa hiyo sasa hivi umekunwa upele wako moyo kuntuuuuuuuuuuu Sista? mwepesiiiiiiiiiiii (mhh ngoja niwaachie wakubwa ndo waulize haya mie bado mtoto sijakua)