Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Ila sipendagi hako katabia manake mtu umezoea kucheka nae ndani mara anarudi na stress sijui za kaz,mpira,madeni bar,kibuti cha hawara anazimalizia kwa mkewe!
Usireact kihivyo kulipiza nalo ni tatizo jingine,leo kama utashinda nyumbani jaribu kufanya romantic things....ukiona unamsemesha hajibu mtumie sms mweleze unavyojisikia na unavyopata tabu na hali yake..
Asiporespond huyo atakua ana lake moyoni.....