ni pm unapatikana wapi ili nije tuitoe kwanza hiyo hamu,halafu ndo nitatoa ushauri
Ngoja na wewe wamtoe mkeo hamu siku moja..mna mambo wanaume
ni pm unapatikana wapi ili nije tuitoe kwanza hiyo hamu,halafu ndo nitatoa ushauri
Atatulia tu au pengine amesikia habari mbaya kuhusu wewe. Jaribu kujishusha na kuwa mpole mwishowe atakuambia why kawa vile. Pole sana mama
Jana na juzi mume wangu karudi na kisirani. simwelewi nimemuudhi mimi au kaudhiwa huko alikotoka. kanuna tuuu. nikimsemesha anajibu kiaina kama analazimishwa. chakula mezani anaonjaonja kidogo anaacha. haki yangu yangu ya unyumba kanipa jana kwa kubip kama anatwanga mahindi kwenye kinu wala sijafika popote...mmxxiu...&%# masikini kiu yangu iko palepale. alfajili ya leo nimemshika kiuno kumgeuzia kwangu anigegede kagoma ajifanya kazidiwa na usingizi. nimfanyeje. hiv wanaume wengine wakoje?
Sasa atanikoma, simuulizi wala nini mbona ananiletea mambo ya kitoto? Basi na mie leo nitakuwa bize kama hayupo vile... ijumaa, jumamosi na leo jumapili mh this is too much!!! na mie naweka pose nitacomment thread zote na kuchat JF leo siku nzima nijiweke bize. hadi PM nitajiachia kama sina akili nzuri vile. Thax Mods for MMU najua mates hawataniacha
Smile Nyani Ngabu Heaven on Earth Washawasha sister Mzizi mkavu nipe ushauri wa kitabibu if possible Broken soul mimi49 Mrembo by Nature watu8 mwekundu miss chagga tinna cute Simplicity Eiyer etc

Pole my dia..hawa jamaa mimi siwaelewagi kabisa.kama amekausha na wewe mwache fanya kama usafi kuwa busy sana wala usimuulize kitu..silaha kubwa kwa hawa watu ni kunyamaza mpe chakula fanya yote ya msingi.atajiona tu mjinga..me nimeshajizoelea mtu kama hataki kukupa haki basi silazimishi.
Umeona eeh nkululeko
Hapo kwenye red inawezekana panahusika.Huyu naona anacheza,jamaa inaonekana anakusanya ushahidi tu.Atatulia tu au pengine amesikia habari mbaya kuhusu wewe. Jaribu kujishusha na kuwa mpole mwishowe atakuambia why kawa vile. Pole sana mama
Kiukwel inaonyesha mmeo kapata kidosho huko anajistukia
Fatilia vizuri akwambie sababu halisi ya kununa kwake. Yawezekana kapigwa kibuti na kazi za nje! Tehe tehe
hata na mimi ninamuhisi vibaya. lakini ngoja nisikilizie mpaka jioni hii cinema itaishaje