bado ila mood zinaanza kumtoka ameanza kuongea namvutia pumzi kikubwa
Jana na juzi mume wangu karudi na kisirani. simwelewi nimemuudhi mimi au kaudhiwa huko alikotoka. kanuna tuuu. nikimsemesha anajibu kiaina kama analazimishwa. chakula mezani anaonjaonja kidogo anaacha. haki yangu yangu ya unyumba kanipa jana kwa kubip kama anatwanga mahindi kwenye kinu wala sijafika popote...mmxxiu...&%# masikini kiu yangu iko palepale. alfajili ya leo nimemshika kiuno kumgeuzia kwangu anigegede kagoma ajifanya kazidiwa na usingizi. nimfanyeje. hiv wanaume wengine wakoje?
Sasa atanikoma, simuulizi wala nini mbona ananiletea mambo ya kitoto? Basi na mie leo nitakuwa bize kama hayupo vile... ijumaa, jumamosi na leo jumapili mh this is too much!!! na mie naweka pose nitacomment thread zote na kuchat JF leo siku nzima nijiweke bize. hadi PM nitajiachia kama sina akili nzuri vile. Thax Mods for MMU najua mates hawataniacha
Smile Nyani Ngabu Heaven on Earth Washawasha sister Mzizi mkavu nipe ushauri wa kitabibu if possible Broken soul mimi49 Mrembo by Nature watu8 mwekundu miss chagga tinna cute Simplicity Eiyer etc
Umevaa nini hapo au umevaa midabwada?
alaaaaa.kumbe ndoa zina changamoto hivi???
yaani comment imejaa umbea kama jina lako nitonye. kuna wanaume marijali nikisema nimetupia mtandio wa kichina wanaharibikiwa humu ndan
cc OLESAIDIMU
Hili nalo neno!!! Ila kufatwa fatwa nako kuna raha yake,ruksa zikizidi unaona kama hujaliwi!!!!Ungeikumbatia???!!!!
yaani comment imejaa umbea kama jina lako nitonye. kuna wanaume marijali nikisema nimetupia mtandio wa kichina wanaharibikiwa humu ndan
cc OLESAIDIMU
bado ila mood zinaanza kumtoka ameanza kuongea namvutia pumzi kikubwa
Nimemchokoza nani mie?
Mi nimesema nilipoona tu
bado ila mood zinaanza kumtoka ameanza kuongea namvutia pumzi kikubwa
Hili nalo neno!!! Ila kufatwa fatwa nako kuna raha yake,ruksa zikizidi unaona kama hujaliwi!!!!
hizo ndiyo sehemu unazoonaga tu wewe..........
Fanya yako kwa ukamilifu then you are a free soul!!!!
What if na enjoy kuwa prisoner?
Asome tangu mwanzo,watu washabadili na za ndani kwa imagination tu yeye anaulizia saa hizi!!!!!!
Chezeiyah uchuu veve
Sasa fanya ivi usimuulize kitu chochote kama unafanya kazi jitaidi kurudi mapema kabla yake pika chakula anachopenda oga vizuri piga brash pwapwi yako vizuri. Akirudi mpe chakula kidogo ambacho unajua ashibi' uku na kanga moja ya zamani ishike kimitego kaa kiasara asara sana ata milalo yako ya ajabu ajabau. Kazi ya siku mbili utanipa jibu