Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
mh! We hupendi cha asubuh wewe? Mmmh!
Kaabisa... na ukiona nimekula asbh ujue siku hiyo kazin navaa shati la kuchomekea...
mh! We hupendi cha asubuh wewe? Mmmh!
nishakoga nimejikoki na khanga ya mchina hapa
ndoa ya mda gani hiyo
mbona enzio wananuniwa miezi na wako poa tu...
watu huwa wanaboreka na maongezi yale yale sometimes
kama ana stress anataka space
sio wewe uanze kujifanya unataka attention kama mtoto mchanga
Kiu yako iko kwake ndio nini sasa dada! Mbona tunafanyiana hivyo? Umetupa hamasa harafu unatugeuka? Mnaishi wapi kwani
oyaaa. Wanawake tena?Wanawake bhana sometimez wako heartless sana but jaribu kuongea nae akuambie kinachomsumbua maybe ni sababu za msingi!!
The Boss ndoa ya miaka mitatu hajawahi kufanya ujinga huu hata siku moja.
Amekutana na mageni akaja kutafuta ushauri kwa ambao wameshawahi kununiwa au wenye tabia ya kununia wenzi waosi kitoweo kimekuja kutafuta mamba au huoni? lol
si aseme tu kwamba ahitaji usumbufu kununa ndo nini!
Kiu yako iko kwake ndio nini sasa dada! Mbona tunafanyiana hivyo? Umetupa hamasa harafu unatugeuka? Mnaishi wapi kwani
hahaha! We rijamaa acha uroho wa senjele!!
Kaabisa... na ukiona nimekula asbh ujue siku hiyo kazin navaa shati la kuchomekea...
Omba ruhusa uje kwangu akikuruhusu nibip nikupigieJana na juzi mume wangu karudi na kisirani. simwelewi nimemuudhi mimi au kaudhiwa huko alikotoka. kanuna tuuu. nikimsemesha anajibu kiaina kama analazimishwa. chakula mezani anaonjaonja kidogo anaacha. haki yangu yangu ya unyumba kanipa jana kwa kubip kama anatwanga mahindi kwenye kinu wala sijafika popote...mmxxiu...&%# masikini kiu yangu iko palepale. alfajili ya leo nimemshika kiuno kumgeuzia kwangu anigegede kagoma ajifanya kazidiwa na usingizi. nimfanyeje. hiv wanaume wengine wakoje?
Sasa atanikoma, simuulizi wala nini mbona ananiletea mambo ya kitoto? Basi na mie leo nitakuwa bize kama hayupo vile... ijumaa, jumamosi na leo jumapili mh this is too much!!! na mie naweka pose nitacomment thread zote na kuchat JF leo siku nzima nijiweke bize. hadi PM nitajiachia kama sina akili nzuri vile. Thax Mods for MMU najua mates hawataniacha
Smile Nyani Ngabu Heaven on Earth Washawasha sister Mzizi mkavu nipe ushauri wa kitabibu if possible Broken soul mimi49 Mrembo by Nature watu8 mwekundu miss chagga tinna cute Simplicity Eiyer etc
Sasa mwenye vyake kasusa, dada wa watu analalamika. Tuwe waungwana tu, mbona mambo mengi tunasaidiana why not in this one!?
Kusema ukiwa na hasira unaweza piga mtu risasi
bora unune kwanza hadi hasira iishe ndo uanze talk
hiyo staili yako ya kumvamia mtu bafuni mnhhhh mi chichemi
Kusema ukiwa na hasira unaweza piga mtu risasi
bora unune kwanza hadi hasira iishe ndo uanze talk
hiyo staili yako ya kumvamia mtu bafuni mnhhhh mi chichemi
Amekutana na mageni akaja kutafuta ushauri kwa ambao wameshawahi kununiwa au wenye tabia ya kununia wenzi wao