Huku Majohe, Ukonga, Kipunguni, Chanika, Gongo la mboto, Pugu, Kisarawe na maeneo yote ya Gongo la Mboto hatuna umeme leo siku ya tano. Hatukumbuki kabisa, imebidi nihame kwa muda maana kazi zangu zinategemea umeme. Swali la kujiuliza huku hatuna maji ya dawasco tunavuta chini kutumia mashine.
Wanadai transforma imeungua sasa swali la kujiuliza wanashindwa hata kutugawia kwa line nyingine tukagawana na wengine ili tusukume maji. Hili taifa letu tusipobadilika sisi wenyewe umasikini utaendelea kututafuna haiwezekani siku tano bila umeme. Waziri Simbachawene waamshe hao tanesco. Tumechoka...