Hatuna umeme siku tano

Hatuna umeme siku tano

Ungepitia pitia habari muhimu za wiki iliyopita ungeelewa kuwa mitambo mipya kabisa ya kufua umeme kwa kutumia gas iliyopo Kinyerezi imekwisha simikwa na sasa inafanyiwa majaribio.

Na mitambo ya zamani inayotumia mafuta mazito nayo inabadilishwa ili itumie gas yetu, kwa hiyo tutegemee umeme kukatika hapa na pale kwa takriban miezi miwili.

Kikwete anatuwachia umeme wa miaka 20 ijayo.

Miezi 2 hahahaaa eti kikwete anatuachia umeme!! Bye bye ccm
 
Huko majohe,gmboto na chanika ni tatizo la kudumu. Mara nyingi tatizo hili linatokea wala si mara ya kwanza hii.

Halafu nashangaa watakaopigia CCM kura, umeme siku 5 hakuna? Maajabu ya serikali ya CCM haya.
 
Mhhh kweli hali tete siku 5 mfululizo ni hasara kubwa sana sio tu kwa wafanyabiashara.
 
umeme wa uhakika mtaupata wako kwa ajili ya kuhamisha matumizi ya umeme kutoka kwenye mafuta mazito kwenda kwenye gas
 
Yaan msishangae kabisa, mm nimekuja arusha sahz ninamwez cha ajabu umeme asubuh sa moja wamekat kurud sa tano uck na ikitokea wakaacha mchana ujue hauzid sa nane na mwez sahz umekatika kwa mwendo huo huo. Nachojiuliza ni kwamba maendeleo kwa huu mwez yanafanyika sa ngapi? Au ndo wanataka kufuga wezi nn?, serikali itakayoingia madalakan ijipange kabisa maana si kwa upuuz huu unao endelea kwa sasa!!!
 
Daah ni shida nmeathirika sana leo, kuvaa shati ambalo alijapigwa pasi kama limetemwa na mbuzi.... Ndo tanzania yetu..
 
Ni hatareeee

Matatizo , Shida , Madhila yote hayo mnayokumbana nayo ! Utakua kiumbe wa ajabu ktk uchaguzi uliyo mbele yetu ukawapa kura yako , watawala walewale waliotawala miaka 50 ! Na hali iko hivyo !
 
ccm mbele kwa mbele,acha wapasuke,tumeipenda wenyeeeweeeeee
 
Ungepitia pitia habari muhimu za wiki iliyopita ungeelewa kuwa mitambo mipya kabisa ya kufua umeme kwa kutumia gas iliyopo Kinyerezi imekwisha simikwa na sasa inafanyiwa majaribio.

Na mitambo ya zamani inayotumia mafuta mazito nayo inabadilishwa ili itumie gas yetu, kwa hiyo tutegemee umeme kukatika hapa na pale kwa takriban miezi miwili.

Kikwete anatuwachia umeme wa miaka 20 ijayo.


...upuuzi mtupu' wa serikali isiyojali walipa kodi na wapiga kura wake! Siku tano wananchi hawana umeme, alfu unaleta maneno ya kisiasi' "ingekuwa kuwa ni maeneo ya Masaki na O/bay' wanakokaa vigogo wachumia matumbo yao, na wasiolipa kodi'mgefanya haraka sana, ndani ya siku moja umeme ungerudi" lakini kwa vile ndiyo huko mnakokuita ushenzini, ndiyo maana hamjali...!
"Shame on you ccm"
 
Ukitaka umeme.wa uhakika kwa hapa Tz labda ununue solara panel yako ya kutosha hapo kidogo utakuwa na uhakika ila sio huo wa tanesko
 
Nimepita sehemu nikakuta wanauza kitimoto fresh nikanunua kilo kumi, nimefika nyumbani hakuna umeme.
Imebidi wife afanye kazi ya ziada ya kuikaanga yote.

Au wanaonyesha LIVE mambo ya EL ?

Tarehe 25.10 tunaisubiri kwa hamu sana.
 
Back
Top Bottom