Kiranga mtumwa wewe unanisemea maneno ya uongo Mimi? Niliyekufungua uwezo kujitambua na ukaweza kujielezea jinsi gani ulivyo mtumwa ukifafanua awali ya yote jinsi gani ulivyo mtumwa wa Muda sasa hio post number sikukupa link au nikupe tena?Wewe ndiye unajiaibisha kwa maneno ya jumla ya "pale juu" bila kutoa post number wala link.
Kwa ukweli hapa wewe ndiye umejionesha kwamba hujasoma, JF wamejitahidi kuiwekea kila post namba yake, lakini wewe hujui hata kusoma namba ya post na kuitoa kama reference.
You are an innumerate.
Nakushukuru sana.Mkuu ungefanya kumpotezea mana mjadala wenu unaharibu lengo la mtoa mada kwa alichotaka tujifunze
Mtumwa definition yake ni pamoja na wewe Kiranga unashindwa kuji-define jinsi gani ulivyo mtumwa?Nimekuuliza definition ya ntumwa ni nini? Mpaka sasa hujajibu.
Nimeambiwa niachane mjadala na wewe kwa sababu wewe ni mshenzi usiyejua hata kujifuta mavi.Kiranga mtumwa wewe unanisemea maneno ya uongo Mimi? Niliyekufungua uwezo kujitambua na ukaweza kujielezea jinsi gani ulivyo mtumwa ukifafanua awali ya yote jinsi gani ulivyo mtumwa wa Muda sasa hio post number sikukupa link au nikupe tena?
Pole sana mtumwa Kiranga
Umeshindwa hoja mtumwaNakushukuru sana.
Nampeleka ignore list mazima maana naona kuendelea kujibizana naye kunaweza kuwatoa kwenye reli bila ya kumuongezea yeyote chochote.
Samahani sana kwa mazungumzo yoyote ambayo hayajafikisha viwango ambayo ninaweza kuwa nimeghafilika kuyafanya katika kujibizana naye.
Nakuahidi hayatat9kea tena, kwa sababu naenda kumpwleka ignore list.
Asante sana kwa uelewa wako na kusimamia mada ya msingi.
Upo kwenye ignore list yangu.Mtumwa definition yake ni pamoja na wewe Kiranga unashindwa kuji-define jinsi gani ulivyo mtumwa?
Pole sana mtumwa Kiranga
Sawa mtumwa Ila kukimbilia ignore pia ni sehemu ya utumwa wa kushindwa kusimamia hojaNimeambiwa niachane mjadala na wewe kwa sababu wewe ni mshenzi usiyejua hata kujifuta mavi.
Na hapa unatuletea kipindupindu tu.
.
Utapindua neno lolote na kutushinda kwa uzofu wako kwenye ujinga.
Kwa hivyo, nakupeleka kwenye ignote list.
Kuanzia hapa sitaona ushuzi ma iharo wako wowote.
Kamwe.
Nimekuzidi pakubwa mno nikirejea majibizano yetu nimebaini kwamba wewe ndio huna kiwango cha kujadiriana na Mimi hata unafika maamuzi ya kukimbilia ignore baadala ya kujadiri hadi kufika mwafaka maana yake upepo wangu na wako havifanani mtumwaUpo kwenye ignore list yangu.
Kuanzia hapa sitaona chochote utakachoandika.
Kwa sababu hujafikia kiwango cha kujadiliana nami.
Miaka 5 ndani ya jeshi upande ufikie nyota tatu?,hata kama alianzia nyota moja hii habari nina wasiwasi nayoBonjour
Jamani haya maisha, tuache kudharau watu ambao tunawajua na tusio wajua
Kuna jamaa yangu mmoja, nili meet nae almost 5 years ago alikuwa boda boda, alikuwa ana park Kimara pale stend ya kuelekea Bonyokwa, nakumbuka alikuwa amechoka na kama kapoteza future, ila Leo tumekutana tena hapa Kambi ya Jeshi Twalipo.. ni officer wa Jeshi JWTZ , ana nyota tatu (3).
Ana mdogo wake pia, ni soldier komando, last time nili meet nae, alikuwa school driving..
Aisee imenipa hope sana
Kuhusu alifikaje, kasema ataniambia..
Tuache kuwachukulia watu poa.
Kwani katokea wapi huyo jamaa kila kitu Mtumwa Mtumwa au ndo kaja kutolea stress hukuUtumwa ni nini? Hujajibu swali hili bado.
Huku uko tafuta fursa😅😅😅Huku sina mzuka nilikuwa na mipango kibao imefifia ghafla.
Oya Mzee...mim hapa najitafuta, natafuta mtaji , then naingia kwenye biashara, Kuna fursa nimeiona sehem, inahitaji mtaji wa pesa na equipments.HAlafu balaa ni kwamba kuna wadau wanasoma comment yako wanaweza kukuvusha Ila sasa wanakuacha uendelee kuwa mtumwa, you're a slave you keep on obeying your master na unalipwa ujira kidogo Pole sana mtumwa.
Sasa kuna watumwa wengi sana wenye maelezo kama yako huku wakiwa wamebebeshwa vyeti vinaitwa degree wengi hujisemea Mimi ni degree holder Ila kazi ninayoifanya acha tu yaan nilijua nikisoma nitapata kujikomboa Ila nimebaki kuwa mtumwa.
Pole tena mtumwa wewe ni mtumwa umepigwa minyororo na hata ukipata decent job utumwa wako hautoishia hapo wewe ni mtumwa mpaka unaingia kaburini, pole sana mtumwa
Nitaandika shairi lako mtumwa...
Pole sana mtumwa
Sawa mtumwa kabla hujafungua biashara hio ya kitumwa unayoifikiria kuianzisha huku hauna hata mtaji usisahau your master is watching you, sawa mtumwa jiandae kisaikolojia katika hio biashara ya kitumwaOya Mzee...mim hapa najitafuta, natafuta mtaji , then naingia kwenye biashara, Kuna fursa nimeiona sehem, inahitaji mtaji wa pesa na equipments.
Naomba unipe muda tu
Watumwa wengi leo ni sikukuu ya Noel Ila wanaishia tu kula harufu ya pilau linalopikwa nyumba za jirani watumwa hawana uwezo ku-afford hata wali au pilauHahah sawa bhnaa
Inawezekana hata wewe, unapigwa na jua huko, lakini huwezi kusema humu jf
Hawa wengine inawezekana wana matatizo yao ya kisaikolojia wanayamalizia hapa.Kwani katokea wapi huyo jamaa kila kitu Mtumwa Mtumwa au ndo kaja kutolea stress huku
Huyo atakua na matatizo ya akili sio bure.Kwani katokea wapi huyo jamaa kila kitu Mtumwa Mtumwa au ndo kaja kutolea stress huku
Kweli?Hawa wengine inawezekana wana matatizo yao ya kisaikolojia wanayamalizia hapa.
Acha usenge basiSawa mtumwa kabla hujafungua biashara hio ya kitumwa unayoifikiria kuianzisha huku hauna hata mtaji usisahau your master is watching you, sawa mtumwa jiandae kisaikolojia katika hio biashara ya kitumwa
Pole sana mtumwa
Kichwa yako ngumu kuelewa..Kwahiyo ukiwa soldier na nyota 3 ndio umefanikiwa?
Kazi zote za kijeshi ni utumwa , wakuu wa kambi na wakuu wa majeshi ndio walio na unafuu kidogo.