Asante sana mtumwa kwa kupaniki Ila kupaniki kwako ni kuonyesha jinsi gani umenielewa vizuri mtumwa na maelezo yangu yamepenya mpaka kwenye mfupaWewe kama huwezi kuamua hata tatehe yako ya kuzaliwa, basi pia ni mtumwa.
Unaweza kufikiri kuwa umeamua maisha yako katia dunia hii ya leo, umeamua nini cha kuandika JF.
Kumbe, hata dunia uliyoikuta, hiyo Tanzania uliyoikuta na iliyokuumba, imeumbwa na maamuzi yaliyotiwa saini na JK Nyerete.
Na hata ukiikataa hiyo, hii JF uliyoikuta na kuitumia, ina misingi iliyowekwa na Maxence Melo.
Na yote unayoyajua ni matokeo ya walimu waliokufundisha yaliyopita tu.
Hivyo, wewe pia ni mtumwa tu
Kwanza kabisa, kama huwezi kujua kesho yako itakuwaje, wewe ni mtumwa wa muda.Nishakupa maana haya sasa lete maneno mtumwa
Naona mtumwa unazidi kujifariji na utumwa wako na hii inaonyesha ni jinsi gani umejitambua kua wewe hakika ni mtumwa na ni jinsi gani unajivunia kua mtumwa na unajiambia pasina kua na mawaa wewe ni mtumwa ambae bado upo utumwaniKwanza kabisa, kama huwezi kujua kesho yako itakuwaje, wewe ni mtumwa wa muda.
Muda na matukio yatakayotokea katika muda yanakufanya uwe mtumwa wa muda.
Hakuna mtu yeyote anayeweza kuuepuka utumwa huu.
kwa maana hoyo, wote sisi ni watumwa wa muda.
Huna uwezo wa kubadili kesho yako.
Wewe pia unayejifaragua kivyovyote leo, ni mtumwa wa muda.
Hujui kesho nini kitatokea kubadili nini katika maisha yako.
Unakubali hilo?
Wewe kuniona mimi nimepaniliki kunaweza pia kuwa ni matokea ya wewe kutonielewa na wewe mwenyewe kupaniki katika mtiririko wa kuelewa mawazo yako, kutojieleq , au kutoielewa dunia.Asante sana mtumwa kwa kupaniki Ila kupaniki kwako ni kuonyesha jinsi gani umenielewa vizuri mtumwa na maelezo yangu yamepenya mpaka kwenye mfupa
Pole sana mtumwa
Mpaka sasa hujawe,a hata ku define mtumwa ni nani.Naona mtumwa unazidi kujifariji na utumwa wako na hii inaonyesha ni jinsi gani umejitambua kua wewe hakika ni mtumwa na ni jinsi gani unajivunia kua mtumwa na unajiambia pasina kua na mawaa wewe ni mtumwa ambae bado upo utumwani
Pole sana mtumwa
Inawezekana sema elimu na bahati inahusika, binamu yangu alikua ni intake ya 2014 alihitimu form six hata chuo hakuenda, nenda TMA miezi 10 (kabla ya hii military science),baada ya kumaliza miezi 6 ya Kihangaiko. Wekwa nyota miezi 9 mbele nyota ya pili (hii huja tu bila kwenda kozi). Katumikia mwaka mmoja zikatoka nafasi za kwenda kuongeza elimu, shwaa akawepo kwenye bogi tena na hii unajilipia, so kwa kabla hata ya 2019 tayari ana mawe matatu.5 years utoke kutoka JKT, private mpaka captain???
Uliona nyota ngapi?Sio mfano Mzee .
It's really.. nimeona stars kwenye mabega..
Sasa mm sijui, mchakato wa kupata hiko cheo inachukua muda.
Ninachojua ukiwa na Elimu kubwa ndio unapata promotion ya vyeo
Na jamaa na meet, alikuwa kashamaliza chuo, miaka kadhaa nyuma
Ni big brother kabisa kwangu..
Mtumwa umepaniki andika ukiwa umetulia unakosea kuweka maneno vizuri kwenye mpangilio unaofaa mtumwaWewe kuniona mimi nimepaniliki kunaweza pia kuwa ni matokea ya wewe kutonielewa na wewe mwenyewe kupaniki katika mtiririko wa kuelewa mawazo yako, kutojieleq , au kutoielewa dunia.
Unaelewa hayo?
5 years utoke kutoka JKT, private mpaka captain???
Kiranga what's your education level? Hauoni km unajiaibisha kwa ulichokiandika mtumwa pale juu nimekuwekea definitions 3 zilizonyooka na umezisoma ukaelewa sasa unasemaje sijakupa definition mtumwa?Mpaka sasa hujawe,a hata ku define mtumwa ni nani.
Na kutoweza ku define huku kunakutoa kwenye list ya watu wanaoweza kuongelea utumwa kwa mafundisho yoyote yenye maana..
Kwa sababu, kama huwezi hata ku define utumwa ni nini, huwezi kutufundisha kuhusu chochote utumwa.
5 years utoke kutoka JKT, private mpaka captain???
🤣🤣🤣Jamaa umenivunja mbavuKuna mdada alikua bar maid anashikwa matako na walevi, Leo hii Ni mkuu wa mkoa.
We jamaa una ujinga mwingi ata kama ni kiki unatafuta, lakini jaribu kua mstarabu kwenye nyuzi watu wanazojadili kistaarabuNa usisahau wewe ni mtumwa
Pole sana mtumwa
Mkuu ungefanya kumpotezea mana mjadala wenu unaharibu lengo la mtoa mada kwa alichotaka tujifunzeKwanza kabisa,
Mtumwa ni nani.
Nimekuuliza definition ya ntumwa ni nini? Mpaka sasa hujajibu.Mtumwa umepaniki andika ukiwa umetulia unakosea kuweka maneno vizuri kwenye mpangilio unaofaa mtumwa
Pole sana mtumwa
Wewe ndiye unajiaibisha kwa maneno ya jumla ya "pale juu" bila kutoa post number wala link.Kiranga what's your education level? Hauoni km unajiaibisha kwa ulichokiandika mtumwa pale juu nimekuwekea definitions 3 zilizonyooka na umezisoma ukaelewa sasa unasemaje sijakupa definition mtumwa?
Pole sana mtumwa
Hata Mimi nimewaza. This is not true5 years utoke kutoka JKT, private mpaka captain???