Hatimaye yameshatimia, Kadi za Bima NHIF hazipokelewi hospitali za Private

Magufuli ndiye anapaswa kulaumiwa first maana ndani ya uongozi wake ndipo NHIF ilianza mauzauza rasmi.
Hii ni impact ya Magufuli.
Wewe sio mzima. Tokea uhuru wa hii inchi kuna kipindi bima ya afya ya taifa ilikuwa inafanya kazi vema kama kipindi cha magufuli?

Nyie ndio wapuuzi ambao hata mkizeeka mtakuja kuwahadithia uongo wajukuu wakiamini babu kaona mengi kumbe babu ni zero kichwani alikuwa anapepesa macho na habari za kupewa na kusoma mitandaoni hakuwahi hata kufanya utafiti au kuona uhalisia wa mambo.

Kipindi cha magufuli ndio bima ya afya ya taifa imerudi kwenye chati kwa nguvu sana na raia wameona matunda ya kuwa na bima.

Ila kabla ya hapo hali ya huduma kwa bima ya afya ni kama sasa alivyoingia huyu kikwete wa kike.

Shida ya bima ya afya ya taifa ni upigaji, hospital zinaongeza bei kila uchao, plus mahitaji yanaonekana kuwa makubwa sababu raia wanajaziwa hata vipimo au huduma ambazo hawakutumia.

Uwe unatazama video za YouTube uone namna serikali kipindi cha magufuli walipokuwa wanafuatalia sana uzembe na ubadhirifu kiasi kwamba serikali ikawa haiingii hasara eneo hilo.

Msiwe mnaropoka vitu na hakuna ushahidi wala ukiulizwa hapa ni nini kinaendelea huna cha kusema zaidi ya story za kikuda tu.
 
Wana bodi, Kichwa cha habari kinajieleza Usiku wa leo nilimpeleka mwanangu hospitali ya IMEC hapa manispaa ya Iringa kupata matibabu baada ya kupatwa na homa ya ghafla.

Aisee! Nilichokutana nacho ni kwamba wamesitisha kupokea kadi za NHIF labda bima zingine. Kwa hali hii, sijui serikali inatupeleka wapi wananchi.

Huko vituo vya serikali kwenyewe huduma ni mbovu plus foleni.
Daah! Tanzania nchi yangu😭😭
Yule Waziri wenu wa Afya anasemaje?
 
Kimsingi Mwendazake ndio aliua NHIF Kwa kuchukua pesa zake.

Pili NHIF imekuwa ikipata hasara kubwa sana

Serikali haiwalipi pesa wanazodai hao Private na matokeo yake ndio haya.

Mama Samia tunataka majibu ya mstakabali wa NHIF.
 
Wana bodi, Kichwa cha habari kinajieleza Usiku wa leo nilimpeleka mwanangu hospitali ya IMEC hapa manispaa ya Iringa kupata matibabu baada ya kupatwa na homa ya ghafla.

Aisee! Nilichokutana nacho ni kwamba wamesitisha kupokea kadi za NHIF labda bima zingine. Kwa hali hii, sijui serikali inatupeleka wapi wananchi.

Huko vituo vya serikali kwenyewe huduma ni mbovu plus foleni.
Daah! Tanzania nchi yangu
Sema ukweli sisi tumekupokea pale ulikuwa na shida kwenye kadi ... usichafue jina la hospitali yetu. Sio ustaarabu
 
Back
Top Bottom