Hatimaye yameshatimia, Kadi za Bima NHIF hazipokelewi hospitali za Private

Ikwefi

Member
Oct 2, 2013
36
20
Wana bodi,baada ya kuripoti kadi ya NHIF kutopokelewa hospitali za private,hatimaye nimefanya uchunguzi wangu binafsi mbali na hospitali ya IMEC iliyopo manispaa ya Iringa,nikagundua kwamba,sio private zote hazipokei,bali ni hiyo tu moja(IMEC) ambayo hawajatoa sababu za kueleweka kwanini wameacha kuwahudumia wateja wa NHIF.
Niombe radhi kwa kusababisha taharuki kwa kutofanya research kabla ya kurusha bandiko la namna ile.
Nimalize kwa kusema,"Muungwana akivuliwa nguo,huchutama"
 
Wana bodi,Kichwa cha habari kinajieleza
Usiku wa leo nilimpeleka mwanangu hospitali ya IMEC hapa manispaa ya Iringa kupata matibabu baada ya kupatwa na homa ya ghafla.Aisee!Nilichokutana nacho ni kwamba wamesitisha kupokea kadi za NHIF labda bima zingine.
Kwa hali hii,sijui serikali inatupeleka wapi wananchi.
Huko vituo vya serikali kwenyewe huduma ni mbovu plus foleni.
Daah!Tanzania nchi yangu
Sasa mkuu umeenda hospital moja tu na tayari umesha conclude kwamba NHIF haipokelewi private?
 
Wana bodi, Kichwa cha habari kinajieleza Usiku wa leo nilimpeleka mwanangu hospitali ya IMEC hapa manispaa ya Iringa kupata matibabu baada ya kupatwa na homa ya ghafla.

Aisee! Nilichokutana nacho ni kwamba wamesitisha kupokea kadi za NHIF labda bima zingine. Kwa hali hii, sijui serikali inatupeleka wapi wananchi.

Huko vituo vya serikali kwenyewe huduma ni mbovu plus foleni.
Daah! Tanzania nchi yangu😭😭
Serkali inadharau wacha zikataliwe wanaleta uhuni kwa biashara za watu.
 
Back
Top Bottom