Hatimaye wazee wadai Mustapha Mkullo si mtanzania

CCM imeshathibitisha kama ni raia

What is CCM? Kama Uhamiaji wamesema, Ikulu wanajua na hawajaifanyia kazi taarifa, then we are finished and we have every right to put a serious government. This is why I see Dr Slaa sailing through easily, labda waibe kura kama walivyozoea.
 
Dr. Silaha za Maangamizi na yeye ni raia wa Iraq!
 
KWA VILE ALIKUWA ANAISHI TANGANYIKA WAKATI WA UHURU NA PIA ALIKUWA NCHINI WAKATI TANZANIA INAZALIWA MWAKA 1964. JE, SHERIA YA URAIA WA TANZANIA INASEMAJE KUHUSU URAIA WAKE?

Kwa watu waliokuw wakitoka kwenye nchi zilizo chini ya himaya ya Uingereza walitakiwa kuukana uraa wa nchi walikotoka na kuchukua uraia wa Tanganyika au wa Tanzania. Watoto wao hawapewi uraia moja kwa moja sababu ya uraia wa wazazi wao (Wenye swala hili tu, maana nao kiuzao bado ni raia wa nchi asili ya baba zao) bali wanatakiwa kuukana uraia wa asili wa wazazi wao mara wafikishapo umri wa miaka 18. Sasa kuzaliwa Tanganyika si hoja. Nilisoma na mwanafunzi ambaye baba yake alikuwa mwalimu lakini raia wa Malawi, hakuukana uraia wake ilipofika muda alirudi kwao na wanawe.

Japo ilikuwa shule ya serikali ilimpasa alipe ada! Hivyo kama Mkul(L)o baba yake ni Mnyasaland na hakuukana uraia wake , afuate njia aliyopita Jeneali Ulimwengu. Si kashfa bali ni taratibu na mazoea mabaya ya waTanganyika kutohakiki uraia wa mtu, japo kila mtu kule kijijni kwao anafahamu mtu huyo ni mtoto wa mnyasa. aelekea kusema kiswahili bila lafudhi ya nje ni tiketi ya uraia!!

Uhakiki huu usifanywe kwa jazba au witch hunting. Marekani wao wanasera zao kwenye nafasi ya Urais na si ugavana!!
 
Nashangaa leo watu wanashangaa kuwa MKULO si raia wa TANZANIA lakini tunashangaa nini wakati huyu hata hata chembe ya credibility. Nadhani huyu ndiye waziri wa fedha pekee duniani aliyesoma CHUO FEKI na kupata DEGREE FEKI (btw Chuo hicho kinatoa Degrees mpaka kwa MBWA) na leo hii ndiye anakaa kwenye wizara nyet ya Tanzania. Ukimkuta pale Wizarani anavyo wadharau na kuwaendesha puta Wa Tanzania ndio utakubali kuwa hapa tulipo tuko pabaya.

Sasa kama mnataka kujua ukweli then:

1. Nendeni Kilosa mkatafute ukoo wake kama mtaupata

2. Muulizeni alete cheti chake cha kuzaliwa

3. Muulizeni baba yake alitokea wapi kabla hajahamia kilosa

4. Muulizeni baba yake alikuwa anafanya nini kabla ya kuhamia Kilosa

5. Muulizeni baba yake alizaliwa wapi?

6. Kama mlivyomuuliza kuhusu Baba yake, si vibaya mkamuuliza kuhusu Mama yake

7. Muulizeni kwa nini wale Mabosi INCLUDING wale senior Govt officials ambao ni wa MALAWI wenzie kwa nini hawataki kumtetea kipindi hiki ambacho yuko kwenye majaribu wakati wanajulikana kwa kuwa OUTSPOKEN?

7. Msiwalaumu USALAMA kwani file lipo na alishafanyiwa vetting ila si kazi yao kutoa kazi au kukamata kamata.

sidhani unatakiwa uwe umezaliwa Tanzania au Tanganyika ndio uwe Mtanzania. Huu ni unyanyasaji
 
Kwa watu waliokuw wakitoka kwenye nchi zilizo chini ya himaya ya Uingereza walitakiwa kuukana uraa wa nchi walikotoka na kuchukua uraia wa Tanganyika au wa Tanzania. Watoto wao hawapewi uraia moja kwa moja sababu ya uraia wa wazazi wao( Wenye swala hili tu, maana nao kiuzao bado ni raia wa nchi asili ya baba zao) bali wanatakiwa kuukana uraia wa asili wa wazazi wao mara wafikishapo umri wa miaka 18. Sasa kuzaliwa Tanganyika si hoja. Nilisoma na mwanafunzi ambaye baba yake alikuwa mwalimu lakini raia wa Malawi, hakuukana uraia wake ilipofika muda alirudi kwao na wanawe. Japo ilikuwa shule ya serikali ilimpasa alipe ada! Hivyo kama Mkul(L)o baba yake ni Mnyasaland na hakuukana uraia wake , afuate njia aliyopita Jeneali Ulimwengu. Si kashfa bali ni taratibu na mazoea mabaya ya waTanganyika kutohakiki uraia wa mtu, japo kila mtu kule kijijni kwao anafahamu mtu huyo ni mtoto wa mnyasa. aelekea kusema kiswahili bila lafudhi ya nje ni tiketi ya uraia!!
Uhakiki huu usifanywe kwa jazba au witch hunting. Marekani wao wanasera zao kwenye nafasi ya Urais na si ugavana!!

Wewe ulijuaje hakukana urai wake wa zamani? Wewe ni immigration offer?
 
Inawezekana hii ikawa kweli maana kule NPF (sasa NSSF) alimpandisha mama mmoja toka vyeo vya kati mapaka kuwa Deputy Director General wake...huyu mama ni mzaliwa wa Malawi (na mama yake mzazi yuko Malawi hata Kiswahili hakijui wala kukanyaga Tanzania) hajawahi...na yupo hata leo kama DDG ingawa Dr Dau ahamzimii kabisa....
 
Nashangaa leo watu wanashangaa kuwa MKULO si raia wa TANZANIA lakini tunashangaa nini wakati huyu hata hata chembe ya credibility. Nadhani huyu ndiye waziri wa fedha pekee duniani aliyesoma CHUO FEKI na kupata DEGREE FEKI (btw Chuo hicho kinatoa Degrees mpaka kwa MBWA) na leo hii ndiye anakaa kwenye wizara nyet ya Tanzania. Ukimkuta pale Wizarani anavyo wadharau na kuwaendesha puta Wa Tanzania ndio utakubali kuwa hapa tulipo tuko pabaya.

Sasa kama mnataka kujua ukweli then:

1. Nendeni Kilosa mkatafute ukoo wake kama mtaupata

2. Muulizeni alete cheti chake cha kuzaliwa

3. Muulizeni baba yake alitokea wapi kabla hajahamia kilosa

4. Muulizeni baba yake alikuwa anafanya nini kabla ya kuhamia Kilosa

5. Muulizeni baba yake alizaliwa wapi?

6. Kama mlivyomuuliza kuhusu Baba yake, si vibaya mkamuuliza kuhusu Mama yake

7. Muulizeni kwa nini wale Mabosi INCLUDING wale senior Govt officials ambao ni wa MALAWI wenzie kwa nini hawataki kumtetea kipindi hiki ambacho yuko kwenye majaribu wakati wanajulikana kwa kuwa OUTSPOKEN?

7. Msiwalaumu USALAMA kwani file lipo na alishafanyiwa vetting ila si kazi yao kutoa kazi au kukamata kamata.

Hii lugha sio ngeni hapa janvini inafananafanana kama vile ni lile genge la watu fulani wakiongozwa na GT ambae nadhani siku hizi ana ID mpya humu; nia yao kubwa ni kutaka jamaa yao wanaemtaka wao ndiye awe waziri wa fedha ili wapate kutuibia!! Mkulo amekuwa serikalini kwa muda mrefu na pia kaongoza taasisi nyeti za nchi yetu lakini hata siku moja hakuna mtu aliyehoji uraia wake, imekuwaje sasa ndio watu waanze kuutafuta uraia wake? Hakuna kitu kingine ni hiyo kazi ya uwaziri wa fedha wanataka apewe mtu fisadi babu kubwa!!
 
What is CCM? Kama Uhamiaji wamesema, Ikulu wanajua na hawajaifanyia kazi taarifa, then we are finished and we have every right to put a serious government. This is why I see Dr Slaa sailing through easily, labda waibe kura kama walivyozoea.

Wenye uwezo wa kuzuia wizi wa kura ni wananchi wenyewe. Kama kweli wamechoka, basi wizi hautakuwapo. Inaonekana wamechoka. Tusubiri Oktoba!
 
Inawezekana hii ikawa kweli maana kule NPF (sasa NSSF) alimpandisha mama mmoja toka vyeo vya kati mapaka kuwa Deputy Director General wake...huyu mama ni mzaliwa wa Malawi (na mama yake mzazi yuko Malawi hata Kiswahili hakijui wala kukanyaga Tanzania) hajawahi...na yupo hata leo kama DDG ingawa Dr Dau ahamzimii kabisa....

Huyo mama kapewa ubosi mwingine kule NIC sasa sijui aliyempa hiyo kazi ni huyo mmalawi mwenzie (mkulo) au nani lakini yupo na sio siri kila mtu anajua kama ni mmalawi

anaitwa KATE BANDAWE

subirini CHADEMA wakiingia hawa watu wote watashughulikiwa ipasavyo maana naona CCM wameshindwa kufunga mipaka kuzuia hawa illegal immigrants ambao wananyanganya kazi wazawa
 
Tanzania kama nchi tumekosa miiko, maadili na utaifa. Tanzania imekuwa kama no man's land ambako mtu yeyote anakuja na kufanya umafya wake kama anavyotaka.

Tunatakiwa kama taifa tuwe na miiko na maadili ambayo mgeni hata kama ameomba na kupewa uraia wa nchi hii haruhusiwi kushika political post mpaka kizazi chake cha pili. Lazima vizazi vyake vi-adapt utamaduni wa mtanzania kabla ya kuingia kwenye nafsi ambapo anaweza kufanya maamuzi ambayo yanaweza yakawaathiri mamilion ya Watanzania. That is my observation
 
Mmeishaanza kulana wenyewe. Hii sumu mliingiza kwa Jenerali sasa mtamgeukia kila mtu ambaye anatoka mikoa ya mipakani. Kama vile ilivyokuwa kwa Jenerali, huyu jamaa katumikia taifa lake muda wote huu ila sasa kwa vile mmemechoka ndiyo mnaleta upuuzi huu! Hao mnaowaita wahamiaji ndiyo waliosimama kidete na watanganyika wenzao kugombea uhuru wa nchi hii. Au mmesahau Katibu Mkuu wa kwanza, mzaliwa wa Kwambe, wa TANU alikuwa nani? . Au Dennis Phombeah? Au wakina Dr. Mtawali? Wote hawa na wengine walichangia na walikubalika katika taifa hili bila kujali kama waliongea kiswahili kwa lahfudhi ya kinyasa. Mnasahau kuwa kabla ya uhuru watu wengi tu walienda Nyasaland na Northern Rhodesi kusoma? mnasahau vilevile kuwa wapiganaji wengi walitoka huko kuja kusoma hapa? Katika mazingira yenu ya sasa yanayoendeshwa zaidi na chuki wazalendo kama wakina Amir Jamal, leader Stirling wsingekuwa na nafasi! Mnatia kichefu chefu na aibu.

Mwandameni Mkulo kwa mapungufu yake ( ambayo anayo mengi) lakini si hili la ukabila.

Amandla......
 
Back
Top Bottom