MafurikoWanafuta sana nyuzi.
Kujichanganya huwepo kutokana na hoja inasemaje. kuna hoja za kidini na kisiasa. Ukizichanganya hizi ndio tatizo.TEC ni Baraza langu naliheshimu sana lakini naona limejaa unafiki mkubwa na uzandiki.
Sasa Tusubirie waraka wa BAKWATA na Kisha taasisi zingine za kidini!!!!
TEC acheni unafiki, acheni kuivuruga nchi, acheni kujiingiza kwenye siasa mnailigawa taifa letu.
Kumbukeni nchi ikichafuka hakuna atakaye pona.
Kweli uwezi tenganisha dini na siasa,kuna watu kama bishop Desmond Tutu nI nfano mzuri alijijengea heshima ndani na nje ya Afrika kusini.Naona mods wanajitahidi kufuta threads zinazohusu maoni ya udini na siasa. But mwisho wa siku ukweli ni kwamba dini na siasa HAVITENGANI!
Wanasiasa ndio hao hao wanadini ama sivyo wakati wa uchaguzi wanasiasa wachaguliwe na wanasiasa wenzao na wanadini wabaki na imani zao!
Nchi ni yetu sote!
Hapo ulipomtaja Zitto nimekuelewa kabisa! Hawa jamaa sio wa kuwaamini kabisa! Hata wasome kivipi upumbavu hautoki kichwani mwao! Huyo mwarabu muislamu mwenzio kwanza yeye hataki kujiita mweusi! Ni racist! Anawaona waafrika kama manyani! Akina Zitto na Kikwete wanashangilia kumpa bandari muarabu ili hali muarabu anawanyanyapaa! Wanadhani kwa kumpa mwarabu bandari ndo wanaenda peponi! Hawa jamaa wapumbavu kabisa! Ni shidaIt is very simple! Issue ni mkataba mbovu sasa udini unatoka wapi. natamani Public figures wangelijitokeza wakamjibu. Ukiona hata Zito amenyamaza as if hakuna kinachoendele, ujue hawa dini inawafanya wajinga!
Hakikaa!!!Haukuna siri chin ya jua... 🤣Naam!
Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza. Leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.
Waraka wa Baraza la Maaskofu (Roman Catholic) kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika, ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini. Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili...
Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais Mstaafu Awamu ya Nne kutokea huko Rorya-Mara. Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini," akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Kiujumla, hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe, wameona wajaribu kutumia majukwaa ya kidini ili ku-push DP-WORLD.
Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha. Hii ni kwa sababu Mkuu wa Sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.
TEC inao uwezo wa kuongea na dunia na ikaeleweka.
View attachment 2723168View attachment 2723169
Mnakosea jamani mbona mnakuwa na akili ndogo kiasi hicho. Alichomaanisha Dkt Kikwete ni kuwa madhabahuni siyo sehemu ya kuhubiria siasa na hili limejitokeza madhehebu yote siyo wakristo tu bali hata waislamu. Dkt Kikwete ni baba yetu tuwe na staha na heshima jamani. Atakeyebisha nitamlamba dislike [emoji107]
Mi mwenyewe simuelewi,huku kuna mwanae atusumbueHuyu mzee anataka nini kingine ?
Haijawahi kutokea, wala haitawahi kutokea!Kila mtanzania ni mwana CCM hivyo ni baba yako pia kama alivyo baba yangu mimi.
Labda hujamuelewa mkuu amemaanisha nibaba wauislamNi baba yako mwenyewe, usitujumuishe na sisi
Muasisi mkuu wa ufisadi na udini tanzania. Kila akiguswa anakimbiliaga kwa wenzake na kubwata oh Udini. Tunakumbuka wewe Jakaya ulihudhuria conference ya kusilimisha Africa Abuja. Ulivyo ndumilakuwili ukamshawishi komando wa zenj akajiunge OIC ukapigwa na kitu kizito kichwani. Tunakufahamu sana.Naam!
Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza. Leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.
Waraka wa Baraza la Maaskofu (Roman Catholic) kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika, ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini. Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili...
Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais Mstaafu Awamu ya Nne kutokea huko Rorya-Mara. Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini," akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Kiujumla, hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe, wameona wajaribu kutumia majukwaa ya kidini ili ku-push DP-WORLD.
Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha. Hii ni kwa sababu Mkuu wa Sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.
TEC inao uwezo wa kuongea na dunia na ikaeleweka.
View attachment 2723168View attachment 2723169
Hayo hayatuhusu tunachojua ni CCM na CHADEMAUtakuwa ni poyoyo kama huelewi kuwa tuna vyama vya siasa 22 vilivyosajiliwa Tanzania.
Bola upigajiUwekezaji ambao unaupigaji haukubaliki.
Tena na huyo kiongozi wa bunge naye amesomewa waraka kanisani na picha hiyo hapo!Kwenye Waraka vimetajwa Bunge, Mahakama na serikali. Bunge linaongozwa na Mkatoliki Baraza TEC imelishukia Bunge kwamba limewatelekeza Wananchi, huo udini unaozungumzwa ni upi?
kuweka mbolea nakumpa elimu zaidi kuhusu kilimoUkimpa mtoto wako shamba alilime kisha likawa halitoi mavuno unayoyataka, suluhisho lake ni kuliuza?
Waraka gani unasomwa kwenye makanisa tu baada ya misa ? huu ni udini , wala hauna kupepesa machoNaam!
Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza. Leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.
Waraka wa Baraza la Maaskofu (Roman Catholic) kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika, ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini. Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili...
Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais Mstaafu Awamu ya Nne kutokea huko Rorya-Mara. Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini," akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Kiujumla, hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe, wameona wajaribu kutumia majukwaa ya kidini ili ku-push DP-WORLD.
Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha. Hii ni kwa sababu Mkuu wa Sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.
TEC inao uwezo wa kuongea na dunia na ikaeleweka.
View attachment 2723168View attachment 2723169
Serikali ikiwa dhaifu kwenye dini imekwishaTena na huyo kiongozi wa bunge naye amesomewa waraka kanisani na picha hiyo hapo!View attachment 2723626