Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 40,962
- 119,422
Huyu mzee anataka nini kingine ?
Tatizo lake hatosheki! Na haridhiki. Sijui ni kiumbe wa aina gani huyu.
Huyu mzee anataka nini kingine ?
Mkataba upi?Sisi tunazungumzia mkataba, hizo mada nyingine ni kutaka tu kukwepa hoja
Ni baba yako mwenyewe, usitujumuishe na sisiMnakosea jamani mbona mnakuwa na akili ndogo kiasi hicho. Alichomaanisha Dkt Kikwete ni kuwa madhabahuni siyo sehemu ya kuhubiria siasa na hili limejitokeza madhehebu yote siyo wakristo tu bali hata waislamu. Dkt Kikwete ni baba yetu tuwe na staha na heshima jamani. Atakeyebisha nitamlamba dislike 👎
Anataka tufukue makaburiPengo alivyotuambia kwamba yeye ni chaguo la Mungu mbona hakusema ni udini?
Wamejipanga wote kuongea leo.Pilot ameamua kutoka hadharani
wa kuuziana shamba KiluvyaMkataba upi?
Wewe ni Chawa?Mnakosea jamani mbona mnakuwa na akili ndogo kiasi hicho. Alichomaanisha Dkt Kikwete ni kuwa madhabahuni siyo sehemu ya kuhubiria siasa na hili limejitokeza madhehebu yote siyo wakristo tu bali hata waislamu. Dkt Kikwete ni baba yetu tuwe na staha na heshima jamani. Atakeyebisha nitamlamba dislike 👎
Yule mzee ni mhuni inahitaji akili kumwelewa, hapo mtu anasogezewa kete ale hata 4 hivi alafu yeye aje kuizingusha Kete moja hadi kingi na mchezo kuishia hapo, huyu ni kijana mtiifu kweli kweli anajua kula kete vizuri huku anachekaNaam!
Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza.leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.
Waraka wa baraza la maaskofu(Roman catholic)kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika.
Ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini.
Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili....
.....Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais mstaafu awamu ya nne kutokea huko Rorya-Mara.
Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini" akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Kiujumla hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe,wameona wajaribu kutumia platforms za kidini ili ku-push DP-WORLD.
Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha.
Hii ni kwa sababu mkuu wa sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.
TEC inao uwezo wa kuongea na Dunia na ikaeleweka.View attachment 2723168View attachment 2723169
Naam!

TEC washikilie hapo hapo hadi tujue ni nini kilichopo nyuma ya mkataba huu. Watatoka wote pangoni.Nimeanza kuamini.Kazi ipo leo.
Yeye mwaka 2010 alimtumia Prof. Lipumba na misikiti kuendesha siasa.
Na Prof alikiri mwenyewe.
Leo kaenda kanisani, huko, ndiko kafanya siasa.
Alipotaka kushinda uchaguzi alitumia dini. Hii haikuwa shida.
Leo Dili lake linaonekana gumu, anasema viongozi wa dini wanyamaze.
Hili ni lake, shida niliwaambia tangu mwanzo, injinia halisi wa hili limkataba ni huyu.
Kuna style timu yake ya mkakati ilitumia, aonekane hayumo, tena wakaenda mbali zaidi kum set ili aonekane anapinga mkataba huu.
Sasa kamba imekazwa asipotarajia.
Ametoka nyuma kwenye kupiga kinanda, amekuja kuhutubia kabisa mbele.
Mzee Kinana yeye alipewa jukumu la kushughulikia Ngorongoro.TEC washikilie hapo hapo hadi tujue ni nini kilichopo nyuma ya mkataba huu. Watatoka wote pangoni.
Umetolewa na taasisi ya dini ni lazima ukae kidini.Tatizo waraka umekaa ki~udini udini
TEC hawawezi kutoka hadharani na kupinga bila sababu za msingi, mkataba huu una mipango mingi ovu.Wanaoumia ni wale walikuwa na maslahi makubwa na bandari
Waraka haujakaa KIUDINI Tatizo ni WARAKA KUTOKUUNGA MKONO MKATABATatizo waraka umekaa ki~udini udini
Ndiyo mimi ni Chawa wa Mama, mwenyekiti wetu taifa wa CCM kwani unasemaje mdau?Wewe ni Chawa?
Ni baba wa wote! Utake usitake ndiye Baba yetu kisiasaNi baba yako mwenyewe, usitujumuishe na sisi
Inawezekana maana si kwa kufura huku leo, mwisho amemalizia kusema "nayasema haya si kwa kuwa ni hawamu bali mimi Rais mstaafu kwahiyo nafahamu"Kikwete ni mpigadili na ndiye dalili mkuu wa DP WORLD
Wewe unauhakika ni chawa?Ndiyo mimi ni Chawa wa Mama, mwenyekiti wetu taifa wa CCM kwani unasemaje mdau?
Raisi ana dini na anapiga kura na kupoigiwa kura. TEC wana dini na wanapiga kura. BAKWATA wana dini na wanapiga kura. SHURA ya Maimam wana dini na wanapiga kura..!! Unatenganishaje siasa na dini wakati wahusika wapo pande zote? KILA ALIYEKO KWENYE SIASA YUPO KWENYE DINI...!!Dini na siasa vinatengana sana tu. Ufalme wa mbinguni ni wa mbinguni na wa duniani ni wa duniani. Maslahi binafsi ndo huunganisha dini na siasa.
Wewe unauhakika ni chawa?