Wazanzibar walitaka nchi yao mkasema wakipewa waarabu watarudi zanzibar na itakua ya kiislam, So tumeona tuwaletee waarabu huko bara














Hata kama mnamchukia kikwete kupita kiasi lakini mtendeeni haki kwa kusema ukweki ndani ya chuki yenu; hivi kweli ameongelea suala la dp-world?!!!!!!!!! Tuwe na aibu basi hata kidogo.Jana nilimsikiliza Kikwete akiongelea udini juu ya wale wanaopinga mkataba ovu wa DPW! Hii ni aibu kwake na kutojitambua! Hakuna kipindi nchi hii ilidharaulika kimataifa kwa umasikini uliokidhiri wa uporaji wa rasilimali za nchi kama kipindi cha Kikwete!
Aliwahi kihojiwa na kituo kimoja cha habari juu ya kwanini Tanzania ni masikini ili hali ina rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi duniani? Angalia alivyojibu "hata mimi sijui!!!" Yaani mkuu wa nchi hajui kwanini wananchi wake ni masikini! Kipindi cha Kikwete hata CCM iliponea chupuchupu kuondolewa madarakani kama pasingekuwepo JPM!
Huyu Kikwete pamoja na kusomeshwa na taasisi za kikatoliki mpaka akawa Rais, lakini fikra za udini bado hazijamtoka! Suala la IGA ya DPW ni masharti maovu ya mkataba ndo watanganyika wanayakataa kupelekea taasisi na asasi za kiraia na kidini kupiga kelele kuondolewa na kufutwa kwa mkataba huo! Yeye Kikwete anasimama katika mimbari na kutishia watanganyika kuwa ni udini!
Ama kweli hii nchi imekosa hata wazee au mzee mmoja ambaye akisimama akaongea watanganyika tunaweza kusema "naaam!!". Namuomba Kikwete aende akapumzike na kucheza na wajukuu kijijini kwake Usoga, maana kama alipokuwa kijana akili zake zilikuwa hazimtoshi sasa na uzee huu anaongea nini? Hapa naongelea watanganyika kwasababu katika uporaji wa rasilimali za Tanzania, wazanzibari walijiondoa.
Kwahio hili suala kimkakati ilikuwa kumpata mzanzibari kumtumia kama Roboti ili auze mali za watanganyika (kwake hazimuhusu) kwasababu akivuruga Tanganyika yeye anarudi zake Zanzibar!
Nchi hii watu wamechoka kuwa wasindiKizJi kikwete amesain mikataba mingi tu ikiwemo ya gesi ,niambie ni upi huo umeshaakuwa na faida kwetu ,asituogopesha apitie hiviMnakosea jamani mbona mnakuwa na akili ndogo kiasi hicho. Alichomaanisha Dkt Kikwete ni kuwa madhabahuni siyo sehemu ya kuhubiria siasa na hili limejitokeza madhehebu yote siyo wakristo tu bali hata waislamu. Dkt Kikwete ni baba yetu tuwe na staha na heshima jamani. Atakeyebisha nitamlamba dislike![]()
Unapolazimisha baba yako awe baba wa wengine!Mnakosea jamani mbona mnakuwa na akili ndogo kiasi hicho. Alichomaanisha Dkt Kikwete ni kuwa madhabahuni siyo sehemu ya kuhubiria siasa na hili limejitokeza madhehebu yote siyo wakristo tu bali hata waislamu. Dkt Kikwete ni baba yetu tuwe na staha na heshima jamani. Atakeyebisha nitamlamba dislike 👎
Ukiacha unafiki, utaheshimika sana!Udini ni hatarii Sanaa mzee kasema ukweli,saivi taifa limekua kama familia iliyopoteza baba then watoto watukutu wakachwa na mama mpole asietaka fujoo. Mama akemee haraka jambo hili kabla halijaleta balaa kubwaa.
Damu ikimwagika itatupeleka kwenye uhasama wa milele na moto utawaka kweli kweli. Yapo mombo ya kufumbia macho lkn so udini! Mungu simama na Taifa langu.
Naona unaongea kinyume. Hawawezi kushinda!Hapa hakuna swala la Udini .. Ni propaganda za kisiasa zinaendeshwa ili kufunga midomo watu.. Na wamekaribia kushinda.. Mana sasa hivi tunajibizana wenyewe kwa wenyewe..
Pole sana, ulichoahidiwa hutakipata tena!Aliuza gesi kwa nani? Shilingi ngapi? Lini?
Hatimae katoka pangolin. Amekwama, ameyumba. Anatumia jukwaa la dini kama mwanasiasa kupinga siasa kwenye diniNaam!
Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza. Leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.
Waraka wa Baraza la Maaskofu (Roman Catholic) kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika, ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini. Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili...
Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais Mstaafu Awamu ya Nne kutokea huko Rorya-Mara. Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini," akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Kiujumla, hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe, wameona wajaribu kutumia majukwaa ya kidini ili ku-push DP-WORLD.
Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha. Hii ni kwa sababu Mkuu wa Sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.
TEC inao uwezo wa kuongea na dunia na ikaeleweka.
View attachment 2723168View attachment 2723169
Katika siku JK ameyakanyaga ni leo. Anatumia mimbari ya Wasabato kuwakabili Wakatoliki halafu anakemea kuchanganya dini na siasa !! Aliyemshauri kamuingiza chaka nene sana.Kikwete angetafuta jukwaa la kisiasa ayaseme hayo ya kuchanganya dini na siasa. Ingeleta maana zaidi.
Kitendo cha kwenda leo kanisani ambapo baadhi wana jambo lao,... kuwashauri wasichanganye dini na siasa wakati yeye kuchanganya siasa na dini hakuanza leo ni unafiki uliopitiliza.
Usiwaite watu ni wajinga kwa vile wameamua kuukataa ubatili wenu,koma kabisa.Nyie watu mnajitia ujinga sana. Eti bomb la nyuklia?
Kama ni mgeni kwa siasa za Tanzania basi karibu Tanzania.
Makubaliano ya Bandari yanaendelea na hakuna kitu mtu anaweza fanya. Mark this post
Kila mtanzania ni mwana CCM hivyo ni baba yako pia kama alivyo baba yangu mimi.Unapolazimisha baba yako awe baba wa wengine!
It is very simple! Issue ni mkataba mbovu sasa udini unatoka wapi. natamani Public figures wangelijitokeza wakamjibu. Ukiona hata Zito amenyamaza as if hakuna kinachoendele, ujue hawa dini inawafanya wajinga!Suala la IGA ya DPW ni masharti maovu ya mkataba ndo watanganyika wanayakataa kupelekea taasisi na asasi za kiraia na kidini kupiga kelele kuondolewa na kufutwa kwa mkataba huo!
Tumia akili acha kutumia makalio kiongozi mkubwa anaowajibu wakutumia uzowefu wake katika kushauri viashiria viovu hivi mikataba mingi mibovu hawa tec walikuwa wapi?kunamikataba mibovu mingi mpaka wa kuyapa makanisa pesa yapo tu viongozi wengi wakanisa katika kubeba pesa kwenye viroba wapo alafu leowanajifanya wanahuruma nasisi?kikubwa hapa hawa tec wanaangalia maslahi yaoNaam!
Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza. Leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.
Waraka wa Baraza la Maaskofu (Roman Catholic) kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika, ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini. Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili...
Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais Mstaafu Awamu ya Nne kutokea huko Rorya-Mara. Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini," akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.
Kiujumla, hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe, wameona wajaribu kutumia majukwaa ya kidini ili ku-push DP-WORLD.
Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha. Hii ni kwa sababu Mkuu wa Sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.
TEC inao uwezo wa kuongea na dunia na ikaeleweka.
View attachment 2723168View attachment 2723169