Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

Naam!

Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza.leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.

Waraka wa baraza la maaskofu(Roman catholic)kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika.
Ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini.
Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili....

.....Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais mstaafu awamu awamu ya nne kutokea huko Rorya-Mara.

Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini" akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.

Kiujumla hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe,wameona wajaribu kutumia platforms za kidini ili ku-push DP-WORLD.

Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha.

Hii ni kwa sababu mkuu wa sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.

TEC inao uwezo wa kuongea na Dunia na ikaeleweka.View attachment 2723168View attachment 2723169
Uwekezaji upo pale pale mpaka walaka mkausome Roma na vatican
 
Tatizo waraka umekaa ki~udini udini
Umekaa kidini dini ndio...maana umetoka kwa watu ambao ni viongozi wa Dini.
Kwa hiyo lazima kuwe na Aya za kibiblia pia
Hata huyu mstaafu anaijua nguvu yao na huwa hakauki huko.
JamiiForums1953878899.jpg
 
Ahaa! Kumbee???
Basi kama ndivyo ilivyo wanadini waache kabisa kuombea taifa na viongozi wao. Na wanasiasa waache kuapa kwa kutumia vitabu vya dini zao!

Siasa ni jamii. Na jamii ni watu. Na watu ndio hao wenye dini na wasio na dini! Nchi ni yetu sote!
Kiimani hapa sio kwenu. Kwenu ni mbinguni kwa baba. Si ndio?
 
Naam!

Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza.leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.

Waraka wa baraza la maaskofu(Roman catholic)kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika.
Ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini.
Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili....

.....Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais mstaafu awamu ya nne kutokea huko Rorya-Mara.

Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini" akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.

Kiujumla hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe,wameona wajaribu kutumia platforms za kidini ili ku-push DP-WORLD.

Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha.

Hii ni kwa sababu mkuu wa sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.

TEC inao uwezo wa kuongea na Dunia na ikaeleweka.View attachment 2723168View attachment 2723169
Safii
 
Sijajua wewe ni wa imani gani?
Kwa imani yangu kwa mujibu wa vitabu vya dini kuna manabii waliowakemea na kuwashauri wafalme waliotenda isivyo sawasawa.

Hata hivyo, ni vigumu kutenganisha dini na siasa! Kwa maana hata viongozi wa kisiasa hutumia baadhi ya maandiko kuwasilisha au kusisitiza jambo fulani.
 
Viongozi wa kisiasa wanafanya hivyo kwa maslahi binafsi ya kisiasa. Nimesema mwanzoni, dini na siasa zinakutana kwenye maslahi.
 
Ahaa! Kumbee???
Basi kama ndivyo ilivyo wanadini waache kabisa kuombea taifa na viongozi wao. Na wanasiasa waache kuapa kwa kutumia vitabu vya dini zao!

Siasa ni jamii. Na jamii ni watu. Na watu ndio hao wenye dini na wasio na dini! Nchi ni yetu sote!
True talk
 
Naam!

Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza.leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.

Waraka wa baraza la maaskofu(Roman catholic)kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika.
Ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini.
Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili....

.....Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais mstaafu awamu ya nne kutokea huko Rorya-Mara.

Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini" akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.

Kiujumla hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe,wameona wajaribu kutumia platforms za kidini ili ku-push DP-WORLD.

Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha.

Hii ni kwa sababu mkuu wa sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.

TEC inao uwezo wa kuongea na Dunia na ikaeleweka

Kwa hiyo siyo TEC inayotumia kanisa katoliki Kisiasa?
. Nafahamu kuwa kuwa kanisa katoliki siyo dini.
 
Naam!

Sinema bado inaendelea kwa kasi huku vioja vikiendelea kujitokeza.leo kuna matukio mawili makubwa yaliyotokea.

Waraka wa baraza la maaskofu(Roman catholic)kupinga mkataba wa ubinafsishaji wa bandari za Tanganyika.
Ambao umesomwa nchi nzima katika kila kanisa na vigango vyake kote nchini.
Jambo hili limewachanganya sana!
Na hivyo kupelekea kuibuka kwa tukio la pili....

.....Tukio la pili ni lile la kuibuka Rais mstaafu awamu ya nne kutokea huko Rorya-Mara.

Yeye anaujibu waraka huo kwa kuigeuza hoja na kuwa "Udini" akiamini yeye kwamba hatuelewi kinachoendelea.

Kiujumla hawa wakuu wanazidi kujiumbua wao wenyewe,wameona wajaribu kutumia platforms za kidini ili ku-push DP-WORLD.

Kesho tunasubiri tumsikie huyo Kinara wa nchi kwenye Jubilei nyingine ya kanisa lingine kutimiza miaka 60 huko Arusha.

Hii ni kwa sababu mkuu wa sterling anajua kabisa nguvu ya TEC.

TEC inao uwezo wa kuongea na Dunia na ikaeleweka.View attachment 2723168View attachment 2723169
Pilot ameamua kutoka hadharani
 
Mnakosea jamani mbona mnakuwa na akili ndogo kiasi hicho. Alichomaanisha Dkt Kikwete ni kuwa madhabahuni siyo sehemu ya kuhubiria siasa na hili limejitokeza madhehebu yote siyo wakristo tu bali hata waislamu. Dkt Kikwete ni baba yetu tuwe na staha na heshima jamani. Atakeyebisha nitamlamba dislike 👎
 
Back
Top Bottom