samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
- Thread starter
- #101
mkuu hizo ni college mbili tofauti kabisa, social science ni college inayojitegemea na pia humanities ni college inayojitegemea. na wadau wengine naomba muelewe hilo. mdau aliyeleta hii thread yuko sahihi kabisa. Tayari wanafunzi wote wameshaondoka katika eneo la chuo na kwa kweli hali ni shwari kabisa, waandishi wa habari mbalimbali wapo hapa wanakusany taarifa mbalimbali
ndugu tutabishana hadi asubuhi hiyo inaitwa college of humanities and social sciences ambayo inaundwa na schools mbili, moja ni school of social sciences na ya pili ni school of humanities naomba kuanzia leo uelewe hivyo. Na principle (mkuu wa college) hiyo ni pror. rubagumya wakati kila school inaongozwa na ma deans wawili. prof. madumula ni dean wa school ya humanitiea wakati prof. mwamfupe ni dean wa school of social sciences. Natumai mpaka hapo utakuwa umenielewa.