Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by samirnasri, Jun 15, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna taarifa kuwa uongozi wa chuo kikuu cha dodoma umewafukuza wale ambao unawaita vinara wa mgomo ambao ulianza juzi chuoni hapo na kuwataka waondoke chuoni hapo kabla ya sa kumi na moja jioni jana. Uongozi wa UDOM mara nyingi umekuwa na roho nyepesi kufanya maamuzi ya kufukuza wanafunzi mapema mara tu unapotokea mgomo lengo likiwa ni kuwafurahisha viongozi wa chama na serikali. Ukweli ni kwamba madai ya wanafunzi ni ya msingi na ndio maana jana waziri wa elimu shukuru kawambwa aliridhia serikali kuwa na mpango wa mpito kuwawezesha wanafunzi hao kufanya mafunzo kwa vitendo. Naushauri uongozi wa udom kuacha tabia ya kufukuza fukuza wanafunzi wakidhani kwamba watamaliza migomo kwa namna hiyo.
   
 2. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna taarifa kuwa uongozi wa chuo kikuu cha dodoma umewafukuza wale ambao unawaita vinara wa mgomo ambao ulianza juzi chuoni hapo na kuwataka waondoke chuoni hapo kabla ya sa kumi na moja jioni jana. Uongozi wa UDOM mara nyingi umekuwa na roho nyepesi kufanya maamuzi ya kufukuza wanafunzi mapema mara tu unapotokea mgomo lengo likiwa ni kuwafurahisha viongozi wa chama na serikali. Ukweli ni kwamba madai ya wanafunzi ni ya msingi na ndio maana jana waziri wa elimu shukuru kawambwa aliridhia serikali kuwa na mpango wa mpito kuwawezesha wanafunzi hao kufanya mafunzo kwa vitendo. Naushauri uongozi wa udom kuacha tabia ya kufukuza fukuza wanafunzi wakidhani kwamba watamaliza migomo kwa namna hiyo.
   
 3. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,115
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  wanafunzi wote wametakiwa waondoke na wasionekane ifikapo saa nane mchana
   
 4. d

  doctore. Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya mgomo wa kudai field na kupelekea wanafunzi wapatao mia kusimamishwa masomo,leo chuo kikuu cha dodoma college ya social sciences imefungwa rasmi till further notice.
   
 5. womanizer

  womanizer Senior Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha ushabiki wa kijinga wewe
   
 6. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma umekifunga chuo cha sayansi za jamii kuanzia leo na kuwataka wanafunzi wote wa college hiyo kuondoka chuoni hapo ndani ya masaa mawili kufuatia mgomo uliodumu kwa siku tatu.
   
 7. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  Masikini vyuo Tanzania...
   
 8. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  VYUO VIMEKUWA VIPOLE MNO......! mtu asomeshwe kwa kukopeshwa, aandamane kwa kualazimisha aongezewe kiwango cha kukopeshwa,alete fujo kwa wale wanoendelea na masomo wasipojiunga na migomo yao.......!
  AENDELEE KUVUMILIWA KISA UDHR (HAKI ZA BINADAMU) JE TUTAFIKA?
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  poleni sana aisee, ndio gharama ya harakati!
   
 10. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mapambano ya haki yana gharama zake. serikali inakomaza people power, waendelee hivyo hivyo. Ngoma ipo 2015.
   
 11. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,813
  Likes Received: 36,903
  Trophy Points: 280
  upo dunia ya wapi wewe?
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mambo ni Mambo, vijana wakomae! UDSM yalitukumba sana!
   
 13. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Nini madai ya msingi yaliyo perekea mgomo
   
 14. M

  Mushihiri Member

  #14
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usitegemee kupata haki ukiwa Tz
   
 15. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Mapambano ya kudai haki huwa yanaambatana na costs nyingi kama kifo,kufungwa jela,kupewa adhabu kali,kutengwa na jamii au kundi fulani la watu; lkn hayo yote huleta ukombozi wa haki kwa faida ya jamii nzima, hivyo nawapongeza vijana wa UDOM kwa mapambano na hakuna haja ya kujutia uamuzi mliochukua ktk kudai haki yenu na kufungwa kwa chuo ni sehemu ya harakati mfu za watawala kutaka kuwanyamazisha wanaodai haki zao!!!
  Jiulize: kuna sababu zipi za msing zinajustify kuwa mgomo ukidum 3days chuo kifungwe?
   
 16. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,651
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  ni foeni ndefu za taxi tu! zinasomba watu!
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  dah.tulisota miezi mitatu home
   
 18. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuwafukuza wanafunzi na kufunga chuo sio suluhisho la matatizo lazima uongozi wa udom ifike mahali watumie busara sio kilg mgomo wao wanakimbilia kufukuza watu na kufunga chuo. Sasa wameshafunga vyuo viwili kile cha informatics na sasa cha social science. Kazi ipo.
   
 19. L

  Luiz JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mabadiliko ya hayaji kwa kubembeleza bali kwa kudai. Unafikiri aliyeanzisha Peoples' power hakuwa na akili? Marekani unayoiona leo ni matokeo ya harakati za akina Malcom, Martin, Douglas na wengineo. Vijana tuamuke turudishe nchi pale Nyerere alipoiachia ili mtoto wa mkulima naye afaidike.
   
 20. emmathy

  emmathy Senior Member

  #20
  Jun 15, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kutokana na hali kua tete, taarifa niliyoipata hiv punde toka mdau wa UDOM, college ya social science na college ya humanities zimefungwa na wanachuo wamepewa masaa manne wawe wameondoka eneo la chuo
   
Loading...