Hatimaye Utetezi wa Kipropaganda umeshaanza kuwa Yanga SC jana ilifungwa na Rivers United FC kwa Kukosa Pre Season nzuri

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kiherehere chenu cha Kujitutumua nanyi kwenda nchini Morocco Kuwaiga Simba SC ili mkae Siku 10 na mkaa Siku 5 tu Kifurushi cha Kisinda kikaisha kilitoka wapi?

Aliyewaambieni mfanye Usajili wa 75% ya Kikosi chenu badala ya 50% ili Timu ibaki na Rythm yake ile ile na muendelee kufanya vyema ni nani?

Mnajua kabisa kuwa Yanga SC hamna Playmaker kama Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima kilichowafanya mumuache na Kumbakiza Babu na Pancha Saido Ntibazonkiza Klabuni ni nini?

Ile Nguvu ya GSM kufanya Tamasha lenu la Siku ya Wananchi mliyowaiga Simba SC mngeitumia Kuiandaa Timu Kiufundi jana mngechezewa Pira Biriani na Pira Sharma lile na Rivers United FC kwa Mkapa?

Si mlitamba na Usajili wa Mpuuzi wenu Haji Manara na mkawa mnamtumia Kuitukana na Kuidhihaki Simba SC? Sasa kwanini jana hamkumchezesha ili Haji Manara asaidie Kuishika Miguu ya akina Fei Toto, Makombo na Yacouba waweze Kuwafungia Magoli?

Siku ya Wananchi Mchezaji wenu Herritier Makambo alipofunga Goli la Kubahatisha si mlitutambia kuwa sasa Yanga SC imempata typical Goal Getter ( Goal Scorer ) sasa jana alishindwa nini Kufunga ili aendelee Kuwajazeni Ujinga wake na Kutoa Ulimi wake nje kama Chatu aliyeshiba Mzoga?

Mlikuja na Kauli mbiu yenu kuwa UREJEO WA MABINGWA ( THE RETURN OF CHAMPIONS ) na Kutamba kuwa nyie ndiyo Mabingwa hasa je, baada ya Kipigo tukisema UREJEO WA WENDAWAZIMU WA WENDAWAZIMU WA JANGWANI tutakuwa tunakosea?

Sasa hivi mnapeana Moyo na Imani Kipumbavu kabisa kuwa eti mnaenda Kupindua Matokeo Kwao Port Harcourt nchini Nigeria huku mkiwa ama hamjui au mmesahau kuwa Wachezaji wao Waandamizi, Hatari tena wa Kikosi cha Kwanza kama 6 mliwafanyia Fitna za UVIKO-19 na jana hawakucheza ila mtakutana nao tena wakiwa na Hasira nanyi huko Machinjioni Kwao mnakoelekea.

Na tarehe 25 Septemba mtachinjana!!!
 
Viongozi wao huenda wanafanya makusudi. Ile kutembeza bakuri huenda walikuwa wanapiga mpunga mwingi sana usiorekodiwa. Hivyo sasa watakuwa wanafanya makusudi ili GSM ajitoe kisha watangaze tim kufulia halafu bakuri lirudi tena kwa walipa kodi wa utopolo na hela ziendlee kupigwa.

Wisdom inauaga jamani
 
Hakuna timu pale,kila mchezaji anacheza anavyojiskia..Hiyo pre season walikatazwa kufanya?

Caf champions sio mashindano ya kuvizia,lazima msugue miaka si chini ya 3 ndio uje upate timu shindani..

Uchezaji wa Yanga na Azam hakuna tofauti

Ile defence ya Yanga ni bure kabisa kona inapigwa wanapasiana maadui hakuna wa kuwakaba kapiga mpira peke yake kwenye kona ni man to man hakuna formation pale narudia mabeki hakuna pale lile goli si la kufungwa hata kudogo kwanini maadui wabaku peke yao?
 
We kolokundu naona Kila DK upo thread humu ya yanga bila yanga humu makolokundu wote humu hamna cha kuandika
 
Kiherehere chenu cha Kujitutumua nanyi kwenda nchini Morocco Kuwaiga Simba SC ili mkae Siku 10 na mkaa Siku 5 tu Kifurushi cha Kisinda kikaisha kilitoka wapi?

Aliyewaambieni mfanye Usajili wa 75% ya Kikosi chenu badala ya 50% ili Timu ibaki na Rythm yake ile ile na muendelee kufanya vyema ni nani?

Mnajua kabisa kuwa Yanga SC hamna Playmaker kama Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima kilichowafanya mumuache na Kumbakiza Babu na Pancha Saido Ntibazonkiza Klabuni ni nini?

Ile Nguvu ya GSM kufanya Tamasha lenu la Siku ya Wananchi mliyowaiga Simba SC mngeitumia Kuiandaa Timu Kiufundi jana mngechezewa Pira Biriani na Pira Sharma lile na Rivers United FC kwa Mkapa?

Si mlitamba na Usajili wa Mpuuzi wenu Haji Manara na mkawa mnamtumia Kuitukana na Kuidhihaki Simba SC? Sasa kwanini jana hamkumchezesha ili Haji Manara asaidie Kuishika Miguu ya akina Fei Toto, Makombo na Yacouba waweze Kuwafungia Magoli?

Siku ya Wananchi Mchezaji wenu Herritier Makambo alipofunga Goli la Kubahatisha si mlitutambia kuwa sasa Yanga SC imempata typical Goal Getter ( Goal Scorer ) sasa jana alishindwa nini Kufunga ili aendelee Kuwajazeni Ujinga wake na Kutoa Ulimi wake nje kama Chatu aliyeshiba Mzoga?

Mlikuja na Kauli mbiu yenu kuwa UREJEO WA MABINGWA ( THE RETURN OF CHAMPIONS ) na Kutamba kuwa nyie ndiyo Mabingwa hasa je, baada ya Kipigo tukisema UREJEO WA WENDAWAZIMU WA WENDAWAZIMU WA JANGWANI tutakuwa tunakosea?

Sasa hivi mnapeana Moyo na Imani Kipumbavu kabisa kuwa eti mnaenda Kupindua Matokeo Kwao Port Harcourt nchini Nigeria huku mkiwa ama hamjui au mmesahau kuwa Wachezaji wao Waandamizi, Hatari tena wa Kikosi cha Kwanza kama 6 mliwafanyia Fitna za UVIKO-19 na jana hawakucheza ila mtakutana nao tena wakiwa na Hasira nanyi huko Machinjioni Kwao mnakoelekea.

Na tarehe 25 Septemba mtachinjana!!!
Wewe huna facts walioanza mpango wa kwenda morroco ni yanga sio simba simba ndio waliowafata yanga

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Simba pia mwaka huu ni shida, mechi tatu za pre-season sare tupu, hata na Coastal? Ligi ikianza Simba watalimia meno!
 
Azam mechi zao za Pre-Season wamefungwa kabisa.
Ulizia wamefanya nini
kimataifa.

Biashara United hata hawakuwa na majalibio ya Pre-Seazon.
Ulizia pia walichokifanya kimataifa.

Tatizo lenu Yanga mnajipandisha viwango wakati ni timu ya kawaida tu.

Subirini kuifunga Simba kama wanavyoifunga Prison na Ruvu Shooting.
Ndio level yenu hiyo.
 
Back
Top Bottom