Ni nani aliyewaambia jwaneng galaxy Fc kuwa Simba sc ilifungwa magoli 5 kwa 1 !? Kweli hii nchi haina Siri kabisa.

Aliyemwambia hizo habari kasahau kumwambia toka hayo matoķeo, Simba hajakutana tena na Yanga, sanasana Yanga waliikimbia Simba kule Zanzibar baada ya kunusa hatari.

Huyu jamaa kashaingia kwenye mfumo.....
 
Kocha wa Jwaneng galaxy Fc amesema kuwa "Simba sc Kama wanataka kulipa kisasi basi wangelipa zile goli 5 walizofungwa na Yanga Sc"

Maoni Yangu: kwa muonekano huu inaonekana Jwaneng galaxy Fc wanataka hii mechi tahadhari kwa Mo dewji Fc.

Link hii hapa ya interview.


View: https://twitter.com/ndembo255/status/1763565383934427635?t=MfdKxScgj3Em1sJT2S9S4Q&s=09.

Nilikuwa sijacheka leo kutwa nzima, nimecheka sana. Lols

Hii Nchi hatujui kutunza siri, Jwaneng wameshajua wanacheza na vibonde wa Yanga! Dah
 
Daah Yanga tutunzieni siri sisi makolo tusiaibike.

Ni kweli mlitupiga kono la nyani hatukatai lakini ndo nini kutangaziana aibu mpaka kwa wageni?

Kuweni wazalendo hata kidogo.
 
Iwe Siri kwani hiyo Mechi ilichezewa chumbani? Mbona statistics ziko Mitandaoni?
 
Kumbe hata hakuongea vibaya Bali mashabiki WA Yanga ambao hawana elimu waliweka tafsiri Yao.😔
 
Back
Top Bottom