Ndio mana nakupenda dady,... Uhakikishe unakapa jina la kizungu kama ya sisi mabinti zako eeh.... Mie na mkweo twalisubiri kwa hamu hapa lolNgoja nipekue kwenye kamusi yangu ya majina, halafu nitakuja na nomino ya kukapa haka kajukuu kangu....
Na mie nataka mtoto.
Sio unaleta porojo hapa.
Nakupa miezi hii..3, tumbo langu litune hili.
Unamuona mndele sweetlady!
Jipange.
We ni mume gani?
Wakezo wote 4 hakuna hata mmoja mwenye kula embe mbichi au kumung'unya udongo.
Mzazi sijawashiwa jiko la mkaa mpaka sahizi dia, hebu Madame B fanya huo mpango manake nishaanza kutetemeka kwa baridi
Namshukuru sana Mungu kwa wema wake leo hii tarehe 07/03/2013 amenipatia mtoto wa kiume. Nawashukuru wote mlioniombea maana amejifungua salama