Hatimaye nipo huru

bless saana aise.
ndo nmemaliza kuparangana na hi uzi since day juzi yani..

hakika mnastahili pongez na ingebid hata malipo bablai.
 
Weee uniunganishe ili nifanyaje
 
Hongera sana Mwandishi hakika una kipaji cha kipekeee!! Kwenye rafudhi ya kipwani na ya kimangaribi umeelezea mulemuleeeeee!!! leadermoe
 
Masikini...... kwahio ilishindikana kuzirudisha Hizo nguvu au kwakua ulikua ushazama kwa Behat so hukutaka kumchezea????

Ila Hongera sana mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…