Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,591
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..