Hatimaye nimewasili nchini Pakistan

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
7,328
6,591
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
 
Mkuu kwa hiyo ndiyo ulivyosimuliwa kuwa Pakistan ni waarabu??
 
Masaa kadhaa yaliyopita nimewasili hapa Pakistan,asikwambie mtu hakuna maendeleo,barabara mbovu, mazingira machafu ,Kuna mama ntilie wa kiarabu Kila Kona, mazingira ya migahawa machafu,Hawa waarabu wanaishi Bongo, huku kwao Ni maskini vibaya mno, tayari nimekutana na mwenyeji wangu,taarifa na picha zaidi zinakuja..
Hizo nchi coco sana...hata ukienda Nepal Bangladesh...ni wale wale nchi duni sana
 
mleta mada hongera kwa kufika pakistan.

mimi nina ndoto za kuwa adventurer na moja ya malengo yangu ni kutembelea mataifa ambayo si rafiki kiusalama kama syria, north korea, somalia, afghanistan, yemen, libya, central african republic nk.
 
Back
Top Bottom