Hatimaye nimefanikiwa kuacha punyeto

Hatimaye nimefanikiwa kuacha punyeto

Coke Zero

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
1,024
Reaction score
544
Hii ni wiki yaa pili sasa tangu nimeacha huu mchezo wa CHAPUTA ingawa sio kazi lahisi sana lakini ninajikaza sana,ninafanya mazoezi,ninakuwa busy,pia nimeacha kabisa kumuangalia Mia khalifa, Cherokee Nina Rotti nk...najua members wa CHAPUTA mnawajua hao ni wasanii wakubwa sana katika tasnia yetu.
Bye bye CHAPUTA.

Update.
Hatimaye nimemaliza mwezi mmoja l bila nyeto japokuwa sio kazi rahisi.
Asanteni wote kwa ushauri wenu.
 
Hujaacha ww...wiki mbili unajiona umeacha...nilishawah kuacha mwezi mzima na nkarudia....ila saiz nina miez 8 hata sifikirii Ku PUCHU......Najiona nimeacha sasa
Tuendelee kuombeana kwa mungu baba
 
Back
Top Bottom