Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,589
- 17,736
Sijui lini Hawa wajumbe WATAKUJA KUELEWA hili...Hapa kila siku nawaambia kuoa ni kujitafutia kifo chako kwa haraka sana
#YNWA
Sijui lini Hawa wajumbe WATAKUJA KUELEWA hili...Hapa kila siku nawaambia kuoa ni kujitafutia kifo chako kwa haraka sana
Ipo siku watanielewa tu....Mpaka dakika ya 90
Liverpool VPN kafunga goli 3 waoaji bila.
Naona Liverpool VPN anaupiga mwingi kwenye lango la waoaji.
Arudi kwa mkewe.Arudi kwa mbunye iliyosuguliwa na kumwagiwa mananii na mwanaume mwengine..!!!
#YNWA
Hata wa kwako anasuguliwaArudi kwa mbunye iliyosuguliwa na kumwagiwa mananii na mwanaume mwengine..!!!
#YNWA
Sina mke Mimi na Wala sina mpango wa kuoa.Hata wa kwako anasuguliwa
AmeenUbarikiwe sana mkuu
Ushauri wa bure mle mtigo huyo mkeo upunguze machungu acha kulia lia mimi demu nikiisi tu anachepuka namla tako hasira zote zinaisha na hata akichepuka mimi roho hata ainiumiAsante Mkuu.
Ila unapochepuka maana yake tayari haumuheshimu mwenza wako.
Mfano huo mchepuko wa mke, shemeji zako, rafiki zako, jirani zako wakijua mkeo anachepuka unadhani utaheshimika? na Vise versa.
Na wanawake wana udhaifu mkubwa wa kutokutunza Siri Kwa wanaolala nao. Huyo mchepuko atakujua nje ndani mpaka udhaifu wako yaani Mambo yako yote ataambiwa.
Ni hatari Sana.
Ni poa tu my dadaMy kaka ni gani?
Aliokwambia hela ni kama Solex kwenye chupi ya mkeo ni nani? Ukitaka usichapiwe tengeneza selo umfungie mkeo asitoke nje mpaka unaporudi toka mihangaikoni

Hii comment ipelekwe Pale ITVAsili ya mwanamke ni heshima na heshima ya mwanaume ni mke!Ukiwa na mke mzinzi au ana tabia za ajabu ht awe mzuri kiasi gani utaonekana wa hovyo!!!
Vipi mkuu? Ulimpa masaburi akayafirimba ndo ukagundua anakibamia?Ndo ukome na kibamia chako kwanza hata nguvu za kiume huna kwanini usisaidiwe!
Tatizo lilianzia hapa.Hapana
Nawasalimu wote.
Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu.
Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila niliheshimu ndoa kinyama.
Daaah aiseee, Jamaa anaetembea nae nimemfahamu nae pia Kaoa, Sasa hapa nawaza sijui nikalale na mke wake halafu nifanye nae ujinga wote halafu nimtumie uchafu niliofanya na mke wake.
Kweli kuna watu hawana Akili Sasa unachepuka vipi na mke au mume wa MTU halafu na wewe ni mwanandoa? Halafu ukisikia mwenzako anachepuka unalalamika wakati wewe umelala au kulalwa na Mtu ambae analala au kulalwa na mwingine???
Hili Jambo limebadilisha kabisa mtazamo wangu Kwa wanawake na kitu inaitwa ndoa.
Mnaotaka kuoa hebu tafakarini mara mbili mbili Kwanza, Kama hamuwezi vumilia zinaa na mna roho ngumu oeni. Ila Kwa wale wanaoweza vumilia zinaa na hawana sababu za msingi za kuoa msijaribu hata Kidogo, narudia tena msijaribu.
Asilimia kubwa ya wanawake wanataka kuolewa ili kupata Ile heshima na title kwamba ni mke wa Mtu Ila deep down hawaelewi nini maana ya ndoa na ni nini Wana sacrifice wanapoingia katika ndoa.
Ila maamuzi niliyochukua ni kutengana na wife ninayempenda Ila ndio hivyo mapenzi hayalazimishwi pia umri wangu bado ni rika la 20's hivyo still bado takuwa na Mambo mengi ya kufanya.
Wife nishamsamehe na huyo jamaa waliefanyana nae shamsamehe nimemwachia Mungu sababu Kisasi ni cha Mungu na hata Yule mke wake nitamwonea tu.
Kuna Muda nasema Sasa wanawake watanikoma ni chapa ilale ha ha ha, daaah Ila deep down naona tawaonea tu kwa makosa ya Mtu mwingine.
Wenye ndoa ambazo hazina wachepukaji mshukuruni Sana Mungu Siku zote bila Kuchoka sababu msiba usikie tu Kwa jirani yako.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya Ila naamini ni mwanzo mpya wenye nguvu na mwanga zaidi.
Mfurahie sikukuu hii ya Christmas.
Tena baada ya miaka mitano.. amefaidi ndoa kwa msimu mzima wa uchaguzi.Kwanini unamlaumu mwanaume usimlaumu mkeo?
Kama umemsamehe na bado umekuja kuandika hapa tayar tatizo lipo tena kubwa. Poleni sana wewe na mkeo.
Halafu wewe buanaunawashauri wenzio wasithubutu kuoa wakati wewe ulioa , mkeo anachepuka, mkatengana, ukamsamehe na bado umemsamehe
Nimewaza mengi ila mengine wacha ninyamaze nayo tuu ila polee mdogo wangu