Hatimaye na Mimi yamenikuta

Hatimaye na Mimi yamenikuta

Nawasalimu wote.
Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu.
Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila niliheshimu ndoa kinyama.

Daaah aiseee, Jamaa anaetembea nae nimemfahamu nae pia Kaoa, Sasa hapa nawaza sijui nikalale na mke wake halafu nifanye nae ujinga wote halafu nimtumie uchafu niliofanya na mke wake.

Kweli kuna watu hawana Akili Sasa unachepuka vipi na mke au mume wa MTU halafu na wewe ni mwanandoa? Halafu ukisikia mwenzako anachepuka unalalamika wakati wewe umelala au kulalwa na Mtu ambae analala au kulalwa na mwingine???

Hili Jambo limebadilisha kabisa mtazamo wangu Kwa wanawake na kitu inaitwa ndoa.

Mnaotaka kuoa hebu tafakarini mara mbili mbili Kwanza, Kama hamuwezi vumilia zinaa na mna roho ngumu oeni. Ila Kwa wale wanaoweza vumilia zinaa na hawana sababu za msingi za kuoa msijaribu hata Kidogo, narudia tena msijaribu.

Asilimia kubwa ya wanawake wanataka kuolewa ili kupata Ile heshima na title kwamba ni mke wa Mtu Ila deep down hawaelewi nini maana ya ndoa na ni nini Wana sacrifice wanapoingia katika ndoa.

Ila maamuzi niliyochukua ni kutengana na wife ninayempenda Ila ndio hivyo mapenzi hayalazimishwi pia umri wangu bado ni rika la 20's hivyo still bado takuwa na Mambo mengi ya kufanya.

Wife nishamsamehe na huyo jamaa waliefanyana nae shamsamehe nimemwachia Mungu sababu Kisasi ni cha Mungu na hata Yule mke wake nitamwonea tu.

Kuna Muda nasema Sasa wanawake watanikoma ni chapa ilale ha ha ha, daaah Ila deep down naona tawaonea tu kwa makosa ya Mtu mwingine.

Wenye ndoa ambazo hazina wachepukaji mshukuruni Sana Mungu Siku zote bila Kuchoka sababu msiba usikie tu Kwa jirani yako.

Huu mwaka nimeumaliza vibaya Ila naamini ni mwanzo mpya wenye nguvu na mwanga zaidi.

Mfurahie sikukuu hii ya Christmas.
Mshukuru Mungu umeujua uhalisia wa huyo mkeo. Hilo tu latosha.
 
Pole sana mkuuu, vumilia hiyo kitu ipo kwenye zaidi ya 95% ya ndoa zote.

😎😎😎 Lakini mim huwa najiuliza, kama mwanaume nguvu unazo, uwezo kidogo unao, unaakili timamu, sasa unaachaje kuchepukaaa?, chepuka kwa akili ila muheshimu mke wako.
Asante Mkuu.
Ila unapochepuka maana yake tayari haumuheshimu mwenza wako.

Mfano huo mchepuko wa mke, shemeji zako, rafiki zako, jirani zako wakijua mkeo anachepuka unadhani utaheshimika? na Vise versa.

Na wanawake wana udhaifu mkubwa wa kutokutunza Siri Kwa wanaolala nao. Huyo mchepuko atakujua nje ndani mpaka udhaifu wako yaani Mambo yako yote ataambiwa.

Ni hatari Sana.
 
Hawakawii kuuliza: PICHA IKWAPI?
20211225_155454.jpg
 
Uligunduaje anachepuka?? Kimsingi wanandoa wengi inaaminika wanachepuka wote wake kwa waume isipokuwa tu wanafanya kwa siri ila watu wapembeni wanajua ila hawakwambii na yeye pia hawamwambii. Hivyo ni kuomba tu usijue ukishajua uamue uendelee nae au utafute mwingine.

Nadhani huko majuu ndio maana kina will smith na mkewe wameruhusiana kila mmoja kutoka na mtu mwingine anaemtaka. Ni hulka ya binadamu kupenda kitu kipya na cha tofauti.

Kwa hali ya dunia inapoeleka ya utandawazi huko baadae ndoa zitakuwa chache sana au za mkataba.

Wewe tafuta mwingine maisha yaendelee wako zaidi ya bilioni 3.
 
Mkuu kwanza hongera kwa huo.ujasiri wa kukubali yaishe. Huo ndio uamuzi.sahihi kwanini ujipe tabu tupu ikiwa hana mapenzi kwako.na hakuheshimu. Kumuacha kwa utulivu huo atapata tabu yeye na sio wewe life iendeleee
Nawasalimu wote.
Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu.
Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila niliheshimu ndoa kinyama.

Daaah aiseee, Jamaa anaetembea nae nimemfahamu nae pia Kaoa, Sasa hapa nawaza sijui nikalale na mke wake halafu nifanye nae ujinga wote halafu nimtumie uchafu niliofanya na mke wake.

Kweli kuna watu hawana Akili Sasa unachepuka vipi na mke au mume wa MTU halafu na wewe ni mwanandoa? Halafu ukisikia mwenzako anachepuka unalalamika wakati wewe umelala au kulalwa na Mtu ambae analala au kulalwa na mwingine???

Hili Jambo limebadilisha kabisa mtazamo wangu Kwa wanawake na kitu inaitwa ndoa.

Mnaotaka kuoa hebu tafakarini mara mbili mbili Kwanza, Kama hamuwezi vumilia zinaa na mna roho ngumu oeni. Ila Kwa wale wanaoweza vumilia zinaa na hawana sababu za msingi za kuoa msijaribu hata Kidogo, narudia tena msijaribu.

Asilimia kubwa ya wanawake wanataka kuolewa ili kupata Ile heshima na title kwamba ni mke wa Mtu Ila deep down hawaelewi nini maana ya ndoa na ni nini Wana sacrifice wanapoingia katika ndoa.

Ila maamuzi niliyochukua ni kutengana na wife ninayempenda Ila ndio hivyo mapenzi hayalazimishwi pia umri wangu bado ni rika la 20's hivyo still bado takuwa na Mambo mengi ya kufanya.

Wife nishamsamehe na huyo jamaa waliefanyana nae shamsamehe nimemwachia Mungu sababu Kisasi ni cha Mungu na hata Yule mke wake nitamwonea tu.

Kuna Muda nasema Sasa wanawake watanikoma ni chapa ilale ha ha ha, daaah Ila deep down naona tawaonea tu kwa makosa ya Mtu mwingine.

Wenye ndoa ambazo hazina wachepukaji mshukuruni Sana Mungu Siku zote bila Kuchoka sababu msiba usikie tu Kwa jirani yako.

Huu mwaka nimeumaliza vibaya Ila naamini ni mwanzo mpya wenye nguvu na mwanga zaidi.

Mfurahie sikukuu hii ya Christmas.
 
Mbona hivo mnatukatisha tamaa sisi ambao hatujaoa, sometime muwe mnatupa mambo mazuri yanayopatikana kwenye ndoa na sio story ya kukatishana tamaa,
Mshukuru mtu anayekujulisha kuwa njia hii kuna wanyama hatari maana either utakwenda kwa tahadhari au kutopita kabisa njia hiyo.
 
Usingepeleka hasira mbele kwanza, ungepanga team jamaa afirike na halafu mke anapewa talaka inakuwa imeisha..
Walianza kishetani na wewe ungepeleka kishetani shetani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom