Hatimaye na Mimi yamenikuta

Hatimaye na Mimi yamenikuta

Tafuta hela kijana hakuna haja ya kulilia mapenzi!

Kuchapiwa ? Kuna shida mahali,,,aidha humfikishi huyo mkeo ama huna hela kwa hio humtimizii mahitaji yake ,,, tatizo lipo Kwako !!!

Asilimia kubwa ya wanawake walioko kwenye ndoa wanachepuka kwa sbb zifuatazo;
Kutoridhishwa
Uchumi
Gubu/kutukujali n.k (hii sababu Ni Minor)

Wa kuiweka ndoa yako kwenye mstari ni wewe!
Wacha kulia lia hapa
Nachukia sana kauli ya' tafuta hela' kwan huyo jamaa amesema yeye yupo broke? Halafu aliyekwambia mwanamke anachepuka kwa ajili ya pesa nani? Kumridhisha mwanamke ni neno pana sana , sexual fantasies zinatofautiana mno , unaeza kukomaa na kimkojoza kumbe mwenzio anapenda anal,

Getting a perfect marriage , is a very long shot, hakuna guaranteed results.
 
Kuchapiwa ni siri ya ndani banaa...!!! Utaimwagaje siri ya ndani kirahisi hivi?
Kuna Mwalimu wangu mmoja aliwahi Sema " Ukitaka Jambo liwe Siri basi usilifanye"

Halafu haya Mambo ya mahusiano, ndoa. Mwezi wako anaweza Kuwa anachepuka Ila wanaokuzunguka yaani majirani, baadhi ya marafiki wote wanajua halafu wewe tu ndio hujui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom