Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 6,515
- 19,007
Mimi ctaki mashoga mtafte delicious! Naona mtaridhishana!Kabla ya kukupiga mshedede sio?![]()

Aliekuambia mimishoga nan?Mimi ctaki mashoga mtafte delicious! Naona mtaridhishana!
Nani kasema we ni ch*k*Aliekuambia mimishoga nan?
Wamemla mkewe bila huruma. Vijana wa Amapiano haoMzee wa deep down pole sana
Powa mkuu, samahani lakini. Pombe hizi za xmas mbaya sana.Nani kasema we ni ch*k*
Pombe za Xmas ni Delicious 😂Powa mkuu, samahani lakini. Pombe hizi za xmas mbaya sana.
Kama umemuacha basi ,hongera inatosha.Nawasalimu wote.
Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu.
Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila niliheshimu ndoa kinyama.
Daaah aiseee, Jamaa anaetembea nae nimemfahamu nae pia Kaoa, Sasa hapa nawaza sijui nikalale na mke wake halafu nifanye nae ujinga wote halafu nimtumie uchafu niliofanya na mke wake.
Kweli kuna watu hawana Akili Sasa unachepuka vipi na mke au mume wa MTU halafu na wewe ni mwanandoa? Halafu ukisikia mwenzako anachepuka unalalamika wakati wewe umelala au kulalwa na Mtu ambae analala au kulalwa na mwingine???
Hili Jambo limebadilisha kabisa mtazamo wangu Kwa wanawake na kitu inaitwa ndoa.
Mnaotaka kuoa hebu tafakarini mara mbili mbili Kwanza, Kama hamuwezi vumilia zinaa na mna roho ngumu oeni. Ila Kwa wale wanaoweza vumilia zinaa na hawana sababu za msingi za kuoa msijaribu hata Kidogo, narudia tena msijaribu.
Asilimia kubwa ya wanawake wanataka kuolewa ili kupata Ile heshima na title kwamba ni mke wa Mtu Ila deep down hawaelewi nini maana ya ndoa na ni nini Wana sacrifice wanapoingia katika ndoa.
Ila maamuzi niliyochukua ni kutengana na wife ninayempenda Ila ndio hivyo mapenzi hayalazimishwi pia umri wangu bado ni rika la 20's hivyo still bado takuwa na Mambo mengi ya kufanya.
Wife nishamsamehe na huyo jamaa waliefanyana nae shamsamehe nimemwachia Mungu sababu Kisasi ni cha Mungu na hata Yule mke wake nitamwonea tu.
Kuna Muda nasema Sasa wanawake watanikoma ni chapa ilale ha ha ha, daaah Ila deep down naona tawaonea tu kwa makosa ya Mtu mwingine.
Wenye ndoa ambazo hazina wachepukaji mshukuruni Sana Mungu Siku zote bila Kuchoka sababu msiba usikie tu Kwa jirani yako.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya Ila naamini ni mwanzo mpya wenye nguvu na mwanga zaidi.
Mfurahie sikukuu hii ya Christmas.
Tena baada ya miaka mitano.. amefaidi ndoa kwa msimu mzima wa uchaguzi.
Nawasalimu wote.

We nae acha kulialia aiseh....sa umeniacha kisa kakucheat....we rudiana nae bnNawasalimu wote.

Lovelove nakuja inbox mamaangu tumcheat tenaWe nae acha kulialia aiseh....sa umeniacha kisa kakucheat....we rudiana nae bn
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Dawa ni kummegea mke wake ngoma iwe drooNawasalimu wote.
Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu.
Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila niliheshimu ndoa kinyama.
Daaah aiseee, Jamaa anaetembea nae nimemfahamu nae pia Kaoa, Sasa hapa nawaza sijui nikalale na mke wake halafu nifanye nae ujinga wote halafu nimtumie uchafu niliofanya na mke wake.
Kweli kuna watu hawana Akili Sasa unachepuka vipi na mke au mume wa MTU halafu na wewe ni mwanandoa? Halafu ukisikia mwenzako anachepuka unalalamika wakati wewe umelala au kulalwa na Mtu ambae analala au kulalwa na mwingine???
Hili Jambo limebadilisha kabisa mtazamo wangu Kwa wanawake na kitu inaitwa ndoa.
Mnaotaka kuoa hebu tafakarini mara mbili mbili Kwanza, Kama hamuwezi vumilia zinaa na mna roho ngumu oeni. Ila Kwa wale wanaoweza vumilia zinaa na hawana sababu za msingi za kuoa msijaribu hata Kidogo, narudia tena msijaribu.
Asilimia kubwa ya wanawake wanataka kuolewa ili kupata Ile heshima na title kwamba ni mke wa Mtu Ila deep down hawaelewi nini maana ya ndoa na ni nini Wana sacrifice wanapoingia katika ndoa.
Ila maamuzi niliyochukua ni kutengana na wife ninayempenda Ila ndio hivyo mapenzi hayalazimishwi pia umri wangu bado ni rika la 20's hivyo still bado takuwa na Mambo mengi ya kufanya.
Wife nishamsamehe na huyo jamaa waliefanyana nae shamsamehe nimemwachia Mungu sababu Kisasi ni cha Mungu na hata Yule mke wake nitamwonea tu.
Kuna Muda nasema Sasa wanawake watanikoma ni chapa ilale ha ha ha, daaah Ila deep down naona tawaonea tu kwa makosa ya Mtu mwingine.
Wenye ndoa ambazo hazina wachepukaji mshukuruni Sana Mungu Siku zote bila Kuchoka sababu msiba usikie tu Kwa jirani yako.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya Ila naamini ni mwanzo mpya wenye nguvu na mwanga zaidi.
Mfurahie sikukuu hii ya Christmas.
Usiogope kesi maisha ndo haya usiogope tunamcheat kimya kimya
SawA MkuuUsiogope kesi maisha ndo haya usiogope tunamcheat kimya kimya
Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
Am real sorry kwa kilichokukuta binafsi ndoa yangu ya miaka karibia saba na watoto imeota mbawa na chanzo ni mke kuchepuka na kupanga kuamia kwa hawara,binafsi nilitumia hasira Nina mdhuru ila wewe nakupongeza kwa ujasiri ulio nao.Nawasalimu wote.
Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu.
Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila niliheshimu ndoa kinyama.
Daaah aiseee, Jamaa anaetembea nae nimemfahamu nae pia Kaoa, Sasa hapa nawaza sijui nikalale na mke wake halafu nifanye nae ujinga wote halafu nimtumie uchafu niliofanya na mke wake.
Kweli kuna watu hawana Akili Sasa unachepuka vipi na mke au mume wa MTU halafu na wewe ni mwanandoa? Halafu ukisikia mwenzako anachepuka unalalamika wakati wewe umelala au kulalwa na Mtu ambae analala au kulalwa na mwingine???
Hili Jambo limebadilisha kabisa mtazamo wangu Kwa wanawake na kitu inaitwa ndoa.
Mnaotaka kuoa hebu tafakarini mara mbili mbili Kwanza, Kama hamuwezi vumilia zinaa na mna roho ngumu oeni. Ila Kwa wale wanaoweza vumilia zinaa na hawana sababu za msingi za kuoa msijaribu hata Kidogo, narudia tena msijaribu.
Asilimia kubwa ya wanawake wanataka kuolewa ili kupata Ile heshima na title kwamba ni mke wa Mtu Ila deep down hawaelewi nini maana ya ndoa na ni nini Wana sacrifice wanapoingia katika ndoa.
Ila maamuzi niliyochukua ni kutengana na wife ninayempenda Ila ndio hivyo mapenzi hayalazimishwi pia umri wangu bado ni rika la 20's hivyo still bado takuwa na Mambo mengi ya kufanya.
Wife nishamsamehe na huyo jamaa waliefanyana nae shamsamehe nimemwachia Mungu sababu Kisasi ni cha Mungu na hata Yule mke wake nitamwonea tu.
Kuna Muda nasema Sasa wanawake watanikoma ni chapa ilale ha ha ha, daaah Ila deep down naona tawaonea tu kwa makosa ya Mtu mwingine.
Wenye ndoa ambazo hazina wachepukaji mshukuruni Sana Mungu Siku zote bila Kuchoka sababu msiba usikie tu Kwa jirani yako.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya Ila naamini ni mwanzo mpya wenye nguvu na mwanga zaidi.
Mfurahie sikukuu hii ya Christmas.
nimecheka sana majibu yako kwa jamaa😂@mods kuna mtu wa kupigwa ban hapa
Mkuu sikujui hunijui ila ka umeoa na uko salama mwombe Mungu kesho iwe salama pia...Tafuta hela kijana hakuna haja ya kulilia mapenzi!
Kuchapiwa ? Kuna shida mahali,,,aidha humfikishi huyo mkeo ama huna hela kwa hio humtimizii mahitaji yake ,,, tatizo lipo Kwako !!!
Asilimia kubwa ya wanawake walioko kwenye ndoa wanachepuka kwa sbb zifuatazo;
Kutoridhishwa
Uchumi
Gubu/kutukujali n.k (hii sababu Ni Minor)
Wa kuiweka ndoa yako kwenye mstari ni wewe!
Wacha kulia lia hapa