Hatimaye na Mimi yamenikuta

Hatimaye na Mimi yamenikuta

Kabla hujamuacha mfanyie bonge la drama, kwanza rafuta mtu, mchepuko, lala huko chat nao full time uone anaumia ama?

Lakini vyovyote iwavyo huyo mwanamke achana nae maana hawezi acha huo mchezo hata akikuomba msamaha.

Hata hivyo mmeishi miaka mingi, miaka mitano yote wakati kuna wengine hawajaolewa kabisa? Mwache tu mkuu
 
Pole sana mkuuu, vumilia hiyo kitu ipo kwenye zaidi ya 95% ya ndoa zote.

Lakini mim huwa najiuliza, kama mwanaume nguvu unazo, uwezo kidogo unao, unaakili timamu, sasa unaachaje kuchepukaaa?, chepuka kwa akili ila muheshimu mke wako.
Tatizo vijana wakichepuka wanajisahau,wanaanza dharau kwa aliyeko ndani ...ndomaana na wamama wamechangamka vilivyo kwenye uchepukaji
 
Mkuu wakwangu bd ajazaliwaa ndio mama mkwe wangu anaolewaa January

Hahah...mzee baba unataka kuja kuoa binti unayeweza pia mwita mwanao au yeye anakuita uncle

Ila miaka ya zamani kijijini wazee walikuwa wanaweka booking kabisa, kwamba akizaliwa mtoto wa kike basi atakuwa mke wake, au hata wa mwanaye...
 
Wewe mkeo humsugui vya kutosha ngoja jamaa akunyoshee, mwanamke unampiga mashine kwa huruma sasa ngoja baharia akuoneshe ila nakushauri mtafute mke wa jamaa kula mashine na wewe utulie akija mumewe akigundua atakuheshimu kwasasa hakuna heshima hapo na wataendelea kulana
Hizi ni kauli za hovyo sana...

Yaani kwani kukubali kuwa mwanamke amezingua haitoshi,? ,, hadi mtafute fault kwa mwanaume..
Siku hizi hata ukimfumania demu utasikia ooh ulikuwa humkazi vizuri,, mara humpi hela,, mara hujaishi nae kwa akili na vitu vingi vya hovyo... Instead ya kukubali kuwa Mke wa fulani kazingua...

Mtu akikosea akubali kosa,,, na sio kutafuta visababu vya kuhalalisha ujinga alofanya....

We nae hovyo tu,, hadi siku mkeo aliwe ndio utaelewa kuwa tatizo sio kumsugua vya kutosha..
 
Haya wewe ukioa utakuja kunikumbuka kwa hicho nilichoandika
 
Yaani jambo dogo hilo ndio umekuja kulia lia huku!! Hebu tulia na mkeo huko mjenge familia yenu.
Wajenge familia gani wakati jamaa kashakula kona,huyo mwanamke imekula kwake.
 
Mimi tayari nimeshamwambia yaani siku nikigundua unafanya mautumbo sijui maini nafunga biashara. Sina ubia na biashara kichaa!! Sijali kama tumezaa wala nini napiga chini.

Na asihangaike sirogeki(limbwata)!
This is how it supposed to be..

Unafunga biashara kichaa hakuna kujali kama mna mtoto au laa..mambo yatajisort poa tu kama mume una akili na watoto wakikua watajua mama yao alivyoharibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom