Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,437
- 176,386
Amwache aende wapi sasa? Huyo ndio wake wa daima dumu.
Amwache aende wapi sasa? Huyo ndio wake wa daima dumu.
PoleNdio, nilioa early 20's sahizi nipo late 20's. Sikutaka Mambo mengi Ila ndio hivyo mipango haijaenda nilivyotaka. Nakomaa na Mambo mengine Kwa sasa
Kuna mbuzi Hawa sijui Nani kawamezesha hiyo kauli ya kutafuta pesa ....Mimi naamini haya ni mapunda ya wanawake yanafanya kazi ngumu Kama mabuludoza yakipata hela yanakimbilia kuwapa manamke na mapunda mengine hata denda hayaambulii ...Nachukia sana kauli ya' tafuta hela' kwan huyo jamaa amesema yeye yupo broke? Halafu aliyekwambia mwanamke anachepuka kwa ajili ya pesa nani? Kumridhisha mwanamke ni neno pana sana , sexual fantasies zinatofautiana mno , unaeza kukomaa na kimkojoza kumbe mwenzio anapenda anal,
Getting a perfect marriage , is a very long shot, hakuna guaranteed results.

Acha ukorofi, we nyangoko.Kwa hiyo ndio umejoin leo ili uanzishe huu uzi?
Nyangoko ndio nini?😂Acha ukorofi, we nyangoko.
Yaani jambo dogo hilo ndio umekuja kulia lia huku!! Hebu tulia na mkeo huko mjenge familia yenu.

Ha ha ha ni rahisi Sana. Uamuzi tuUnasema ulitaka na wewe ukachepuke na mke wa huyo mgoni wako?
Unazani inawezekana kirahisi kiivyo?
Labda huyo mwanamke naye awe hajielewi au umkute yuko desperate as a coincidence!
Lakini hata kama akiwa desperate siyo rahisi kukubali kulalwa na Mwanaume yeyote tena bila kupanga na kujiridhisha kiusalama .
My kaka ni gani?
Wewe mkeo humsugui vya kutosha ngoja jamaa akunyoshee, mwanamke unampiga mashine kwa huruma sasa ngoja baharia akuoneshe ila nakushauri mtafute mke wa jamaa kula mashine na wewe utulie akija mumewe akigundua atakuheshimu kwasasa hakuna heshima hapo na wataendelea kulanaNawasalimu wote.
Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu.
Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila niliheshimu ndoa kinyama.
Daaah aiseee, Jamaa anaetembea nae nimemfahamu nae pia Kaoa, Sasa hapa nawaza sijui nikalale na mke wake halafu nifanye nae ujinga wote halafu nimtumie uchafu niliofanya na mke wake.
Kweli kuna watu hawana Akili Sasa unachepuka vipi na mke au mume wa MTU halafu na wewe ni mwanandoa? Halafu ukisikia mwenzako anachepuka unalalamika wakati wewe umelala au kulalwa na Mtu ambae analala au kulalwa na mwingine???
Hili Jambo limebadilisha kabisa mtazamo wangu Kwa wanawake na kitu inaitwa ndoa.
Mnaotaka kuoa hebu tafakarini mara mbili mbili Kwanza, Kama hamuwezi vumilia zinaa na mna roho ngumu oeni. Ila Kwa wale wanaoweza vumilia zinaa na hawana sababu za msingi za kuoa msijaribu hata Kidogo, narudia tena msijaribu.
Asilimia kubwa ya wanawake wanataka kuolewa ili kupata Ile heshima na title kwamba ni mke wa Mtu Ila deep down hawaelewi nini maana ya ndoa na ni nini Wana sacrifice wanapoingia katika ndoa.
Ila maamuzi niliyochukua ni kutengana na wife ninayempenda Ila ndio hivyo mapenzi hayalazimishwi pia umri wangu bado ni rika la 20's hivyo still bado takuwa na Mambo mengi ya kufanya.
Wife nishamsamehe na huyo jamaa waliefanyana nae shamsamehe nimemwachia Mungu sababu Kisasi ni cha Mungu na hata Yule mke wake nitamwonea tu.
Kuna Muda nasema Sasa wanawake watanikoma ni chapa ilale ha ha ha, daaah Ila deep down naona tawaonea tu kwa makosa ya Mtu mwingine.
Wenye ndoa ambazo hazina wachepukaji mshukuruni Sana Mungu Siku zote bila Kuchoka sababu msiba usikie tu Kwa jirani yako.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya Ila naamini ni mwanzo mpya wenye nguvu na mwanga zaidi.
Mfurahie sikukuu hii ya Christmas.
Pole sana,kuna mmoja ananisumbua wiki sasa na tulishachanaga miaka 5 iliopita na kaolewa ,na ana mtoto wa miaka 2.alafu eti anataka atoroke kwa mmeo aje kwangu, wakati alishindwa kunivumilia akaenda kuolewa,leo tena anasema mimi ndio nilikuwa chaguo jema kwake.Nawasalimu wote.
Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu.
Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila niliheshimu ndoa kinyama.
Daaah aiseee, Jamaa anaetembea nae nimemfahamu nae pia Kaoa, Sasa hapa nawaza sijui nikalale na mke wake halafu nifanye nae ujinga wote halafu nimtumie uchafu niliofanya na mke wake.
Kweli kuna watu hawana Akili Sasa unachepuka vipi na mke au mume wa MTU halafu na wewe ni mwanandoa? Halafu ukisikia mwenzako anachepuka unalalamika wakati wewe umelala au kulalwa na Mtu ambae analala au kulalwa na mwingine???
Hili Jambo limebadilisha kabisa mtazamo wangu Kwa wanawake na kitu inaitwa ndoa.
Mnaotaka kuoa hebu tafakarini mara mbili mbili Kwanza, Kama hamuwezi vumilia zinaa na mna roho ngumu oeni. Ila Kwa wale wanaoweza vumilia zinaa na hawana sababu za msingi za kuoa msijaribu hata Kidogo, narudia tena msijaribu.
Asilimia kubwa ya wanawake wanataka kuolewa ili kupata Ile heshima na title kwamba ni mke wa Mtu Ila deep down hawaelewi nini maana ya ndoa na ni nini Wana sacrifice wanapoingia katika ndoa.
Ila maamuzi niliyochukua ni kutengana na wife ninayempenda Ila ndio hivyo mapenzi hayalazimishwi pia umri wangu bado ni rika la 20's hivyo still bado takuwa na Mambo mengi ya kufanya.
Wife nishamsamehe na huyo jamaa waliefanyana nae shamsamehe nimemwachia Mungu sababu Kisasi ni cha Mungu na hata Yule mke wake nitamwonea tu.
Kuna Muda nasema Sasa wanawake watanikoma ni chapa ilale ha ha ha, daaah Ila deep down naona tawaonea tu kwa makosa ya Mtu mwingine.
Wenye ndoa ambazo hazina wachepukaji mshukuruni Sana Mungu Siku zote bila Kuchoka sababu msiba usikie tu Kwa jirani yako.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya Ila naamini ni mwanzo mpya wenye nguvu na mwanga zaidi.
Mfurahie sikukuu hii ya Christmas.
Hapo ni kutumia akili na kuiacha hisia.Pole sana,kuna mmoja ananisumbua wiki sasa na tulishachanaga miaka 5 iliopita na kaolewa ,na ana mtoto wa miaka 2.alafu eti anataka atoroke kwa mmeo aje kwangu, wakati alishindwa kunivumilia akaenda kuolewa,leo tena anasema mimi ndio nilikuwa chaguo jema kwake.
Wewe hapo huelewi nini ? huyu ni mkongwe sasa akija na Id yaze ya sikuzote mtampopoa, kwa kifupi mkongwe mwenzetu kapigwa na kitu kizito. TumwombeeKwa hiyo ndio umejoin leo ili uanzishe huu uzi?
If it was me.Invest what you can afford to loose , kama imefikia hatua ya kumfumania , the best option is to loose someone , mwache aende zake

Asante Mkuu. Achana nae huyoPole sana,kuna mmoja ananisumbua wiki sasa na tulishachanaga miaka 5 iliopita na kaolewa ,na ana mtoto wa miaka 2.alafu eti anataka atoroke kwa mmeo aje kwangu, wakati alishindwa kunivumilia akaenda kuolewa,leo tena anasema mimi ndio nilikuwa chaguo jema kwake.
Sio kweliAmwache aende wapi sasa? Huyo ndio wake wa daima dumu.