Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,355
- 108,481
Hii comment imekaa kinafki 😂 sema muhuni kshapoa haina upaMbe😂
Hahah jamaa kaja kibabe halafu mwishoni kamalizia kipole sana...usifanye mchezo na mke kuliwa kitobo
Hii comment imekaa kinafki 😂 sema muhuni kshapoa haina upaMbe😂
Hahahahah kapigwa na kitu kizito lazma ushindwe na kulegea tu😅Hahah jamaa kaja kibabe halafu mwishoni kamalizia kipole sana...
Kimeumana TenaNawasalimu wote.
Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu.
Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila niliheshimu ndoa kinyama.
Daaah aiseee, Jamaa anaetembea nae nimemfahamu nae pia Kaoa, Sasa hapa nawaza sijui nikalale na mke wake halafu nifanye nae ujinga wote halafu nimtumie uchafu niliofanya na mke wake.
Kweli kuna watu hawana Akili Sasa unachepuka vipi na mke au mume wa MTU halafu na wewe ni mwanandoa? Halafu ukisikia mwenzako anachepuka unalalamika wakati wewe umelala au kulalwa na Mtu ambae analala au kulalwa na mwingine???
Hili Jambo limebadilisha kabisa mtazamo wangu Kwa wanawake na kitu inaitwa ndoa.
Mnaotaka kuoa hebu tafakarini mara mbili mbili Kwanza, Kama hamuwezi vumilia zinaa na mna roho ngumu oeni. Ila Kwa wale wanaoweza vumilia zinaa na hawana sababu za msingi za kuoa msijaribu hata Kidogo, narudia tena msijaribu.
Asilimia kubwa ya wanawake wanataka kuolewa ili kupata Ile heshima na title kwamba ni mke wa Mtu Ila deep down hawaelewi nini maana ya ndoa na ni nini Wana sacrifice wanapoingia katika ndoa.
Ila maamuzi niliyochukua ni kutengana na wife ninayempenda Ila ndio hivyo mapenzi hayalazimishwi pia umri wangu bado ni rika la 20's hivyo still bado takuwa na Mambo mengi ya kufanya.
Wife nishamsamehe na huyo jamaa waliefanyana nae shamsamehe nimemwachia Mungu sababu Kisasi ni cha Mungu na hata Yule mke wake nitamwonea tu.
Kuna Muda nasema Sasa wanawake watanikoma ni chapa ilale ha ha ha, daaah Ila deep down naona tawaonea tu kwa makosa ya Mtu mwingine.
Wenye ndoa ambazo hazina wachepukaji mshukuruni Sana Mungu Siku zote bila Kuchoka sababu msiba usikie tu Kwa jirani yako.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya Ila naamini ni mwanzo mpya wenye nguvu na mwanga zaidi.
Mfurahie sikukuu hii ya Christmas.

Nashukuru Kwa ushauri mzuri.Unaona wife wako kama umemuonea kumpuga kwa uzinzi, hata mimi ninakiri umemuonea.
Ndiyo maana umemuacha kishingo upande huku unajilaumu, roho inakusuta.
Ujue wengi wanaingia kwenye ndoa kwa madhumuni zaidi ya upendo ama ngono pekee.
Manufaa ya ndoa ni pamoja na kusaidiana mambo makubwa na madogo ya kimaisha, kupanuana akili na kushauriana, pamoja na kulindana nk nk.
Sasa mmoja wenu akikengeuka jambo flani mojawapo katika muunganiko wenu, yakupasa kurudi nyuma na kukaa naye chini kurekebisha dosari hiyo.
Mke ama mume haachwi kwa kosa moja, kama niivyo pasingekuwepo na ndoa za watu hadi kuzeeshana sasa!
Tayari hapo ulishauvaa uhakimu, umemuhukumu mwenzako saazingine kwa makosa yale yale unayopenda wewe kuyafanya.
Fikiria mara mbilimbili mrudie mkeo, kwa misukusuko ulompatia bila shaka atajirekebisha.
Nimekuelewa brooMkuu ndoa ni tamu Sana. Ila Uvumilivu, maarifa na busara inatakiwa sababu changamoto ni nyingi. Hapa tunaelimishana na kupeana uzoefu. Na changamoto kubwa ya ndoa nyingi Kwa sasa ni michepuko. Hivyo Kama umeamua kuingia kwenye ndoa changa karata zako vizuri.
Pole sanaNdio Mamaa, Mambo si Mambo
Ha ha ha nimemsamehe MkuuTafuta wahuni wako wa 4,ukimnasa watu wanamfokoa acha kulia Lia Kama mtoto wa kike
Kama huwezi vumilia zinaa oaKwhy tusioe mkuu
My lovely nameUsitutoe kwenye sherehe za kuzaliwa Mesiah
Hakuna mambo mazuri kwenye ndoa,ubahatike tuMbona hivo mnatukatisha tamaa sisi ambao hatujaoa, sometime muwe mnatupa mambo mazuri yanayopatikana kwenye ndoa na sio story ya kukatishana tamaa,
Nawasalimu wote.
Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu.
Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila niliheshimu ndoa kinyama.
Daaah aiseee, Jamaa anaetembea nae nimemfahamu nae pia Kaoa, Sasa hapa nawaza sijui nikalale na mke wake halafu nifanye nae ujinga wote halafu nimtumie uchafu niliofanya na mke wake.
Kweli kuna watu hawana Akili Sasa unachepuka vipi na mke au mume wa MTU halafu na wewe ni mwanandoa? Halafu ukisikia mwenzako anachepuka unalalamika wakati wewe umelala au kulalwa na Mtu ambae analala au kulalwa na mwingine???
Hili Jambo limebadilisha kabisa mtazamo wangu Kwa wanawake na kitu inaitwa ndoa.
Mnaotaka kuoa hebu tafakarini mara mbili mbili Kwanza, Kama hamuwezi vumilia zinaa na mna roho ngumu oeni. Ila Kwa wale wanaoweza vumilia zinaa na hawana sababu za msingi za kuoa msijaribu hata Kidogo, narudia tena msijaribu.
Asilimia kubwa ya wanawake wanataka kuolewa ili kupata Ile heshima na title kwamba ni mke wa Mtu Ila deep down hawaelewi nini maana ya ndoa na ni nini Wana sacrifice wanapoingia katika ndoa.
Ila maamuzi niliyochukua ni kutengana na wife ninayempenda Ila ndio hivyo mapenzi hayalazimishwi pia umri wangu bado ni rika la 20's hivyo still bado takuwa na Mambo mengi ya kufanya.
Wife nishamsamehe na huyo jamaa waliefanyana nae shamsamehe nimemwachia Mungu sababu Kisasi ni cha Mungu na hata Yule mke wake nitamwonea tu.
Kuna Muda nasema Sasa wanawake watanikoma ni chapa ilale ha ha ha, daaah Ila deep down naona tawaonea tu kwa makosa ya Mtu mwingine.
Wenye ndoa ambazo hazina wachepukaji mshukuruni Sana Mungu Siku zote bila Kuchoka sababu msiba usikie tu Kwa jirani yako.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya Ila naamini ni mwanzo mpya wenye nguvu na mwanga zaidi.
Mfurahie sikukuu hii ya Christmas.
Daaaaah, inaumaaHakuna mambo mazuri kwenye ndoa,ubahatike tu
Amwache chap!Yaani jambo dogo hilo ndio umekuja kulia lia huku!! Hebu tulia na mkeo huko mjenge familia yenu.