Hatimaye mwisho wa dunia umefika, usipuuze hii

Hatimaye mwisho wa dunia umefika, usipuuze hii

Mwisho wa dunia wewe unakuhusu nini,wewe endelea kufanya mambo yako

Wadau,
Ukiangalia leo Youtube chanel na mitandao mingi ya kigeni hasa Marekani na Europeans countries wanaonesha kuwa dalili zote za mwisho dunia zimefika, kama vile kupatwa kwa jua au mwezi, vita vuguvugu za N.Korea vs America na UN ,Kimbunga kilichoambatana na mvua kali.

Wana Jamii vip huku kwetu au sis tupo dunia nyingine na hatutaguswa maana hii habari haijatrend sana hapa Africa.

Nibiru, or Planet X as it is also known, is heading towards Earth and will be visible in the skies from September 23, according to conspiracy theorists.

Christians and non-believers alike are convinced that the apocalyptic planet will destroy life on Earth, and the signs are in the Bible.

Another passage from the Bible is doing the rounds, which points to a “star” called Wormwood that falls from the sky.

Revelation 8:10-11 says: "The third angel blew his trumpet, and a great star fell from heaven, blazing like a torch, and it fell on a third of the rivers and on the springs of water. The name of the star is Wormwood.”

End of the world September 23: Nibiru is ‘mentioned in the Bible as Wormwood’

[emoji23] basi jikubali na ujipongeze mkuu coz ur perfect and u know.
Usiwe unabebeshwa mizigo kichwani na habari za wazungu, uwe na akili na wewe sio kukimbia kimbia na habari ambazo wewe mwenyewe huzijui.

Hakuna anayejua mwisho wa Dunia lakini Mtume Mohammad (S.A.W) alisema karibia mwisho wa Dunia kamali (kubet) na riba zitatawala hadi kuhalalishwa, wanawake hawatavaa stallah watakuwa wantembea Uchi, zinaa itakuwa inafanyika wazi wazi etc. Hivyo ni dhairi kuwa Dunia inakaribia ukingoni.

Wakuu poleni na shughuli za hapa na pale kwa siku ya leo. Kwa waislamu wote niwatakie sikukuu njema ya Eid ell-Hajj.

Nijikite kwenye mada iliyonipandisha jukwani kwa siku ya leo ni juu ya uwepo wa habari mbalimbali zinazoendelea kusambaa hususani kwenye mitandao ya kijamii na website mbalimbali zikielezea kuwepo kwa mwisho wa dunia tarehe 23 na 21 mwezi huu 2017.

Pia manabii wakubwa wameelezea tukio hilo litakavyokuwa, mimi binafsi siamini habari hizi coz mwaka 2012 zilizushwa tena habari kama hizi mbali na hapo hakuna anayejua siku wala saa,so nimeamua kuleta habari hii/uzi huu ili tushirikishane na kujadiliana ipo vip hii.[ Mathayo 24:3-34] .

PICHA HIZI HAPA[emoji116][emoji116][emoji116]
ba0230ce93ece1eed9b7180be2597ee3.jpg
f3d6675fb885e23ca56f8a03656d2fd1.jpg
eef92c511162cbd344f16f221bf54ba3.jpg
070dac350e52fb19e01fc72b30a9f5a3.jpg
b8be2f9d04db4d0bbfa7cc47d534ff8b.jpg
0efa846636c027e91e8fa527d225581e.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

Ninapoyasoma Maandiko na kuyaelewa Huwa naogopa sana Parable za Bwana Yesu hasa ile ya MFANO WA MWIZI.
Kama Mtu angejua siku ambayo Mwizi atakuja kumuibia basi angekesha! Ndiyo itakavyokuwa kuja kwa Mwana wa Adam.Saa Msiyo Dhani! Kama ilivyokuwa nyakati za Nuhu
Sasa Bwana! Nilishawahi kuibiwa simu nimelalaaa! Jamaa wakakata wavu wakaloa simu na charger yake!
Mpaka leo nazidi Kuomba Mungu anisaidie Aisee!
Habari za Apocalypse ni Zaidi ya 23rd September 2017.

Et manabii ,hamna nabii mwingne, nabii wa mwisho alikua Muhammad mkamkataa,haya kazi kwenu na hao manabii wenu wa uongo,na Leo ndo 23 tutaona hcho kiama

Et manabii ,hamna nabii mwingne, nabii wa mwisho alikua Muhammad mkamkataa,haya kazi kwenu na hao manabii wenu wa uongo,na Leo ndo 23 tutaona hcho kiama
Muhamad hakuwa nabii, yule alikuwa muhuni tu kama wahuni wengine, na ndio maana utasikia, tumswalie mtume.. toka lini nabii au mtume akawa mtu wa kuombewa?
Wakuu poleni na shughuli za hapa na pale kwa siku ya leo. Kwa waislamu wote niwatakie sikukuu njema ya Eid ell-Hajj.

Nijikite kwenye mada iliyonipandisha jukwani kwa siku ya leo ni juu ya uwepo wa habari mbalimbali zinazoendelea kusambaa hususani kwenye mitandao ya kijamii na website mbalimbali zikielezea kuwepo kwa mwisho wa dunia tarehe 23 na 21 mwezi huu 2017.

Pia manabii wakubwa wameelezea tukio hilo litakavyokuwa, mimi binafsi siamini habari hizi coz mwaka 2012 zilizushwa tena habari kama hizi mbali na hapo hakuna anayejua siku wala saa,so nimeamua kuleta habari hii/uzi huu ili tushirikishane na kujadiliana ipo vip hii.[ Mathayo 24:3-34] .

PICHA HIZI HAPA[emoji116][emoji116][emoji116]
ba0230ce93ece1eed9b7180be2597ee3.jpg
f3d6675fb885e23ca56f8a03656d2fd1.jpg
eef92c511162cbd344f16f221bf54ba3.jpg
070dac350e52fb19e01fc72b30a9f5a3.jpg
b8be2f9d04db4d0bbfa7cc47d534ff8b.jpg
0efa846636c027e91e8fa527d225581e.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakuu poleni na shughuli za hapa na pale kwa siku ya leo. Kwa waislamu wote niwatakie sikukuu njema ya Eid ell-Hajj.

Nijikite kwenye mada iliyonipandisha jukwani kwa siku ya leo ni juu ya uwepo wa habari mbalimbali zinazoendelea kusambaa hususani kwenye mitandao ya kijamii na website mbalimbali zikielezea kuwepo kwa mwisho wa dunia tarehe 23 na 21 mwezi huu 2017.

Pia manabii wakubwa wameelezea tukio hilo litakavyokuwa, mimi binafsi siamini habari hizi coz mwaka 2012 zilizushwa tena habari kama hizi mbali na hapo hakuna anayejua siku wala saa,so nimeamua kuleta habari hii/uzi huu ili tushirikishane na kujadiliana ipo vip hii.[ Mathayo 24:3-34] .

PICHA HIZI HAPA[emoji116][emoji116][emoji116]
ba0230ce93ece1eed9b7180be2597ee3.jpg
f3d6675fb885e23ca56f8a03656d2fd1.jpg
eef92c511162cbd344f16f221bf54ba3.jpg
070dac350e52fb19e01fc72b30a9f5a3.jpg
b8be2f9d04db4d0bbfa7cc47d534ff8b.jpg
0efa846636c027e91e8fa527d225581e.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushafika kuzimu? Au ushafika mbinguni..??

Similar Discussions

Back
Top Bottom