Wakuu poleni na shughuli za hapa na pale kwa siku ya leo. Kwa waislamu wote niwatakie sikukuu njema ya Eid ell-Hajj.
Nijikite kwenye mada iliyonipandisha jukwani kwa siku ya leo ni juu ya uwepo wa habari mbalimbali zinazoendelea kusambaa hususani kwenye mitandao ya kijamii na website mbalimbali zikielezea kuwepo kwa mwisho wa dunia tarehe 23 na 21 mwezi huu 2017.
Pia manabii wakubwa wameelezea tukio hilo litakavyokuwa, mimi binafsi siamini habari hizi coz mwaka 2012 zilizushwa tena habari kama hizi mbali na hapo hakuna anayejua siku wala saa,so nimeamua kuleta habari hii/uzi huu ili tushirikishane na kujadiliana ipo vip hii.[ Mathayo 24:3-34] .
PICHA HIZI HAPA[emoji116][emoji116][emoji116]
Sent using
Jamii Forums mobile app