ok,elewa kwamba mwisho upo....af kingne nimeleta mada hapa tujadili..sio fikra zang,Uislam haujawahi kuamini ujinga huu...mwisho upo ila si tarehe uliotaja wewe mtoa mada.
kabisa mkuu i apreciate....Awazacho binadamu ni upotovu mbele ya Mungu
Mimi nadhani (philosophy yangu) mwisho wa dunia utafika pale bitcoin na ethereum zitakapokuwa zinatumika kununua na kuuza mpaka vijijini. Kwa maana ni pesa ambazo hazishikiki wala haziko controlled na mtu yeyote tutakuwa na mastercard zetu mifukoni, na simu basi.2 Wathesalonike 2 : 3 - Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yo yote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu;
2 Wathesalonike 2 : 4 - yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.
Utabiri wao sio kweli lkn pia sio mbali sana
Wasabato ndo wenye tabia za kutabiri siku za mwisho.....Tabia hiyo ndio mafundisho ya msingi ya kikundi cha Kisabato toka kilipoanzishwa
pamoja mkuu...Bahati yako kwakuwa umeshasema wewe huhusiki na huamini moja kwa moja utabiri huu.
Aliyesena kwamba dunia inakwisha tarehe hizo ni mwehu kama wehu wengine tu wanaovua nguo.
Manabii wa uongo wengi waliotabiri mwisho wa dunia Mungu aliwanyima pumzi na kweli hawajaishuhudia siku waliyotabiri.
Kitabu cha ufunuo kimeweka wazi juu ya mwisho wa dunia na si rahisi kama wanavyotabiri hao wahuni waliopagawa mapepo.
Sawa mkuu...vp dalili za mwanzo zinakuwa vp,haiwezi kuwa Sept 23, siku ya mwisho itakuwa siku ya Ijuma isiyojulikana........ila dalili zw mwazo wa Dunia zinaonekena......Duzidishe Dua
pamoja mkuu...Mimi nadhani (philosophy yangu) mwisho wa dunia utafika pale bitcoin na ethereum zitakapokuwa zinatumika kununua na kuuza mpaka vijijini. Kwa maana ni pesa ambazo hazishikiki wala haziko controlled na mtu yeyote tutakuwa na mastercard zetu mifukoni, na simu basi.
Kama ambavyo iliandikwa "hakutakuwa na kuuza wala kununua bila kuwa na alama..."
Hivyo mwisho wa dunia baado sana, si kwa kizazi hiki
Sent using Jamii Forums mobile app
mwenyewe inanishangaza mkuu....Hizi habari za Nibiru walizileta tangu mwaka jana!
Kwanza walishasema mwaka jana ndo ingekuwa mwisho wa dunia MUNGU akawaonyesha kwamba haingiliwi.
Wanakuja tena na habari za mwezi wa tisa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
umenena mkuu...Ila kwa nini hii habari wameing'ang'ania? Tatizo hawa jamaa wana akili nyingi.
Linaweza kuja kutokea jambo ila sio mwisho wa dunia.
Hata hivyo nyakati za mwisho zinakaribia.
Sent using Jamii Forums mobile app
ok mkuu...Wasabato ndo wenye tabia za kutabiri siku za mwisho.....Tabia hiyo ndio mafundisho ya msingi ya kikundi cha Kisabato toka kilipoanzishwa