- Thread starter
- #101
[emoji23] mamb mubasharaaWazungu bwana!
Hawataki tufatilie habari za Kenya!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] mamb mubasharaaWazungu bwana!
Hawataki tufatilie habari za Kenya!
Na wala kiama hakitakuta mtotoUislam haujawahi kuamini ujinga huu...mwisho upo ila si tarehe uliotaja wewe mtoa mada.
Mkuu nsamehe bure nakuomba, hakika nlikua cjaelewa kumbe.. Nakili kosa kaka, na sasa nmeelewa! Haujapotoka n si mpotoshaji pia, nsamehe nakuomba...elewa maada kisha rudi kutoa maoni yako hapa....ndo maana nakuita Bw:Mawenge[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu kwa maoni...me nimeleta mada jukwan tujadiliane imekaa vp hii coz picha zenyewe ndo wameweka tar 23Na wala kiama hakitakuta mtoto
invest what you are willing to lose
poa mkuu...pamoja sana kwa kulifahamu hiloo,najua ushaielewa fresh sasa.Mkuu nsamehe bure nakuomba, hakika nlikua cjaelewa kumbe.. Nakili kosa kaka, na sasa nmeelewa! Haujapotoka n si mpotoshaji pia, nsamehe nakuomba...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa Mungu miaka buku ni siku moja tuMwisho mwisho yalisema maandiko lakini ni zaidi ya miaka 2000 imeshapita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unamaanisha Mungu YESU si ndio?saa zingine muwe mnaacha ujinga. Mungu mwenyewe alisema hakuna anaejua siku ya mwisho itakuwa lini ila tuu kasema ipo karibu.So acheni ujinga mazee
Maneno kuntu!Yesu alishasema siku hiyo hakuna hata atakae nusa wala kuhisi wala kutabiri, siku hiyo itakuja ghafla.. cha msingi jiandaeni as if as mwsho wa dunia n sec moja ijayo
Usinilishe maneno broh sijasema hivyo btw Yesu SIO Mungu.
Hivi bado mnaendelea na ule upuuzi wa EGW na Miller wa Kutabiri....hamjakoma..??2 Wathesalonike 2 : 3 - Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yo yote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu;
2 Wathesalonike 2 : 4 - yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.
Utabiri wao sio kweli lkn pia sio mbali sana