Hatimaye mwisho wa dunia umefika, usipuuze hii

Mimi nadhani (philosophy yangu) mwisho wa dunia utafika pale bitcoin na ethereum zitakapokuwa zinatumika kununua na kuuza mpaka vijijini. Kwa maana ni pesa ambazo hazishikiki wala haziko controlled na mtu yeyote tutakuwa na mastercard zetu mifukoni, na simu basi.
Kama ambavyo iliandikwa "hakutakuwa na kuuza wala kununua bila kuwa na alama..."
Hivyo mwisho wa dunia baado sana, si kwa kizazi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mpesa, tigo pesa, na wengineo kwa Africa, visa card, master cards na wengineo huko ulaya na America huwajui
 
2015 watu walimtabilia lowasa kufa akiwemo bi kizee wa humu jf sijui akimwona lowasa anawazaga nn??
 
Hakuna mtu anayeijua saa hata siku ya mwisho "Isipokuwa Baba Yangu tu " Hizo theory na manibii ni uwongo cha msingi mrudie Muumba ungali upo Hai....
Kweli, ndo maana jamaa keshasema yeye atatawala miaka 10 tu kwa kufuata matakwa ya katiba, bado ana miaka 8. Huyu mchochezi anasema mwisho ni mwaka huu wakati jamaa bado ana miaka 8 ya kutawala?????
 
c mimi nilietabiri tarehe hiyo mkuu....kuna sources nying za habari ndo wameelezea

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbn hata dini zipo nyingi, source kuwa nyingi hazifanyi habari iwe kweli japo watajitahidi wasitofautiane ili ionekane ni kweli

Mfano dini ya kiislam na kikristo vitu vingi wanafanana, tofauti ni ndg sana
 
asante mkuu kwa maoni...me nimeleta mada jukwan tujadiliane imekaa vp hii coz picha zenyewe ndo wameweka tar 23

Sent using Jamii Forums mobile app

Kaka kuna kitu labda watu hawajakielewa, ni kuwa hiyo tarehe 23 Sept sio mwisho wa Dunia bali kuna tukio kubwa linaweza kutokea Duniani na hii yote inatokana na tafsiri ya kitabu cha ufunuo,
Uf 12: 1
Kisha ishara kubwa ikaonekana mbinguni. Palikuwa hapo mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake! 2 Alikuwa mja mzito, na akapaaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto. 3 Ishara nyingine ikatokea mbinguni: joka kubwa jekundu na lenye pembe kumi na vichwa saba; na kila kichwa kilikuwa na taji. 4 Joka hilo liliburuta kwa mkia wake theluthi moja ya nyota za anga na kuzitupa duniani. Nalo lilisimama mbele ya huyo mama aliyekuwa karibu kujifungua mtoto, tayari kabisa kummeza mtoto, mara tu atakapozaliwa. 5 Kisha mama huyo akajifungua mtoto wa kiume, ambaye atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya chuma

Hebu naomba tuanzie hapa,
Kwa mujibu wa Astrologers ni kuwa kuna ZODIAC SIGNS (nyota) kumi na mbili na miongoni mwa hizo nyota (Zodiac sign) ni Virgo, ambayo wanainasibisha na mwanamke VIRGIN, na inapochorwa angani inakuwa kama mtu mwenye mikono miwili na miguu miwili

Na kwa muda wa miezi nane Sayari ya Jupiter ilikuwa inaonekana kama iko ndani (Mimba) ya Muunganiko wa nyota zinazotengeneza Virgo, na hiyo Sayari ya Jupita itatoka kwenye group la nyota hizo za Virgo siku ya Tarehe 23Sept (baada ya kuwa ndani ya group la nyota hizo kwa miezi Tisa) na itatoka kupitia kwenye hiyo miguu ya Group la nyota zinazotengeneza Virgo (sasa hapo hao wataalamu wa Nyota ndipo wanaposema kuwa Bikira anazaa mtoto)

Lakini pia ili kunathibisha hayo maandiko ya ufunuo 12 ni kuwa, hiyo siku ya tarehe 23 Sept, Mwezi utakuwa exactly kwenye miguu ya hiyo Virgo na Jua litakuwa juu ya Virgo pembeni upande wa kulia, na juu ya hiyo Virgo kutakuwa na Nyota 12, ambazo zitakuwa nyota tisa Zinazoform zodiac sign ya LEO, lakini pia kutakuwa na sayari tatu za Mercury, Mars na Saturn so ukichukua Nyota hizo tisa za LEO na hizo Sayari tatu utapata nyota 12
So hapo ndilo hilo andiko "Litakapo timia" yaani Virgni (Virgo), mimba (Jupita), Mwezi (miguuni), Jua (Begani), nyota 12 (Leo 9+Mercury+Mars+Saturn)
Dalili kubwa ni Bethlehem Star, ni Ile nyota iliyoonwa na Mamajusi 3 waliokuja kuzungumzia habari za uzao wa King kwa Herode, ile nyota huwa inaonekana mara maada ya 2000 yrs na ndio inaonekan kwa sasa (Astrologers+Astronomers) na ukiitrace back kabla ya Yesu ilionekana wakati wa Ibrahim

All in all sio kwamba mwisho wa Dunia umefika, ila Watu wanaopredict wanahisi kuwa kwa sign zinavyoonekana kwa sasa basi kuna posibility ya kitu kikubwa kutoea hiyo 23 Sept 2017

Naomba michango yenu
Pascal Mayalla , Eiyer , Rakims , mshana jr , ISIS , Secret Star
 
Kituko umenikumbusha siku za nyuma kidogo...

1999
Nakumbuka mwaka huu kuliwahi kuwepo na hadithi kama hizi.Ilidaiwa kipindi hicho kuwa kulikuwa na kipande cha sayari ambacho kingeikumba dunia mwana huo mwezi Sept kama sijakosea.Siku husika ilifika na hakuna kilichotokea na maisha yaliendelea....

2000
Huu mwaka ulikuwa maarufu sana kama Y2K.Hili lilidaiwa kuwa ni tukio ambalo lingesababisha vifaa vya kielektroniki kushindwa kuendelea kufanya kazi.Vifaa ambavyo vilidaiwa kushindwa kabisa kufanya kazi ni pamoja na tarakilishi [computer] na vifaa vingine.Hili lilikuwa ni tukio maarufu sana wakati huo,siku ya desemba 31,1999 ilikuwa ni siku ya aina yake na nadhani ni mwaka ambao uliweza kushuhudiwa ukiingia na watu wengi zaidi maana walitaka kushuhudia itakuwaje.Mwaka ulifika na maisha yaliendelea...

Matukio ya namna hii yapo mengi sana kabla na baada ya hayo mawili niliyoyasema hapo juu,lakini je,hii ina maana gani?

Hili ni swali muhimu sana kwenye haya mambo maana ukielewa haswa maana yake ndipo tutaona kama kuna haja ya kukaa chini na tukayajadili au tukayaacha na kufanya mambo mengine yenye faida....

Wengi,kama ilivyo kawaida wanaweza kufikiria kwamba,kwasababu kuna mambo mengi yaliyosemwa hayakutokea kama ilivyosemwa basi hata haya nayo yatakuwa hivyo na hatuna sababu ya kufafikiria hivyo tuyapuuze tu....

Kwanza niseme tu kwamba ni kweli hakuna kitakachotokea,hili nasema kutokana na uzoefu wangu wa kufuatilia matukio haya,lakini hatupaswi kupuuza mambo haya...

Ninasema hivi kwasababu wanaounda hizi hadithi wanakuwa na maana zao maalum japokuwa huwa sio zinazosemwa hadharani,wao wanahitaji attantion ya watu kuelekea siku hiyo ili waweze kukusanya nguvu ya pamoja kiroho na kuwawezesha kukamilisha mpango yao.Bahati mbaya kabisa ni kwamba sijapata muda wa kufuatilia umuhimu wa tarehe hii kwa vyama vya siri ina maanisha nini lakini ninachojua ni kwamba ina maana kubwa sana na nikipata muda nitafuatilia ili nijue haswa wanataka kufanya nini....

Hilo ndilo la muhimu sana kama ilivyokuwa kwa matukio mengine niliyotaja na ambayo sijayataja.Hayo mambo uliyoyataja hapo juu sijui ya sayari gani na zinafanya nini ni mambo kivuli tu na siyo halisi.....

Hiyo elimu uliyoiweka hapo ni elimu iliyoletwa kwa wanadamu miaka zaidi ya 5000 iliyopita na wale malaika waasi pale kwenye mlima Hermon.Pamoja na elimu hiyo waliwafundisha wanadamu elimu nyingi tu za ajabu ajabu,kwa maana hiyo elimu hiyo ya anga unayojaribu kufafanua mambo haya ni ya hao malaika waasi....

Hakuna ukweli wowote ule wa chochote kilichoandikwa kwenye biblia kinachohusiana na tarehe hii isipokuwa tu wameamua kuunganisha mambo haya na mambo ya kwenye biblia ili kujaribu kuwavuruga watu...

Hakuna mwisho wa chochote wala hakuna kitakachotokea.Yesu alisema kuwa hata siku ya unyakuo [rapture] hakuna atakayeijuwa,alifananisha siku hii na kipindi cha Nuhu na Luthu kwa kusema kuwa watu walikuwa wakiendelea na maisha yao na hata siku Nuhu alipoingia kwenye safina na Luthu alipoondoka Sodoma na Gomora hawakujua na waliangamia wote...

Pia,hakuna aijuwaye siku ya kurudi kwake Yesu na hili alionya mapema kabisa.Pia,kwa mujibu wa biblia,mwisho hautakuja kienyeji hivi,kuna mengi sana hayajatokea na hii ni asilimia zaidi ya 90 ya unabii wa kipindi cha mwisho haujatimia kabisa hivyo ni kupoteza muda kudhani hadithi hizi zinahusiana na ukweli wowote wa kwenye biblia....

Achana na hizi hadithi mkuu na endelea na maisha mengine tu au kama unataka kuzifuatilia zifuatilie kwa muktadha niliousema hapo juu....

Huo ndiyo ushauri wangu mkuu....
 
Kaka Eiyer Nimekutag kwa sababu naelewa uwezo na upeo wako kwenye haya mambo, actually sio kama kuyaamini isipokuwa na mimi ni mfukunyuku wa kusoma kila kitu hasa mambo yanayohusu imani, mtoa maada aliiweka maada yake lakini akuielezea, so mimi kwa sababu nilikuwa nimeshaisoma hii habari tangu mwaka 2015 na actaully walipredict kuwa tarehe 23 Sept ya 2017 ndio hasa mambo haya yatatokea,

Asante mkuu
 
Kaka kuna kitu labda watu hawajakielewa, ni kuwa hiyo tarehe 23 Sept sio mwisho wa Dunia bali kuna tukio kubwa linaweza kutokea Duniani na hii yote inatokana na tafsiri ya kitabu cha ufunuo,
Uf 12: 1
Kisha ishara kubwa ikaonekana mbinguni. Palikuwa hapo mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake! 2 Alikuwa mja mzito, na akapaaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto. 3 Ishara nyingine ikatokea mbinguni: joka kubwa jekundu na lenye pembe kumi na vichwa saba; na kila kichwa kilikuwa na taji. 4 Joka hilo liliburuta kwa mkia wake theluthi moja ya nyota za anga na kuzitupa duniani. Nalo lilisimama mbele ya huyo mama aliyekuwa karibu kujifungua mtoto, tayari kabisa kummeza mtoto, mara tu atakapozaliwa. 5 Kisha mama huyo akajifungua mtoto wa kiume, ambaye atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya chuma

Hebu naomba tuanzie hapa,
Kwa mujibu wa Astrologers ni kuwa kuna ZODIAC SIGNS (nyota) kumi na mbili na miongoni mwa hizo nyota (Zodiac sign) ni Virgo, ambayo wanainasibisha na mwanamke VIRGIN, na inapochorwa angani inakuwa kama mtu mwenye mikono miwili na miguu miwili

Na kwa muda wa miezi nane Sayari ya Jupiter ilikuwa inaonekana kama iko ndani (Mimba) ya Muunganiko wa nyota zinazotengeneza Virgo, na hiyo Sayari ya Jupita itatoka kwenye group la nyota hizo za Virgo siku ya Tarehe 23Sept (baada ya kuwa ndani ya group la nyota hizo kwa miezi Tisa) na itatoka kupitia kwenye hiyo miguu ya Group la nyota zinazotengeneza Virgo (sasa hapo hao wataalamu wa Nyota ndipo wanaposema kuwa Bikira anazaa mtoto)

Lakini pia ili kunathibisha hayo maandiko ya ufunuo 12 ni kuwa, hiyo siku ya tarehe 23 Sept, Mwezi utakuwa exactly kwenye miguu ya hiyo Virgo na Jua litakuwa juu ya Virgo pembeni upande wa kulia, na juu ya hiyo Virgo kutakuwa na Nyota 12, ambazo zitakuwa nyota tisa Zinazoform zodiac sign ya LEO, lakini pia kutakuwa na sayari tatu za Mercury, Mars na Saturn so ukichukua Nyota hizo tisa za LEO na hizo Sayari tatu utapata nyota 12
So hapo ndilo hilo andiko "Litakapo timia" yaani Virgni (Virgo), mimba (Jupita), Mwezi (miguuni), Jua (Begani), nyota 12 (Leo 9+Mercury+Mars+Saturn)
Dalili kubwa ni Bethlehem Star, ni Ile nyota iliyoonwa na Mamajusi 3 waliokuja kuzungumzia habari za uzao wa King kwa Herode, ile nyota huwa inaonekana mara maada ya 2000 yrs na ndio inaonekan kwa sasa (Astrologers+Astronomers) na ukiitrace back kabla ya Yesu ilionekana wakati wa Ibrahim

All in all sio kwamba mwisho wa Dunia umefika, ila Watu wanaopredict wanahisi kuwa kwa sign zinavyoonekana kwa sasa basi kuna posibility ya kitu kikubwa kutoea hiyo 23 Sept 2017

Naomba michango yenu
Pascal Mayalla , Eiyer , Rakims , mshana jr , ISIS , Secret Star
shukran kwa maelezo mazuri mkuu...nadhan tukienda hivi tutaelewa muafaka wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kituko umenikumbusha siku za nyuma kidogo...

1999
Nakumbuka mwaka huu kuliwahi kuwepo na hadithi kama hizi.Ilidaiwa kipindi hicho kuwa kulikuwa na kipande cha sayari ambacho kingeikumba dunia mwana huo mwezi Sept kama sijakosea.Siku husika ilifika na hakuna kilichotokea na maisha yaliendelea....

2000
Huu mwaka ulikuwa maarufu sana kama Y2K.Hili lilidaiwa kuwa ni tukio ambalo lingesababisha vifaa vya kielektroniki kushindwa kuendelea kufanya kazi.Vifaa ambavyo vilidaiwa kushindwa kabisa kufanya kazi ni pamoja na tarakilishi [computer] na vifaa vingine.Hili lilikuwa ni tukio maarufu sana wakati huo,siku ya desemba 31,1999 ilikuwa ni siku ya aina yake na nadhani ni mwaka ambao uliweza kushuhudiwa ukiingia na watu wengi zaidi maana walitaka kushuhudia itakuwaje.Mwaka ulifika na maisha yaliendelea...

Matukio ya namna hii yapo mengi sana kabla na baada ya hayo mawili niliyoyasema hapo juu,lakini je,hii ina maana gani?

Hili ni swali muhimu sana kwenye haya mambo maana ukielewa haswa maana yake ndipo tutaona kama kuna haja ya kukaa chini na tukayajadili au tukayaacha na kufanya mambo mengine yenye faida....

Wengi,kama ilivyo kawaida wanaweza kufikiria kwamba,kwasababu kuna mambo mengi yaliyosemwa hayakutokea kama ilivyosemwa basi hata haya nayo yatakuwa hivyo na hatuna sababu ya kufafikiria hivyo tuyapuuze tu....

Kwanza niseme tu kwamba ni kweli hakuna kitakachotokea,hili nasema kutokana na uzoefu wangu wa kufuatilia matukio haya,lakini hatupaswi kupuuza mambo haya...

Ninasema hivi kwasababu wanaounda hizi hadithi wanakuwa na maana zao maalum japokuwa huwa sio zinazosemwa hadharani,wao wanahitaji attantion ya watu kuelekea siku hiyo ili waweze kukusanya nguvu ya pamoja kiroho na kuwawezesha kukamilisha mpango yao.Bahati mbaya kabisa ni kwamba sijapata muda wa kufuatilia umuhimu wa tarehe hii kwa vyama vya siri ina maanisha nini lakini ninachojua ni kwamba ina maana kubwa sana na nikipata muda nitafuatilia ili nijue haswa wanataka kufanya nini....

Hilo ndilo la muhimu sana kama ilivyokuwa kwa matukio mengine niliyotaja na ambayo sijayataja.Hayo mambo uliyoyataja hapo juu sijui ya sayari gani na zinafanya nini ni mambo kivuli tu na siyo halisi.....

Hiyo elimu uliyoiweka hapo ni elimu iliyoletwa kwa wanadamu miaka zaidi ya 5000 iliyopita na wale malaika waasi pale kwenye mlima Hermon.Pamoja na elimu hiyo waliwafundisha wanadamu elimu nyingi tu za ajabu ajabu,kwa maana hiyo elimu hiyo ya anga unayojaribu kufafanua mambo haya ni ya hao malaika waasi....

Hakuna ukweli wowote ule wa chochote kilichoandikwa kwenye biblia kinachohusiana na tarehe hii isipokuwa tu wameamua kuunganisha mambo haya na mambo ya kwenye biblia ili kujaribu kuwavuruga watu...

Hakuna mwisho wa chochote wala hakuna kitakachotokea.Yesu alisema kuwa hata siku ya unyakuo [rapture] hakuna atakayeijuwa,alifananisha siku hii na kipindi cha Nuhu na Luthu kwa kusema kuwa watu walikuwa wakiendelea na maisha yao na hata siku Nuhu alipoingia kwenye safina na Luthu alipoondoka Sodoma na Gomora hawakujua na waliangamia wote...

Pia,hakuna aijuwaye siku ya kurudi kwake Yesu na hili alionya mapema kabisa.Pia,kwa mujibu wa biblia,mwisho hautakuja kienyeji hivi,kuna mengi sana hayajatokea na hii ni asilimia zaidi ya 90 ya unabii wa kipindi cha mwisho haujatimia kabisa hivyo ni kupoteza muda kudhani hadithi hizi zinahusiana na ukweli wowote wa kwenye biblia....

Achana na hizi hadithi mkuu na endelea na maisha mengine tu au kama unataka kuzifuatilia zifuatilie kwa muktadha niliousema hapo juu....

Huo ndiyo ushauri wangu mkuu....
pamoja mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho bado saaana! Utakapoona chukizo la uharibifu limesimama patakatifu.... asomaye na afahamu
Utakapouza au kununua kwa chapa ya mnyama na wakati huo dunia nzima itatumia pesa aina moja.

Badooooo tuleni maishaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom