Hatimaye mwisho wa dunia umefika, usipuuze hii

2 Wathesalonike 2 : 3 - Mtu awaye yote asiwadanganye kwa njia yo yote; maana haiji, usipokuja kwanza ule ukengeufu; akafunuliwa yule mtu wa kuasi, mwana wa uharibifu;

2 Wathesalonike 2 : 4 - yule mpingamizi, ajiinuaye nafsi yake juu ya kila kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hata yeye mwenyewe kuketi katika hekalu la Mungu, akijionyesha nafsi yake kana kwamba yeye ndiye Mungu.

Utabiri wao sio kweli lkn pia sio mbali sana
 
Dunia ipo na ipo sana tu, mabilioni na mabilioni ya miaka ijayo...
Ulitakiwa kusema MWISHO WAKO WA DUNIA UNAKARIBIA!
 
Asante mkuu kwa kutushirikisha...Mathayo 23 :3-34

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu anayeijua saa hata siku ya mwisho "Isipokuwa Baba Yangu tu " Hizo theory na manibii ni uwongo cha msingi mrudie Muumba ungali upo Hai....
 
Dunia ipo na ipo sana tu, mabilioni na mabilioni ya miaka ijayo...
Ulitakiwa kusema MWISHO WAKO WA DUNIA UNAKARIBIA!
mbona unachukulia vitu easy easy mkuu..me nimekutana na habari hii nikaamua kuileta hapa jukwani tuchangie kwa pamoja.Sa unapo nijia juu inaonyesha bado tuna akili za kukariri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uislam haujawahi kuamini ujinga huu...mwisho upo ila si tarehe uliotaja wewe mtoa mada.
Uislamu huamini ujinga mwingine si eti?

Yeye tu ili nipate kumjibu.
Wala sina mushkel na waislam.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom