Bado ana nyuzi nyingi anazopaswa kukumbushwa maana naona anajitoq ufahamu kabisa, anadhani labda tulishasahau.Naona Shetani kisha kugeuka sasa.
Naamini kuwa dini ni kama mtego tu,
Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua.
Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi.
Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha.
Watu wako so brainwashed mpaka wamesahau, kuwa imani sio uhalisia, ni driving force ya ku maximize feelings.
Kwamba mtu anaye amini Kashindwa maisha, lazima maisha yamshinde maana mwili unakuwa derived more by thoughts and feelings.
Toka niache kwenda kanisani, naona sina stress tena, ni najua kuwa nikifeli kuna mahala nimezingua...
- Gunner11
- bora kanisani kwenda maisha maisha yangu sana yangu
- Replies: 267
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
What does religion has to do with the topic at hand?Naona Shetani kisha kugeuka sasa.
Naamini kuwa dini ni kama mtego tu,
Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua.
Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi.
Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha.
Watu wako so brainwashed mpaka wamesahau, kuwa imani sio uhalisia, ni driving force ya ku maximize feelings.
Kwamba mtu anaye amini Kashindwa maisha, lazima maisha yamshinde maana mwili unakuwa derived more by thoughts and feelings.
Toka niache kwenda kanisani, naona sina stress tena, ni najua kuwa nikifeli kuna mahala nimezingua...
- Gunner11
- bora kanisani kwenda maisha maisha yangu sana yangu
- Replies: 267
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Isome tena comment yangu kisha uje na majibu,Kwani wewe ulivyokua kijana mdogo hukuwa na ideal self ya miaka kadhaa mbele?
Si kutegemea, ila nilijua kuwa by that age things would be as they said.
Unapenda sana kujipa credit as if you know everything.
Tulia mkuu usizitingishe sindano, dozi inaingia taratibu taratibuUnapenda sana kujipa credit as if you know everything.
Hii michezo haihitaji hasira kabisa.Hata sina muda na low vibrational bebeings
Wala hakuna haja ya kumkumbusha wala hakuna haja ya kuchangia vitu vya maana kwenye nyuzi za huyu kiumbe,Bado ana nyuzi nyingi anazopaswa kukumbushwa maana naona anajitoq ufahamu kabisa, anadhani labda tulishasahau.
Ukweli mchungu ni kwamba kwa majority ya watu hasa waafrika, the odds will never be in allignment. Tutaishi, tutapambana na mwisho tutakufa katika umaskini😢So on point, the whole experience is inevitable. Kila kitu kitakuja na kufunguka when the odds are in alignment with you
Wewe endelea tu na hicho kingereza chako cha ugoko,utapigika sana na bado,What's does religion has to do with the topic at hand?
You've nothing to offer, wewe kazi yako ni kuishi kwa trend za wanaume.Wala hakuna haja ya kumkumbusha wala hakuna haja ya kuchangia vitu vya maana kwenye nyuzi za huyu kiumbe,
Kwanza hua anaaznisha nyuzi kisha anajikoki kubishana na kila mchangiaji,atabishana na kila comment,anataka watu wacomment anavyo taka yeye tu,leo ataleta uzi kisha kesho atasema hakua serious,alikua anatafuta attention tu,
Huyu kumpa ushauri au kumuelekeza ni sawa na kumpigia Muzi gitaa,ukiegemea alicheze gitaa.
Mbona unaongea as if unanijua?Wewe endelea tu na hicho kingereza chako cha ugoko,utapigika sana na bado,
Mwanzoni nilikwambia jinsi ulivyo na maisha yako yalivyo ukajifanya kubisha,ila yote yametokea kua ni kweli coz kila siku unajiweka wazi humu kupitia nyuzi zako.
Kwa akili zako wewe,huko mbeleni unaenda kukutana na giza zito zaidi ya ulilonalo sasa hivi,jiandae tu,You've nothing to offer, wewe kazi yako ni kuishi kwa trend za wanaume.
Na unacho weza ni ku criticize pekee.
Chiwawa wewe ni kichaa haupo sawa upstairs hilo wala halina ubishi,Mbona unaongea as if unanijua?
Nimekuuliza wewe kuwa what does religion has to do with mid life crisis?
Sasa unaanza kunifatilia mwanaume, je Unanitaka? Unataka nije nikupelekee moto?
Acha drama soma nyuzi na uchangie constructive kama member wenzako wenye akili timamu