Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma



Masho.ga wengi walianza kama wewe.
Sishangai nikasikia Nape anaku.bandua.
 
Last edited by a moderator:
Ndio nakwambia subiri juma3 siasa zako utazipeleka wewe na kizee chako home kwake.

His excellency EDWARD NGOYAI LOWASA,the president ,and the Chief of arms of the URT.
 
Moderators wana ofisi Masaki unategemea nini sasa....

Hebu tuelezeni ukweli wa Tunduma acheni kuomba huruma ya mods....maelezo kayatoa mwenyekiti wenu kwamba mic zimegoma si lazima kuna mafundi mitambo wanafanyia kazi???

Ahadi ilikuwa mkutano ufanyike leo asubuhi mbona kimyaa??
 

Attachments

  • 1445170196776.jpg
    70.9 KB · Views: 333
  • 1445170215477.jpg
    34.2 KB · Views: 314
Wa kwenu ndip mshirikina namba moja.Ukitaka muulize mkewe yule teacher atakupa ya jamaa.
 
Mna hamu ya kuhamia ukawa ila sasa mtaonekanaje na waliowapa ajira ya kuandika mitandaoni
 
sababu nazani ni nyepesi saana na nyembamba za kisitsha mikutano eti "MIC" Mara mitambo. Larkin makada wengine wanapanda jukwani.
 
video zinaonyesha mzee aliingia chooni nyuma ya jukwaa mda ambao mbowe alikuwa anaongea
 
Hapo sasa
Tukianza kuweka maono ya kila mtu hapa si utaacha hata kuhudhuria kampani? Mungu wetu ni Mwema kama yeye kaonyeshwa kweli,angemwita amwambie huyo mgombea atubu.
 
msitufanye maboya uwezo wa helkopter upo ila wa vyombo hakuna kwikwi kwiiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…