kson m
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 6,682
- 3,066
Utaanza wewe na kelele zako juma3 ijayo # Kikazi tu.
Raisi wetu wa JMT ni mh EDWARD NGOYAI LOWASA.
Utaanza wewe na kelele zako juma3 ijayo # Kikazi tu.
Invisible huu ni upendeleo kuendelea kuiacha thread ya kijinga kama hii
Raisi wetu wa JMT ni mh EDWARD NGOYAI LOWASA.
Ocampo four tafadhali sana wanaJF wanasubiri kwa hamu kuona picha ya mainjinia wa Ukawa wakiwa 'site' hapo Tunduma kuhakikisha vipaza na vinasa sauti vinafanya kazi asubuhi ya leo ili mgombea wenu atoe japo salamu tu.
Mr Chin pia tusaidie kupata picha hii kama inawezekana.
Ndio nakwambia subiri juma3 siasa zako utazipeleka wewe na kizee chako home kwake.
Moderators wana ofisi Masaki unategemea nini sasa....
His excellency EDWARD NGOYAI LOWASA,the president ,and the Chief of arms of the URT.
His excellency EDWARD NGOYAI LOWASA,the president ,and the Chief of arms of the URT.
Hilo jina linahitaji Mtu anayeweza kusimama na kuongea kwa ukakamavu
Lowassa ni Lowassa na Mbowe ni Mbowe. Kila mmoja ana taratibu zake.Kwa hiyo microphone aliyotumia Mbowe Lowassa marufuku kuitumia sababu aijakaguliwa?
Tukianza kuweka maono ya kila mtu hapa si utaacha hata kuhudhuria kampani? Mungu wetu ni Mwema kama yeye kaonyeshwa kweli,angemwita amwambie huyo mgombea atubu.Hapo sasa
Mkuu vipi?
Mbona MAGUFULI hajatokea mdahaloni? Any Reason?
msitufanye maboya uwezo wa helkopter upo ila wa vyombo hakuna kwikwi kwiiiiiiiiiYaani Ukawa wanakosa vyombo lakini wanataka nchi? total collapsion, hata hapo walipo wamekosa maduka ama mafundi wa kufanya matengenezo? vipi mic na jukwaa havikuleta shida Leo? Ukiwa wameliwa sana aisee ..walidhani ngoma ya wakubwa inachezwa na watoto, ona sasa.