ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
karibu nusu ya mikutano
Ukawa mgombea hawana...
karibu nusu ya mikutano
Hongera kwa kutia bidii ya kumfuatilia raisi wako ajaeHii ni daydream kila wanachopanga hakipangiki
1. wakiwa geita mkutano uliahirishwa eti hakukuwa na maandalizi ya spika nk
2 wakiwa Tunduma mkutano uliahirishwa eti spika zimeairishwa lakini mbowe akiiongea kwa spika izo watu walikua wanasikia
3 alipokua Usangi Kilimanjaro pia mkutano uliarishwa bila sababu
4 Leo matangazo ITV yamekata zikiwa zimebaki ck 6 tu.
5. sisemi yaliyomtokea chato hadi sasa ameacha gumzo aka Lowasika
sasa kama kuorganize vitu vidogo imekuwa shida ivo how about managing hili liinchi likubwa
but behind the scene inaweza kuwa sio spika ila........
BELIEVE M OR NOT THIS IS A LOST BATTLE
Mtoa mada hujawa mkweli mie nimeangalia azam tv mada akawanadi na wangombea ubunge na udiwani na mwisho akamalizia sumaye. Jamani tuwe wakweli na tuache ushabikj
No competition
By HALELUYA MOSHI:
Sio kweli jaman!
Lowasa kahutubia na kashasepa! Idawa alikuwa anawavuta akili tangu asubuh hapa ili jioni awavunje moyo! HALELUYA MOSHI njoo huku,
Mzee yuko poa kabisa!
Jamila omari hapa ch10 kaelezea vizuri sana na nyomi ni la kufa mtu. Mitambo imeletwa mara 2 yote ikagoma. Mkutano unarudiwa kesho saa 3 asbh na wanatunduma wamekubaliana vizuri tu
Mgombea wetu anatukatisha tamaa sana.sijuwi tufanyeje.
Aiseh! Kwa hiyo reporters wote wanaowapamba wagombea wako kwenye payroll zao? Maana tunawasikia akina Buhohela na wengine wakifanya kazi nzuri sanaJamilla Omar yuko kwenye payroll ya mzee for years na hawezi sema tofauti na matakwa ya mzee. Usitegemee kuupata ukweli negative kwake. Ana majumba na maprado ya kupewa na mzee so ni haki yake kumpamba anyway. Otherwise aamue kumsaliti. Beside, anatoka sehemu moja na Mama na hiyo naona ndiyo kubwa zaidi.
Lowassa ameshindwa kuhutubia leo Tunduma kisa Vyombo vinasumbua.
Katika team yake ya kampeni hakuna aliepanda jukwaani zaidi ya Mbowe kwa dakika moja kuwaeleza wananchi kuwa tatizo ni vyombo.
Lowassa is corrupted and weak.