Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

Jana wa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,alituahidi kufanyika mkutano wa mgombea wa chadema Edward Lowasa.

Wananchi wameamka asubuhi na kukutanika katika mitaa na viunga mbali mbali vya mji wa tunduma ila hakuna mkutano ulio fanyika au hata kiongozi mkubwa wa chafema kuja kuwaambiwa wananchi juu ya kinachoendelea.

Wananchi wengi wameonesha kukerwa na hali hii na kuanza kufanya vutugu kwa kuchana chana bendera na skafu za chadema.
Baadhi ya wananchi wamahoji sababu za lowassa kutokuhutubia jana richa ya kusingizia vifaa kuwa ni vibovu wakati mh mbowe alikuwa anavitumia hivyo hivyo.

Wengine wameenda mbali na kusema kuwa mh lowassa alikuwa amezidiwa na hali yake ya afya kitu kilichomfanya kutoweza kuzungumza,pia kudai kuwa kuanzia sasa hawana imani na viongozi wa chadema kwa kutokuwa wawazi hivyo kusema wanapigia kura magufuli.
 
Mnaona sasa,chama cha matapeli,msiwape kura zenu hawa hawafai
 
Huu ni usanii wa hali ya juu na kwa kweli nawapongeza kwa kuchukuwa uamuzi wa kumpigia ura magufuli kwa sababu anaongea na kutenda kwa vitendo na siyo usanii kama wanaofanya chadema na mzee wa mazingaombwe
 
Mwisho wa siku Mbowe atahukumiwa kwa kosa la kutojali ubinadamu.,na mateso.
 
Mkutano wa Tunduma utafanyika kati ya kesho na Jumanne. Bado hawajaamua.
Leo asubuhi alikuwa Lupa na jioni atakuwa Mbeya.
Nasikia huko Tunduma mkutano wa luwasa ni kesho...sijui atakua ameimarik afiaaaa
 
Hivi Lowassa angepitishwa na CCM kugombea urais mwaka huu na masinena yangekuwa haya ya kuwa vipaza sauti vinamgomea yeye tu na kukimbia mdahalo na sifa ya kutokuwa mwadilifu
Huku CCM na kashfa za:
RICHMOND
ESCROW
EPA
RADA
NDEGE YA RAIS
KATIBA MPYA
wapigeni tu
Pigeni mbizi

Nadhani CCM hali yao ingekuwa mbaya sana kuliko ilivyo sasa
 
Yaani Ukawa wanakosa vyombo lakini wanataka nchi? total collapsion, hata hapo walipo wamekosa maduka ama mafundi wa kufanya matengenezo? vipi mic na jukwaa havikuleta shida Leo? Ukiwa wameliwa sana aisee ..walidhani ngoma ya wakubwa inachezwa na watoto, ona sasa.

Ha ha ha ha...tatizo sio vyombo mkuu...hiyo ni gelesha tu,kwani hujaelewa tu? Kazi ipo kwa kweli.
 
Kumchaagua Lowasa yahitaji uwe na ubongo usiofikiria usiojitambua na uongozwe na mahaba yale yaliyochagizwa na limbwata lakini kwa akili ndogo tuu ya infant aliezaliwa leo hawezi kuthubutu

Hata kuwa shabiki au mwanachama wa ccm inahitaji mtu mwenye akili inayockia ganzi na kusahau kwa haraka. au uwezo hafifu wa kupambanua jema na baya, vinginevyo unahitaji kucheck uwezo wa ubongo wako
 
Mkutano wa Tunduma utafanyika kati ya kesho na Jumanne. Bado hawajaamua.
Leo asubuhi alikuwa Lupa na jioni atakuwa Mbeya.

Jana Mbowe aliwatangazia kuwa mkutano tunduma ingekuwa leo saa nane wakati akijua ratiba ya tume hairuhusu.Kwa fix mbowe hajambo.Aliona watu wamefura kwa hasira akaamua kuwapotezea mtoto wa mjini
 
Ocampo four tafadhali sana wanaJF wanasubiri kwa hamu kuona picha ya mainjinia wa Ukawa wakiwa 'site' hapo Tunduma kuhakikisha vipaza na vinasa sauti vinafanya kazi asubuhi ya leo ili mgombea wenu atoe japo salamu tu.
Mr Chin pia tusaidie kupata picha hii kama inawezekana.

Live saa kumi kamili
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1445168723719.jpg
    1445168723719.jpg
    30.6 KB · Views: 578
Back
Top Bottom