Hatimaye leo naenda kwa baby wangu!

Hatimaye leo naenda kwa baby wangu!

Status
Not open for further replies.
Habari wadau!

Nina mpenzi wangu wa kike ambaye sijaonana nae yapata miezi sita sasa.

Hii leo nakutana naye baada ya kuwa mvumilivu kwa kipindi kirefu.

Sasa wadau nisaidieni, ule mzigo nitajuaje kama ulikuwa haufunuliwi na wajanja wa mjini?

Kwa upande wangu condition niliyompa ni kutokuwa ananyoa ile mambo mara kwa mara, na huwa nataka akae akinitumia picha ili nione kitu kipo katika hali gani.

Sina mengi ndugu zangu maana nina furaha sana leo, lakin msisahau kunambia kitu nitaigunduaje kama ilikuwa haitafunwi!

Siku njema wapendwa!!

Form six wamemaliza mitihani e? Tutaona mengi humu
 
Nitumie hizo picha nizione, then ushauri utafuata.
 
sasa si uende tu mpaka uje utuambie huku huu ugoro wako? mnaishusha hadhi JF nyie yani ningekuwa kama mzee kifimbo cheza nyie ningewatandika sana bakora, nenda kazini upate magonjwa ya ngono halafu uje tukupe ushauri, miezi 6 umesikia chako peke yako iko? au kina password iko?
 
Sasa ndio umeanzisha mada gani hapa? Haya ni maswala yako binafsi. Unatuingizaje katika haya mambo yako ya uzinzi? Wee unastahili kupigwa ban ya maisha hapa JF. Maana tumechoka sasa.

Kama inakukera pita kimya kimya. Ni mawazo yako lakini
 
Jaman wadau nisaidien kujua jinsi ya kupost topic jf nahitaji msaada wenu plz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom