Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,791
Meza kabisa Fluconazole tablets just in case!
Nisaidieni kumpgia kura diamond nafanyaje?
ha ha ha ha !!!
Habari wadau!
Nina mpenzi wangu wa kike ambaye sijaonana nae yapata miezi sita sasa.
Hii leo nakutana naye baada ya kuwa mvumilivu kwa kipindi kirefu.
Sasa wadau nisaidieni, ule mzigo nitajuaje kama ulikuwa haufunuliwi na wajanja wa mjini?
Kwa upande wangu condition niliyompa ni kutokuwa ananyoa ile mambo mara kwa mara, na huwa nataka akae akinitumia picha ili nione kitu kipo katika hali gani.
Sina mengi ndugu zangu maana nina furaha sana leo, lakin msisahau kunambia kitu nitaigunduaje kama ilikuwa haitafunwi!
Siku njema wapendwa!!
Fuga msitu
Just like the old days
Wewe una akili kweli?watu wako busy wanajenga taifa wewe upo kwenye mitandao unaleta uzi wa mapenzi hasara kubwa kwa taifa!
Naomba leo umuachie mume wangu arudi nyumbani nimemmiss jamani!!!
Mninga
Just like the old days
Jamani wanawake tuna kazi kwenda kufuga msitu kisaaaa!!!!!!
Mninga
Just like the old days
unataka aje sa ngapi? Sa sita usiku akiwa amechoka au sa kumi na mbili alfajiri akiwa mzimaaa??
Zipo nzuri zakutosha
Kisa umeamliwa na mpenzi asiyekuamini... bila kujali bughudha ya manywele hayo..... wakati yeye yuko huruuu
Huwezi jua labda ameshalijenga taifa, au mjasiriamali kazi zinaendelea kama kawaida, au kitega uchumi kinafanya kazi yeye anakinga kila mwisho wa mwezi.
Au hapo mitandaoni labda ndo anapopata riziki,
Ngoja niishie hapa isije kuwa nafuatilia maisha ya watu kila mmoja anajua namna anavyojitafutia riziki muhimu hakuja kukubugudhi pesa ya mboga, au tatizo lolote lile basi mwache maisha yake yaendelee
Utaniua na presha mtoto wa mwanamke mwenzio