Hatimaye leo naenda kwa baby wangu!

Hatimaye leo naenda kwa baby wangu!

Status
Not open for further replies.
njia ambayo haijapitisha gari lazima ukutane na magugu, foleni, plus gari kuishiwa mafuta kabla hujafika uendako ukikuta ni nyeupe sana umeliwa na wajanja wenye magari mapya ya mwendokasi lol

Nilikuwa nakusubiri sana. Asantee
 
Sasa ikiwa hivi mtu kila anachofanya mtu anapost si itakuwa balaa,itafika kipind mtu atasema jamani imeingia toilet inya haitoki nishaurini

Sasa tupost vitu ambavyo havipo?
 
Hebu kavae ile mawani yako. Naona macho yanakudanganya. siezi chepuka nje ya mchepuko wako wa lami.

hahahaa macho manne ndo zaidi acha nibaki natural yakizidi kunidanganya nakublock
 
sasa si uende tu mpaka uje utuambie huku huu ugoro wako? mnaishusha hadhi JF nyie yani ningekuwa kama mzee kifimbo cheza nyie ningewatandika sana bakora, nenda kazini upate magonjwa ya ngono halafu uje tukupe ushauri, miezi 6 umesikia chako peke yako iko? au kina password iko?

Kaone kwanza! Tena usinitibue kabisa! Kama vipi hama jukwaa haraka sana...
 
Kuchapwa atachapwa tu, chamsingi ww piga kimya utakacho kikuta
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom